Una kesi ya mauajiNajaribu kumtoa ila naumia, naombeni ushauri wenu. Njia zipi nifanye kupoza maumivu
Pole Mkuu try to be a man,Fanya issue nyingine very simpleNatumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.
Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.
Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
Duh,, we jamaa unatuaibisha wanaume!! Hadith yote hiyo chafu bado unamng'ang'ania. Unaishi wapi ambako hakuna wanawake wanaoeleweka?Labda nikwambie kitu, mimba alipata kwa mtu mwingine, nkamwambia mm na yy basi akadai nimsamehe ni kwa bht mby kwn mtu aliyempa hampendi na hawezi Lea mimba yake. Jamaa alivyotaftwa akadai asihusishwe kwn haamini km mimba ni yk kwn anajua Huyo binti ana wanaume wengi. Mimi nimesomea utabibu (diploma ya udaktari) nilimweleza madhara ya mimba asitoe aling'ang'ania atafny anavyojua. Chuo kizima walijua ni demu wng na ht mama yk alikuwa anajua ni mpnz wng.. Nkajrb kumuassess km ana uzoefu wa kutoa mimba. Nikagundua anajua, kutafta story kwa aliyemjaza mimba akanambia kpnd cha nyuma kbla cjawa nae, walikuwa marafk wa kawaida na walikuwa wakishauriana kwa mambo mengi. Na anadai kpnd binti yupo form 2 alimuomba ushauri kuhusu ujauzto alioupata, alimshauri asitoe ila binti kwa kushirikiana na aliyemjaza wakatoa maana alikuwa bado form 2.kilipta km miaka 2-3 tangu atoe mimba ya mwanzo. Nkamuuliza jinsi ya kutoa akaanza nambia keshanunua misoprostol, hivyo basi atatumia vidonge 6. Kbla ya kuondoka kwa kujua binti hashauriki na dozi ya vidonge 6 ni kubwa, kwa kutumia elimu yng ikabd nimshauri apunguze coz asije vuja damu akafa mwsho wa cku nkakamatwa mimi, hvyo sikuhusika kwa njia ya moja kwa moja. Baada ya kutumia njia niliyompa kupunguza dozi mimba ilitoka nkamshauri atumie Antibiotics kuzuia complications za Abortion, kweli afya ikarejea. Maisha yakaendelea. Kilichonifny nimsaidie ni wanachuo wenzangu kujua demu wng na Mama ake pia ananijua. Hvyo kwa shida yyt ambyo angeipt ningekamatwa Mimi...
Wewe ndo unajipendekeza. Uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo ni wa mashakamashaka na unawatia aibu WAVULANA wenzioNimeamua kujitoa ila mama mtu ananisumbua kumwombea msamaha mwanae, kwn hatma ya masomo yk haijui coz ht hela alizochanga nami alikopa na hajui atatoa wapi