Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

Nimeachana na mpenzi mara baada ya kuanza chuo

Laiti ningekua karibu yako ningekubomoa

Nani kakuambia mchumba anasomeshwa?
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
Mkuu kumbe umeshajitoa sasa unataka ushauri wa kurudi tena au ushauri wa nini hebu bainisha hapo
 
Nashukuru kwa mawazo yenu, ila kwenye maisha yng mwanamke ntakayempenda na kumthamini hadi nimwoe, nmejifunza mengi.. Ila nashukuru Mungu kuniepusha na Mengi. Kilichoniponza ni Huruma yng hadi tukatenda dhambi kwa kiumbe kisicho na hatia, Namwomba Mungu anisamehe kwa hilo, jpo ckuwahi shiriki dhambi hyo nyuma yake, Mapenzi niliyokuwa nayo kwake ndo yalinifanya nikawa kipofu. Hata mimi nimegundua ni utoto bado hajakuwa, maana mwanamme aliyempa mimba form 2 anaishi Dodoma, na nilivyomuuliza Mama ake km anafahamiana na huyo mwanaume, akadai anamfahamu na wana undugu na Mama ake, mama ake anajua ni uhusiano wa undugu... Hvyo basi binti alishatoka na ndugu wa mama ake, hadi akabebeshwa Mimba mara ya kwnz. Na aliporipoti chuo, tar za kusajiliwa zkasogezwa mbele, hvyo akaona aende kwa babu yake Amby pia anaishi Dodoma. Alivyonambia anaenda kwa babu nlimkataza nikijua lengo lake pia ni kwnd kwa hyo mwanaume, aliye Dodoma, Amby jana Mama ake alinambia ana ubinamu na huyo X wng. Nilijrb kufny mawasiliano na babu yk kujua nyendo zake na kweli kpnd hicho babu nae akathibitisha anamfahamu huyo kijana miaka kati ya 30-35 , ila hakunambia km kuna undugu. Ila babu yk alinambia kpnd cha nyuma akiwa anarudi likizo ndpo alipokutana na huyo mwanaume. Na alivyoona nyendo kwa huyo binti co nzuri akamkaripia huyo kijana kukanyaga kwake. Mnamo cku ya ijumaa alinambia anarudi chuo kwa ajili ya kujiandaa na registration iliyofanyika kuanzia jana. Na ndipo nilipoanza hisi mabadiliko nkimpgia cm anadai yupo bize anapiga story, cku ya jumapili asubuhi alinambia yupo bize mara baada ya kuongea nae, akantafta saa 8.nkamwambia cfurahishwi anavyonifanyia akaomba msamaha, ila akanambia kuna kitu anataka kunambia, na akasita kunambia, baada ya kunambia ntachukia. Nkambembeleza, akanambia huyo mwanaume Amby ana undugu na Mama ake kbla ya kuja Dodoma alimwomba msamehe, alimfuata chuo akampeleka SQUARE Wenyeji wa Dodoma mtakuwa mwapafahamu. Akamtoa lunch na wakapiga story mbili 3 kwa Maelezo yake. Huyo mwanaume ana wake 3 kila mke anakaa mbalimbali kwa Maelezo ya Babu. Alivyonambia nkammind nkamwambia utaendaje Hotelini na mtu aliyewahi kuwa na mahusiano nawe, ht km ni story, ..akadai hawezi anzisha mapenzi nae kwa vile analea familia, jumapili ya juzi ikapita. Mnamo jana saa 12 asubuhi alinipigia cm kawaida nkamtakia usajili mwema. Tulikuwa twachart kipnd yupo kwenye folen, mpk jioni akanambia wanafunzi wengi hvyo usajili alitarajia afanye leo. Ilivyofka saa 1na 30 jioni ndo alinipigia cm akanambia ametoka kipindi cha Dini chenye mjumuiko wa madhehebu yote, ameamua kuokoka na hataki ubaby nami, niendelee kuwa rafiki wa kawaida na nisimsumbue, nilivyoendelea kumuuliza kuokoka umeanza lini akadai ndani ya cku 3 na hanitaki, hanipendi na haniitaji na wala nisijipendekeze kumsomesha. Nkajarbu mwelewesha ila msimamo wake ndo huo....
 
Mkuu kumbe umeshajitoa sasa unataka ushauri wa kurudi tena au ushauri wa nini hebu bainisha hapo
Nimeamua kujitoa ila mama mtu ananisumbua kumwombea msamaha mwanae, kwn hatma ya masomo yk haijui coz ht hela alizochanga nami alikopa na hajui atatoa wapi
 
Un roho ngumu binti katoa mimba akiwa form 2 katoa tena baada ya kumaliza form 4 kakuacha bado unaomba ushauli jamaa alikataa mimba akakwambia kabisa haamini kama mimba ni yake coz demu ana wanaume wengi uliona jamaa ni fala tu piga goti omba msamaa kwa Mungu wako akusamee huwo ushauli uliompa wa kupunguza vidonge vya kutoa mimba ni ushiliki tosha kuwa ulishiliki ktk kutoa mimba
 
