Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
Makosa unayo. unajishaurishauri kuachana nae ilihali umeshatambua kuwa hakufai...! ni aibu kwa mwanaume kushindwa kuwa na maamuzi sahihi na kusimamia msimamo wako
 
Jamani mchumba asomeshwi na pia muwe mnajifunza katika threads Za wengine, kwanza nikupongeze kwa kua na roho ya uruma ni wachache wanaweza msomesha bint ambaye ameshamkosea Tena kosa la usalit, nikushaur huyu bint hakufai kama amekucheat kwenye uchumba had kubeba mimba mkija oana atatulia, ni ngumu, mungu amekuepushia kitu kitendo cha yy kukuambia ameokoka nahis kapata mpenz chuoni mana ndege wakuruka ruka kila taw hawez tulia kukaa tawi moja, we tulia, fanya mambo yako na utapata ubavu wako, acha kukumbatia moyo ambao haukuitaji
 
Una date na vitoto unategemea nini .....kamaliza form 4 mwaka Jana unadhan amekomaaa kichwani!wacha akuendesheeee!usije jiua tuu
 
Atarudi tu usijari chuoni kugumu sana akilala na na njaa siku mbili tu utaona sms
 
Mkuu demu anagongwa siku tatu anakuja kwako bado unamsikiliza

Demu katoa mimba zaidi ya moja bado unamsikiliza kweli?

Kama upendo ndo huu acha m niendelee kuwabadilisha tu
 
Dhambi uliyoifanya inakuhukumu..kwanini ushiriki kutoa mimba isiyokuwa yako!?
 
Nahisi ule utafiti ulitakiwa uwe "kwa kila watanzania wawili"
 
Co gani ndezi ivo? Co mwendokas? Demu chapa ilale we unakuwaa rubaa? Co una akili za kusomesha demu? Ukoo wwwenu unasomesha nani? Familia yenu unasomesha nani? Kwa lak tano yako unaabeba watu njian et unasomesha? Umejenga we? Hauko silias na mausha! Kama VP kasome MD ujielewe.maana ktaaa nna uhakika unapuyanga.hufanyi makubwaa zaid very normal.jiongeze br.umetuzalilishaaa maco wa zaman
 
Kuna wadada wengine wana roho ngumu jamani ila wanasemaga moyo mashine
 
Pole sana braza ila hapo huyo anacheza na akili yako. Kuna mawili 1) anaweza kawa kaokoka kweli au 2) kapata mshikaji mwingine ambae ndie wokovu wake kwa sasa. Wewe alikushawishi mshirikiane kutoa mimba na wewe ukakubali wakati unajua kabisa kile kitendo ni cha MAUAJI. Nakushauri uende ukatubu kwa kitendo ulichokifanya kwa sababu hiyo tayari ni laana kwenye uzao wako.
 
Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.

Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.

Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA

Poleeee
Mchumba hasomeshwiiiii
 
ha ha ha nacheka utafikiria mazuri, hakutaki we sepa au uantaka kulazimisha penzi?
 
nampenda sana mpezi wangu na kiukweli namheshimu sana mtoto kaumbika kweli kweli huwa sina utaratibu wa kushika cm yake kwa kweli sasa leo tulitoka lunch akaomba power bank yangu nimchajie bas nikamshikia na cm hakua ameweka secrt code nikiwa pale akatoka wazo likanijia sijui shetani nikakuta nafungua cm yake nikikuta kuna groups balaa kuna jina likanitia hofu kasave kibomu kufungua kwa kweli msg imeniuma baada ya kukuta anaambiwa ...wewe mtoto huo mchezo umejifunzia wapi utaniua mtoto wewe una mk........ mtam balaa niliishiwa pozi sana nikajiuliza mwenzangu kaanza lini na wakati hata dalili hajawahi nionyesha kwa kweli navyomheshimu tuu na malengo niliyopanga nae imeniuma sasa je nimwambie? au nifanyeje?

picha siyo yeye lakini

View attachment 423676

Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.

Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.

Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
 
Attachments

  • 1477383144919.jpg
    1477383144919.jpg
    86.7 KB · Views: 26
Pale unapokua serious kimahusiano na binti ambaye hajaelewa ni kipi anachohitaji katika maisha na akili yake bado haijapevuka

Umri wake hauendani na majukumu unayotaka kumpatia.... bado yupo katika umri wa kugusagusa na unategemea awe na malengo marefu na wewe!!!!!.........
upo chuo lakini sidhani kama elimu yako imekusaidia vyema katika kupambanua mambo

Shukuru Mungu ulitumia kinga kwa kuwa huyo mtoto ungebambikiwa tu...
 
Back
Top Bottom