Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

slatcher

Senior Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
132
Reaction score
213
Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.

Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.

Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
 
Najaribu kumtoa ila naumia, naombeni ushauri wenu. Njia zipi nifanye kupoza maumivu
 
Atakuwa alivookokaa walimueleza ukweli kuwa mwanaume ambaye anaweza kukushauri na kushirikiana nawe kutoa mimba hakupendi na wala hakutakii mema kabisa katika maisha yako.....mi nadhani mtoto wa watu yupo sahihi anajua akiendelea kuwa na wew
1.Ataendelea kumkosea Mungu wake
2.Ipo siku mtapata nyingine kwa vile akili yako mbovu utamshauri atoe tena na hapo atahatarisha afyaa yake
3.Huko mbeleni anaweza kupoteza uwezo wa kuzaa na mlivyo na akili chafu wanaume utamkimbiaaa........kwa hiyo hamna namna tafuta mwingine then uache tabia hizo mbaiyaaaaa
 
Labda nikwambie kitu, mimba alipata kwa mtu mwingine, nkamwambia mm na yy basi akadai nimsamehe ni kwa bht mby kwn mtu aliyempa hampendi na hawezi Lea mimba yake. Jamaa alivyotaftwa akadai asihusishwe kwn haamini km mimba ni yk kwn anajua Huyo binti ana wanaume wengi. Mimi nimesomea utabibu (diploma ya udaktari) nilimweleza madhara ya mimba asitoe aling'ang'ania atafny anavyojua. Chuo kizima walijua ni demu wng na ht mama yk alikuwa anajua ni mpnz wng.. Nkajrb kumuassess km ana uzoefu wa kutoa mimba. Nikagundua anajua, kutafta story kwa aliyemjaza mimba akanambia kpnd cha nyuma kbla cjawa nae, walikuwa marafk wa kawaida na walikuwa wakishauriana kwa mambo mengi. Na anadai kpnd binti yupo form 2 alimuomba ushauri kuhusu ujauzto alioupata, alimshauri asitoe ila binti kwa kushirikiana na aliyemjaza wakatoa maana alikuwa bado form 2.kilipta km miaka 2-3 tangu atoe mimba ya mwanzo. Nkamuuliza jinsi ya kutoa akaanza nambia keshanunua misoprostol, hivyo basi atatumia vidonge 6. Kbla ya kuondoka kwa kujua binti hashauriki na dozi ya vidonge 6 ni kubwa, kwa kutumia elimu yng ikabd nimshauri apunguze coz asije vuja damu akafa mwsho wa cku nkakamatwa mimi, hvyo sikuhusika kwa njia ya moja kwa moja. Baada ya kutumia njia niliyompa kupunguza dozi mimba ilitoka nkamshauri atumie Antibiotics kuzuia complications za Abortion, kweli afya ikarejea. Maisha yakaendelea. Kilichonifny nimsaidie ni wanachuo wenzangu kujua demu wng na Mama ake pia ananijua. Hvyo kwa shida yyt ambyo angeipt ningekamatwa Mimi...
 
Mkuu

slatcher ninadhani hii elimu yako haijakusaidia kuelewa ulimwengu, piga magoti na umshukuru Mungu kwa kukuepusha na balaa hilo. Mtu ambae amekutana kimwili na mwanaume siku tatu kabla ya kukutana na wewe tena bila kinga huoni kuwa alikuwa anahatarisha maisha yako?
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
 
Sielewi kinachokufanya ulie lie ni nini!? Au mpaka balaa kubwa zaidi likupate..
Endelea kumtafuta chaguo lako bado hujampata. Kila la kheri!!!
 