Co gani ndezi ivo? Co mwendokas? Demu chapa ilale we unakuwaa rubaa? Co una akili za kusomesha demu? Ukoo wwwenu unasomesha nani? Familia yenu unasomesha nani? Kwa lak tano yako unaabeba watu njian et unasomesha? Umejenga we? Hauko silias na mausha! Kama VP kasome MD ujielewe.maana ktaaa nna uhakika unapuyanga.hufanyi makubwaa zaid very normal.jiongeze br.umetuzalilishaaa maco wa zaman
Naunga MD kaka, krb CUHAS, ila kumbuka mapenzi hayo hayo yalimfanya Adamu atende dhambi. Mapenzi hayo hayo yalimfanya Samson adanganywe na Delilah, kuwa na professional haimaanishi ndo kuwa gwiji wa mapenzi, kuna maprofessor wanateswa na mapenzi. Yakiwa hayajakukuta waweza Dhani aliyefny ni fala.. Na co nalipwa laki 5 za serikali, mimi nipo private Kaka, na mshahara co laki 5 bro, kuomba ushauri haimaanishi utoe lugha chafu, Co yko ya muda mrefu co inshu maana ht ww ungetkiwa ushaenda MD.
 
Mmedumu kwenye mahusiano miako kumi,,,kamaliza form 4 mwaka Jana,,,
Sijui alikuwa na umri gani kipindi unamahusiano naye?
Au alikuwa MEMKWA?
Hufai kuwepo kwenye jamiii,,,Ulifanya uharibifu we we,,,,Kuwa makini siku nyingine.
Co miaka 10, hujaona vizuri, namaanisha zaidi ya miezi 10
 
Labda nikwambie kitu, mimba alipata kwa mtu mwingine, nkamwambia mm na yy basi akadai nimsamehe ni kwa bht mby kwn mtu aliyempa hampendi na hawezi Lea mimba yake. Jamaa alivyotaftwa akadai asihusishwe kwn haamini km mimba ni yk kwn anajua Huyo binti ana wanaume wengi. Mimi nimesomea utabibu (diploma ya udaktari) nilimweleza madhara ya mimba asitoe aling'ang'ania atafny anavyojua. Chuo kizima walijua ni demu wng na ht mama yk alikuwa anajua ni mpnz wng.. Nkajrb kumuassess km ana uzoefu wa kutoa mimba. Nikagundua anajua, kutafta story kwa aliyemjaza mimba akanambia kpnd cha nyuma kbla cjawa nae, walikuwa marafk wa kawaida na walikuwa wakishauriana kwa mambo mengi. Na anadai kpnd binti yupo form 2 alimuomba ushauri kuhusu ujauzto alioupata, alimshauri asitoe ila binti kwa kushirikiana na aliyemjaza wakatoa maana alikuwa bado form 2.kilipta km miaka 2-3 tangu atoe mimba ya mwanzo. Nkamuuliza jinsi ya kutoa akaanza nambia keshanunua misoprostol, hivyo basi atatumia vidonge 6. Kbla ya kuondoka kwa kujua binti hashauriki na dozi ya vidonge 6 ni kubwa, kwa kutumia elimu yng ikabd nimshauri apunguze coz asije vuja damu akafa mwsho wa cku nkakamatwa mimi, hvyo sikuhusika kwa njia ya moja kwa moja. Baada ya kutumia njia niliyompa kupunguza dozi mimba ilitoka nkamshauri atumie Antibiotics kuzuia complications za Abortion, kweli afya ikarejea. Maisha yakaendelea. Kilichonifny nimsaidie ni wanachuo wenzangu kujua demu wng na Mama ake pia ananijua. Hvyo kwa shida yyt ambyo angeipt ningekamatwa Mimi...
are sure una akili zote au kati ya vichaa 4 mmoja wewe
Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.

Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.

Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
Acha ujinga wa Mapenzi mkuu, amekucheat,ametoa mimba,ana rekodi mbaya bado unatoa vsingizio vya ajabu vya kujustify mistake yako.Unastahili kupokonywa hiyo fani yako maana unaonyesha jinsi utavyokuwa baada ya kuhitimu.Tayari umeshafeli kipengele cha maadili ya kazi kwa kusaidia abortion
 
Kwao hawana uwezo, alishafiwa na baba ake mzazi, mama ake anafny shughuli ndogo ndogo kuuza bajia shuleni, ht kumpeleka chuo alidai uwezo hana na binti alikata tamaa. Ila mm ili kumpa morali mama nkamwambia ajitahd atakapofka, vngne ntamalizia mimi. Gharama ya chakula zaidi ya Mil 1 ntatoa mimi na gharama zote zngne za chuo km stationery na vngnevyo ntatoa. Maana mama uwezo ht wa kumlipia ada hana. Na ht ndugu hawajamsaidia, Ada ya semester ya kwnz tumechanga mm na mama ake. Baada ya kunambia hbr za kuokoka hanitaki ikabd nmwambie Mama yote na mizigo yote aibebe.. Kwa vile usajili wa chuo ilikuwa bado nkamtangulizia laki moja na nusu ya chakula kbla ya kuanza masomo. Mama ake kachukia, kadai akishindwa arudi nyumbn aolewe, sasa mm nmejitoa rasmi hapo nna makosa...
We endelea kum-finance ....we si uliamua kumsaidia coz anaishi maisha magumu hana baba? Na still hana baba so endelea kumsomesha. Sijaona sababu ya kuacha kun-finance coz I'm sure kama kuna kitu anasomea hakizidi miaka miwili
 
