Good advice,ila kwa kizazi hiki cha nyoka,lazima utest mzgo kwanza..
Unaweza jikuta ni samaki mdogo kwenye dimbwi kubwa ama vice versa..Pia hujagundua haruc nyingi kama wewe ni mhudhuriaji,bibi haruc anakuwa tiyari kashapachikwahahaha kwan unahsi inaweza kuwa c ya ukweli ama kwanin uonje
Ulitaka kujiridhisha kama kweli kaamua..... Angekuwa hajaamua? Kaka kumbuka kwa mwanaume kuwa ma mtu mwingine haimaanishi uliyenaye unampenda saaana. Inawezekana uko naye kwa sababu huna pa kwenda kwa sababu unayempigia kila wakati ndiye unayempenda. Kaka dalili ya kupenda na pamoja na kutaka kumsikia kila wakati, na ya kutokupenda ni pamoja na kukuboa kila anapotaka kuongea naweHapana kumpigia simaanishi namhitaji kimapenzi nilitaka kujiridhisha tu kama kweli ameamua kwa sasa mimi nina mtu mwingine