CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-tatizo-ni-umri-na-dini-naombeni-ushauri.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...yangu-akijibu-m-basi-ni-kwa-kifupi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...yangu-akijibu-m-basi-ni-kwa-kifupi.html
Huyu wa Facebook ni yupi....
Ushauri wangu tulizana umalizie shule siyo lazima uanzishe thread.
Mgiriki bila shaka ww kimtazamo utakua na umri usiozid age ya 16 maana uandishi wako na mtoa mada bila shaka nyie ni watoto.uandishi wenu wa fb sijajua kwann jamii wanaruhusu mlete humu.
Njoo kwangu niko singo!
......nakuja niwekee nafasi
Xaxa wewe acha uxenge wakuandika hiv au xio
chezea wewe wa Mapozeo tu ukajifanya #BabaMwenyeNyumba #BabyDad#Husband# Nyoooo ungeuliza kwanza Mjini hapa
:laugh::laugh::laugh: pole mwaya siku nyingine usiwe na haraka !
Wanajamvu MMU
nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda
sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa
mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake
niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.
La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo
maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano
mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message
kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye
tuachane?
Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na
inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.
Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.
La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?
Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.
Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
Pole sana now badilisha weka DIVORCED
Umeona ee kwani huyo mchumba wake ana kitu gani ambacho wewe huna?
miss you much sweet candy...
Yule ana facebook account mimi sina....