kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,544
- 2,146
Hujatuambia historia yako ya kumpiga dudu na kipato Chako.maana ni vitu hivyo ndio vikiwa haviko sawa hauheshimiki.Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Uwe makini huenda hao watoto sio wako ni wa huyo uliyemfumania na mkeo.Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
hahahaa mkuu unanidhalilisha aisee! mie nna maana nyingineee hehehe mie she bwana naanzaj kumlea mwanamke mwenzangu sasa!.. nami natafuta pumziko lol!...kidding
Naomba nikuPm mkuu...huwezi jua mambo ya jazwa ujazwe. Tatizo majina hayo ya kilugha na miandiko ya kiume inatumix.
Yawezekana wewe ndio tatizo hadi akawa hakuheshimu. Inaweza ukawa mbabe, haujui kujali, mlevi, kutwa kushinda vijiweni na kuchelewa kurudi nyumbani na huna hata muda na yeye, huna mawazo ya kimaisha n.k. kwa hali hiyo heshima itatoka wapi??
Tafuta chanzo mkuu, otherwise nahisi likuwa unamtafutia kijisababu tu ili umuache. Na kama hili ndo lilikuwa lengo lako then, shame on you!!! Na utamkumbuka sana, trust me!
Halafu na signature yako inatukimbiza aisee, It leaves us a mystery we'll never solve, who is Ally? 😵hahahha mwandiko wa kiume wap na ww!lol! nilikua nakutania tu!
Kweli watu mnafanya ndoa ni kitu cha mchezo kwahiyo hiko ndio ukaamua kabisa kumuacha mkeo sawa tumekusikia
Kama uliona na kusamehe kwa utashi wako tatizo liko wapi???Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Halafu na signature yako inatukimbiza aisee, It leaves us a mystery we'll never solve, who is Ally? 😵
Mzima jerry za wewe wanaona ndoa kama kitu cha kawaida tu yaan kuachana ni rahisi tu ata kwa mambo ya kukaa na kuelezana mfumanie mkeo anazini hapo muache sio eti hanisikiliziAisee mzima wewe? Tofauti ya kua na mchezo au sio mchezo ni nini?
Yani na sisi wanaume sometimes tunakuwaga kama mashetani, huwa sishangai wanawake wakituita evils. Wanaume wengine sio responsible hata kidogo aise.umeandika kiuhalisia had nimehis KUGHADHABIKA HAPA
Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.mie ni Twin mkuu! sasa hii sign inakukimbizia nn! nimemkumbuka nikaamua kuandika hvyo!
Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.
By the way it's so cool to have a twin brother 🙂