Labda nikwambie kitu, mimba alipata kwa mtu mwingine, nkamwambia mm na yy basi akadai nimsamehe ni kwa bht mby kwn mtu aliyempa hampendi na hawezi Lea mimba yake. Jamaa alivyotaftwa akadai asihusishwe kwn haamini km mimba ni yk kwn anajua Huyo binti ana wanaume wengi. Mimi nimesomea utabibu (diploma ya udaktari) nilimweleza madhara ya mimba asitoe aling'ang'ania atafny anavyojua. Chuo kizima walijua ni demu wng na ht mama yk alikuwa anajua ni mpnz wng.. Nkajrb kumuassess km ana uzoefu wa kutoa mimba. Nikagundua anajua, kutafta story kwa aliyemjaza mimba akanambia kpnd cha nyuma kbla cjawa nae, walikuwa marafk wa kawaida na walikuwa wakishauriana kwa mambo mengi. Na anadai kpnd binti yupo form 2 alimuomba ushauri kuhusu ujauzto alioupata, alimshauri asitoe ila binti kwa kushirikiana na aliyemjaza wakatoa maana alikuwa bado form 2.kilipta km miaka 2-3 tangu atoe mimba ya mwanzo. Nkamuuliza jinsi ya kutoa akaanza nambia keshanunua misoprostol, hivyo basi atatumia vidonge 6. Kbla ya kuondoka kwa kujua binti hashauriki na dozi ya vidonge 6 ni kubwa, kwa kutumia elimu yng ikabd nimshauri apunguze coz asije vuja damu akafa mwsho wa cku nkakamatwa mimi, hvyo sikuhusika kwa njia ya moja kwa moja. Baada ya kutumia njia niliyompa kupunguza dozi mimba ilitoka nkamshauri atumie Antibiotics kuzuia complications za Abortion, kweli afya ikarejea. Maisha yakaendelea. Kilichonifny nimsaidie ni wanachuo wenzangu kujua demu wng na Mama ake pia ananijua. Hvyo kwa shida yyt ambyo angeipt ningekamatwa Mimi...
Acha ujinga... Je angepata ukimwi nao mngetoa??...
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
Hivi wewe jamaa huna ndugu wenye shida kweli... Watu kama nyie mnakuaga wafumu sana kusaidia ndugu zenu... Tena tusiende mbali we Mama yako hana shida... Matukio mengine huja kama laana... Siri ya mapenzi mjali Mama yako kwanza we mwenyewe utaniambia utajikuta huteseki kwenye Mapenzi kihivyo... Utapendwa zaidi, vilevile kukimbilia kutoa mimba itakua ni sababu ya kukuacha pia.
 
Man kwanza mkatubu kwa hiyo dhambi ya kutoa hiyo mimba maana mmeua.
Pili achana huyo dada.. inaonekana hajapevuka kiakili.. maana kuokoka hakuzuii mtu kutokuwa na mchumba. Huyo alikuwa na hila zake siku nyingi. Na dalili ulisha ziona. Mshukur Mungu maana umeziona mapema . Sasa jijenge kimaisha kwanza.. muda ukifika.. true love will find you
 
Kwakuwa umesema alifiwa na baba yake, pia mama yake hana uwezo basi fanya kama ulitoa msaada tu kwa huyo binti kwa vyote ulivyomfanyia! Halafu achana naye kabisa, usije ukarudi hapo. Hiyo hela uliyopanga umlipie tena mpe mama yako au ndugu yako yeyote mwenye shida hlf omba msamaha kwa Mungu wako kwa dhambi uliyoshiriki ya kutoa mimba.
 
Dhambi ya kutoa mimba ya mwanaume mwenzio unafkir ndogo? We unajua kabisa kakusalit na kapigwa mbichi kabisa na bado unaleta kiherehere cha kwenda kutoa mimba tena sio ya kwako kama sio uboya ni nn hapo.
Bora amekumwaga tu mtu mwenywe hujielew
 
Kuna uzi humu unasema jifunze kumwacha aende! Utafute mkuu utakupa ujasiri pia katika hili
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
sijakusoma kabisa hivi ww huko sawa aise au kale kautafiti katakua kana kuhusu!!!!!!
 
Back
Top Bottom