Lbda ndio kuchanganyikiwa kwenye uko.Miss nora kwenye thread yako ya 'ndoa inanishinda' unasema huna hawara(mwezi april) leo unasema una hawara,tuchukulie lipi au unatucheza shere?
Miss nora kwenye thread yako ya 'ndoa inanishinda' unasema huna hawara(mwezi april) leo unasema una hawara,tuchukulie lipi au unatucheza shere?
nimekupata Mkuu,kumbe kati ya april na sasa Nora ndo aliamua kufanya kweli,du haya bana mi sitii neno maana ukijua huku wenzio wajua kule.Mkuu angalia hapa, "nakumbuka ni kama miezi 2 imepita kuna kijana alionyesha kunipenda sana"
vidumu oyeeeeeeeeeeeeee,kwani huwezi kuwakeeep wote wawili?mbona wengine wanaweza?lol:confused2::whistle:
ishu iko hivi, kwa sasa mume kajirudi tena sana tu, baada ya kuona na mimi simfatilii amekuwa clos na mimi sana,ila tatizo ni kwamba mimi simpendi kutoka moyoni, na kuachana nae siwezi coz 2metoka nae mbali sana na ingekuwa ni kuachana tungeachana kipindi amenikosea ila kwa sasa katulia mm moyo wangu ndo haumfurahii tu..nachohitaji ni jinsi ya kuishi coz aliyekuwa ananifanya ndo huyo tumeachana. ntaishi vipi bila kuwa na furaha, bila kuwa na mtu ninayempenda??
Hapana dia wangu sio kiherehere ni bahati.Usishangae mamii kuna watu tumeolewa wadogo sana khaaaaaaa, sijui ni kiherehere au kiranga lol
Kama ni bahati anahagaika nini na vidumu,huko kukimbilia bahati ndio kunawaponza wengi.Kwanza nahisi hata nidhamu imempungua kidogo,hii lugha yake "ananif..........." sijaipenda kabisa tena toka kwa mke wa mtu.Kwani we miss Nora unaona ni sifa au??????Hebu jiheshimu,unatudhalilisha wenzio.Nakushauri badili no ya simu,kata kabisa mawasiliano na huyo mwanachuo.Nenda na mumeo mtembelee maeneo ambayo alikupeleka wakati mnaanza mapenzi,yatarudisha kumbukumbu nyingi.Ongea na mumeo mambo ambayo ungependa akufanyie chumbani(hili ni muhumu sana sana kwani ndicho kilichokupagawisha kwa kile kidumu) nawe kuwa mbunifu humo ili ahamasike.Usiache mtoto akachukua nafasi ya baba,tena mwaka m1 ni mkubwa huyo,alale kitanda chake pembeni yenu(si kuna vitanda vya watoto).Jipende kwa kuwa msafi wakati wote,akirudi unakuwa na mvuto muda wote.Hapana dia wangu sio kiherehere ni bahati.
Sina hakika sana na hili kwani mwanaume huwezi mjua vizuri kabla hujaishi naye.Haya,anaachika,anenda kuishi na mwanachuo,akibaini the same probs aachike tena au?Naona tunahamasishana kuzikimbia ndoa,kwa mtazamo wangu si sahihi jambo hili,tumejiandaa kuishi as single mothers?Athari zake kwa watoto twazijua?Athari za kuchanganya watoto,huyu babake A,huyu babake B n.k. twazijua?Hebu tufikiri kwa kina kwanza.Dada pole,sijajua msimamo kuhusu imani yako,but kama ni mkristo una shida,kuhusu ndoa kama kweli unauhakika mumeo anabadilisha wasichana na una ushahidi dai talaka ukaishi maisha ya furaha na umtakae,mtoto asikufanye uishi kwenye ndoa ya matatizo kwani unaweza kumlea hata bila mumeo,angalia kuna ukimwi huruma za mtoto zitakupeleka pabaya!TAFAKARI!
Usishangae mamii kuna watu tumeolewa wadogo sana khaaaaaaa, sijui ni kiherehere au kiranga lol
Sina hakika sana na hili kwani mwanaume huwezi mjua vizuri kabla hujaishi naye.
Hii ni yote kwa wanaume na wanawake. Hawara unakutana naye kwa muda mfupi tu, lakini unayeishi naye mnakwazana toka mkitoka kitandani, if you are not careful., utaona kwamba hakupendi!
Kitu kingine, sisi wadada tunapenda sana kusifiwa na kupendwa. Kwa kuwa mume wako mna share majukumu mengi, hata muda wa kukusifu unapungua. Basi hapo hawara akikusifia unajiona unapendwa, tofauti na your old fashioned husband....