Nimeachana na mke wangu leo

Pole sana fikiria vizuri ufanye maamuzi ya kumrudia na kumfanya awe anakusikiliza mkuu
 
Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Uwe makini huenda hao watoto sio wako ni wa huyo uliyemfumania na mkeo.

Mke akishakuwa malaya huyo sio mke ni bomu la Napam!!
 
hahahaa mkuu unanidhalilisha aisee! mie nna maana nyingineee hehehe mie she bwana naanzaj kumlea mwanamke mwenzangu sasa!.. nami natafuta pumziko lol!...kidding

Naomba nikuPm mkuu...huwezi jua mambo ya jazwa ujazwe. Tatizo majina hayo ya kilugha na miandiko ya kiume inatumix.
 
Yawezekana wewe ndio tatizo hadi akawa hakuheshimu. Inaweza ukawa mbabe, haujui kujali, mlevi, kutwa kushinda vijiweni na kuchelewa kurudi nyumbani na huna hata muda na yeye, huna mawazo ya kimaisha n.k. kwa hali hiyo heshima itatoka wapi??
Tafuta chanzo mkuu, otherwise nahisi likuwa unamtafutia kijisababu tu ili umuache. Na kama hili ndo lilikuwa lengo lako then, shame on you!!! Na utamkumbuka sana, trust me!
 
Kweli watu mnafanya ndoa ni kitu cha mchezo kwahiyo hiko ndio ukaamua kabisa kumuacha mkeo sawa tumekusikia
 


umeandika kiuhalisia had nimehis KUGHADHABIKA HAPA
 
Halafu na signature yako inatukimbiza aisee, It leaves us a mystery we'll never solve, who is Ally? 😡


mie ni Twin mkuu! sasa hii sign inakukimbizia nn! nimemkumbuka nikaamua kuandika hvyo!
 
Aisee mzima wewe? Tofauti ya kua na mchezo au sio mchezo ni nini?
Mzima jerry za wewe wanaona ndoa kama kitu cha kawaida tu yaan kuachana ni rahisi tu ata kwa mambo ya kukaa na kuelezana mfumanie mkeo anazini hapo muache sio eti hanisikilizi
 
umeandika kiuhalisia had nimehis KUGHADHABIKA HAPA
Yani na sisi wanaume sometimes tunakuwaga kama mashetani, huwa sishangai wanawake wakituita evils. Wanaume wengine sio responsible hata kidogo aise.
 
mie ni Twin mkuu! sasa hii sign inakukimbizia nn! nimemkumbuka nikaamua kuandika hvyo!
Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.
By the way it's so cool to have a twin brother πŸ™‚
 
Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.
By the way it's so cool to have a twin brother πŸ™‚


hahaah huyu mie wa kuzaliwa kbs
 
niunganishe na huyo x mkeo mkuu,napenda sana wajane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…