cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,386
Habari wanajamvi
Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake
Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke mwingine...wakitanua...
Sio siri moyo wangu ulilipuka na kuumia sana....usiku wa siku hiyo...sikulala nilisongwa na mawazo... Nikifikiria zile mechi ambazo tulikuwa tunacheza....ndo watakuwa wanazicheza
Nimeachana nae...ila najikuta namuwaza na kuhisi wivu
Nifanyeje nimsahau..na nisione wivu..nimuonapo akiwa na mpenzi wake mwingine?