Dhambi ya kutoa mimba ya mwanaume mwenzio unafkir ndogo? We unajua kabisa kakusalit na kapigwa mbichi kabisa na bado unaleta kiherehere cha kwenda kutoa mimba tena sio ya kwako kama sio uboya ni nn hapo.
Bora amekumwaga tu mtu mwenywe hujielew
Hahahaaaa......watu mna maneno eti kapigwa mbichi! Lol.....
 
Wewe sijui unataka nini...achana naye huyo msichana atakuzeesha mapema kabla ya muda wake!! Papuchi zote ziko sawa...tofauti ni size/ukubwa.
 
Mmedumu kwenye mahusiano miako kumi,,,kamaliza form 4 mwaka Jana,,,
Sijui alikuwa na umri gani kipindi unamahusiano naye?
Au alikuwa MEMKWA?
Hufai kuwepo kwenye jamiii,,,Ulifanya uharibifu we we,,,,Kuwa makini siku nyingine.
Amesema amedumu nae ktk mahusiano kwa miezi kumi tu mkuu.
 
Natumaini humu nyote ni wazima, nachukua fursa hii kuwaomba Ushauri. Nilikuwa na mpenzi wangu tuliobahatika kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 10. Miezi minne baada ya kuanza uhusiano, nilipokuwa field Dodoma, nilitengana nae kwa muda wa wiki 3, nakumbuka cku ananiaga alilia sana nkadhani mtu mzima napendwa.

Nilivyoondoka kwenda field tuliagana kwa kufanya sex kwa condom maana mwenzangu alikuwa Siku za hatari. Baada ya kupita wiki mbili mwenzangu alianza lalamika anahisi dalili za ujauzito, zkafka wiki 3 na sehemu akaanza nambia cku zake hazioni. Nkajaribu kumwambia awe muwazi kwangu kipi alichofanya, mwisho akakiri alinicheat cku 3 kabla cjafanya nae sex bila kondomu gesti. Alinilalamikia sana maana ndo alikuwa kamaliza form four mwk jana, na Mwaka huu akataka aanze chuo.

Kweli nilishirikiana nae, tukatoa mimba. Nimempigania kupata chuo kwa gharama zangu chuo ameenda na ana Siku 8 tu chuo. Ila leo kanipigia simu kuwa ametoka kipindi cha dini na ameokoka hvyo hanitaki. Nmeumia sana. Maana ni mkatoliki na hkn kuokoka kwetu, kanambia nisimfuatilie, HANIPENDI, HANITAKI NA HANIHITAJI. NAHISI KUCHANGANYIKIWA.. NILIMSAMEHE ALIVYOPATA MIMBA TUKATOA MAANA ALINILILIA NA AKANIOMBA MSAMAHA
Wewe una umri gani?
Ulivyoandika ni kama bado upo kwenye mhemuko(foolish age).
Huyo binti kakuchezea sana akili zako bila wewe kujua.
Toka kukubambikia ujauzito, nawewe ukaingia kichwakichwa kufanya dhambi ya mauti kuua, ukashirikiana nae kuitoa mimba! Moja kwa moja hapo umeshiriki kutenda dhambi.
Halafu ninakushangaa kulialia kupigwa kibuti na huyo kahaba! Achana nae, huyo kakufungulia future yako mapema.
Fikiria malaya kama huyo ungekuwa tayari umeishamuoa,mmeanza maisha, halafu anakuja kukufanyia ufedhuli wake, unadhani ingekuwaje?
Endelea na 50 zako, jitengeneze kimaisha, ukiona angalao waweza kutunza mke, tafuta mchumba uoe.
Awe ni mwanamke mwenye wajihi kumshinda yeye,mwenye nasaba bora na mwenye mapenzi ya dhati kwako.
Nakuambia utamsahau kabisa huyo asherati asiyekuwa na huruma.
Tuliza akili zako, mwondoshe mawazoni mwako na uombe Mungu akupe wepesi kutoka kwenye mkandamizo wa tapeli la mapenzi, ili umsahau kabisa.
Wanawake wazuri wa kuolewa wapo wamejaa tele. Utatafuta na utampata. Pole we.
 
Nimekuelewa kaka, na nmeelewa I did mistake because of her. Ngoja nijipange kwa kumwomba Mungu msamaha na kunipa ftr wife
 
Back
Top Bottom