Hmm...this is weird! Yaani unakubali tu kuchukua jukumu/ uamuzi wa kumlea mtoto uliyeachiwa kwenye basi na mtu ambaye hata humjui? Je huyo mtu naye akiwa alimuiba huyo mtoto kwingine? Una uhakika gani kama huyo mama aliyekuachia huyo mtoto ndo mama mzazi wa huyo mtoto?
Ingekuwa mimi ningempeleka tu polisi na kumsalimisha huko ili taratibu za kutafuta wazazi au ndugu ziendelee.
Halafu kuna aliwahi kuja na stori kama hii yako hapa.
Something is amiss.
Nimekaacha kwa wazazi wangu, nakatafutia dada wa kukalea(yaya), mama amesisitiza kakae nyumbani umri wake usogee kwanza ndio kahamie kwangu
zawadi ya mwaka mpya? Pole sana.
Hmm...this is weird! Yaani unakubali tu kuchukua jukumu/ uamuzi wa kumlea mtoto uliyeachiwa kwenye basi na mtu ambaye hata humjui? Je huyo mtu naye akiwa alimuiba huyo mtoto kwingine? Una uhakika gani kama huyo mama aliyekuachia huyo mtoto ndo mama mzazi wa huyo mtoto?
Ingekuwa mimi ningempeleka tu polisi na kumsalimisha huko ili taratibu za kutafuta wazazi au ndugu ziendelee.
Halafu kuna mtu aliwahi kuja na stori kama hii yako hapa.
Indeed. The story has several loose ends that need to be tied up.
You just don't assume responsibilities just like that. It takes a whole lot to raise a child and this dude supposedly is going to take up that responsibility without hesitation or reservations on a child he barely knows?
Really? Things that make you go hmmmm.....:confused2:
Huruma doesnt always apply. But common sense does!!Si ndio maana akaripoti kwanza polisi! Wakati mwingine ni vizuri kua na huruma na hawa malaika wa Mungu
Indeed. The story has several loose ends that need to be tied up.
You just don't assume responsibilities just like that. It takes a whole lot to raise a child and this dude supposedly is going to take up that responsibility without hesitation or reservations on a child he barely knows?
Really? Things that make you go hmmmm.....:confused2:
my Dear Brother! wewe siye mzazi wa huyo mtoto, Hivyo usichukuwe Risk, au haki ya kumMiliki .... Tafadhali mrudishe anapo stahiki au kama unamtaka basi upitie taratibu zote sahihi ndipo utoe ombi la kum-Adopt kichanga cute boy !! Lakini kumchukua kinyamela NO NO NO dear its a crime. kama sii human trafficking itakula kwako.! Huruma ni kitukingine na Haki ni maudhui wa kisheria. Mama (mzazi) wa mtoto huyo yupo hai....na ana uchungu naye bado.... si Ajabu kuna sakata la uke wenza au kukomoana huko uraiani au mtoto huyo ameibwa nyumba Fulani. Tafadhali kuwa Muungwana na mfadhili wa kumtafuta BIOLOGICAL mother wake.... kwa sababu za kiutu na kibinaadamuin general hapo kuna Nafsi na roho zaungulika na kusononeka kuhusu upoteaji wa mwana huyo " Imagine kama mtoto huyo ni wa kumzaa alafu House-girl acheze na hisia zako au za mkeo kwa kumtendea mabaya mtoto wako itakuajee???" Plz. kamilisha role yako hadi mwisho!! au beba responsibilities na dhimaa zote juu yako. Kind thanks be fair and real Man. Ubarkiwe.Nilikuja dar kikazi kwa takribani siku 4, sasa jana nikawa narudi mkoani kwangu. Wkt nipo Ubungo nimekaa kwenye dar express akaja mama mmoja mtu mzima mweupe amebeba mtoto, akaketi pembeni yangu, nikamsalimia nikapiga kimya.
Akaniomba nimbebee mtoto akajisaidie, nikakubali. Muda ukawa unazidi kwenda yule mama harudi! hadi basi linajaa hajarudi, mara kakaja kadem kamoja kakaketi kwenye ile siti ya yule mama nikapigwa na butwaa! nikamueleza kwamba ile siti ina mtu, akanionyesha tiketi yake ikabidi nimuamini kwamba kweli ile ni siti yake
Wkt basi linataka kuondoka ikabidi nimpe taarifa konda, tukashuka na konda na baadhi ya abiria hadi kituo kdg cha polisi ubungo, polisi hawakuniamini sana, wakadhani nafanya usanii nilipotaka kumuacha pale mtoto, ikabidi nipige copy vitambulisho vyangu na niache mawasiliano yangu niondoke na mtoto.
Wamama ndani ya basi wakawa wanapokezana kukabeba na kukalisha, ni katoto ka kiume, ka-handsome, baba, mama na girlfriend wangu nao hawaniamini, wanadhani ni mwanangu! Dah!
Huruma doesnt always apply. But common sense does!!
Asante mkuu, sikajui hata jina, sijui nikape jina lingine?