Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.
By the way it's so cool to have a twin brother 🙂
we unamuheshim na kumsikiliza?Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Kwa mkurya kama mimi. Hata 4 natimuaMtafukuza wangapi?
Basi naomba ufagie uwanja PM wageni tukuje na barua mkononi kabisa ....hahaah huyu mie wa kuzaliwa kbs
Atacha piaKumwacha sio suluhisho. Unapaswa kujua kwanini hakuheshimu,vinginevyo hata mpya utakayempata anaweza kutokuheshimu pia.
Aaahh wewe kama pesa ipo. Peleka boding mitoto yoteMkiachana
[emoji1541]
Watoto laxima wasafe
[emoji1541]
Hawatapata shule na future inakua ovyo
[emoji1541]
Wanakuja kua wa ajabu ajabu/chokoraa
[emoji1541]
Mzunguko wa umaskini
[emoji1541]
Ukizeeka no help from ur kids
[emoji1541]
Taifa maskini
Aaahh wewe kama pesa ipo. Peleka boding mitoto yote
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Basi naomba ufagie uwanja PM wageni tukuje na barua mkononi kabisa ....
Naomba uni-pm "karibu" kwasababu ukinikaribisha hapa wivu utawajaa baadhi ya watu. Hahahaha
Changamkia tenda hiyoMkuu unatutangazia kuwa wewe sasa ni free agent?
ExactlyMbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Oouch! Maneno yako mawili ya mwishoni ni msumari aise. Hahahaa...hahaha mie nilikua namtania tu 'jerry'mkuu!.... already taken
Oouch! Maneno yako mawili ya mwishoni ni msumari aise. Hahahaa...
Stay blessed dada yangu, lakin shem akizingua tu .... [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa