Muache dada aite tu.Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa.
Huenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu.Muache dada aite tu.
Hakuamua kuishi na mbwa ila alikuja kama paka kumbe jibwa.
Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWAHuenda huyo dada ndio sababu ya jamaa kuwa mbwa, ya ndoa ni mengi sana mkuu.
Hakika mkuu, upo sahihi 💯Na huenda jamaa ndio akawa sababu ya dada kumuita MBWA
ya ndoa yana mengi.
Mbwa anayekupa utamu na aliyekuzalisha hivyo vimbwa vitatu au sio? 😀😀Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Si ajabu upo rombo hapo na kina Shirima, Kimario, Kessy na Meku wanakuaga kwenye chama wakikutakia maisha mema.
km yupo na hyo timu hawezi chomoa huyoNipo nae hapa kalewa anakumbuka misiba ya kwao anaanza kuliaKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Sasa ulitaka uambatane na mbwaKila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!
Familia ya mambwa hii mkuu(Jamaa Ni mbwa dume na mke ni mbwa jike.)Tafuta jina lingine, siamini uliamua kuishi na mbwa.
Sio kweli mkuu, pumzika joto la januari lipite tukutane liquor stores.Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!

umewezaje mkuu?Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga.
Nanyi pia nawaombea
Kwa majibu hayo mimi usingeniona kbisa, ungeniona tu wakati wa kupeana mimba then nasepa.Kila la heri! Kuna huyu mbwa wangu sa hizi yupo kwenye pombe kaniacha home na watoto!