Biashara zangu utotoni hadi uzeeni

Biashara zangu utotoni hadi uzeeni

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,763
Reaction score
2,678
BIASHARA ZANGU UTOTONI HADI UZEENI

1. Miaka 7 (1993): Kuuza makopo ya soda kwa wanunua screpa

2. Miaka 8 (1994): Kuuza mihogo na visheti vya walimu shule

3. Miaka 9 (1995): Kuuza maandazi ya mama

4. Miaka 10 (1996): Kuuza vitabu vya dini vya she.Musoma,Madrasat Jawhariya- Mazimbu

5. Miaka 11: (1997)Kuuza genge la familia,Mazimbu

6. Miaka 15 (2000): Kuuza mifuko ya rambo soko kuu Morogoro (nimehitimu darasa la 7)

7. Miaka 19 2004🙂 Kuuza vipuri (spear)-Morogoro(Nimehitimu form 4, Iyunga Tech.)

8. Miaka 24;( 2009 -2010) Biashara ya stationary chuoni(Uhasibu-TIA)

9. Miaka 25: (2010)Kufundisha computer mtu kwa mtu (Muhitimu chuo)

10. Miaka 26: (2011)Kuuza pakiti za ice cream na maji Turian,Dumila na Kibaigwa

11. Miaka 27: (2012)Kufundisha ufugaji kuku kienyeji kwa njia ya kisasa (Vyuoni SUA,Mzumbe,MUM,Kigurunyembe Teachers)

12. Miaka 30: (2014-2015)Kufuga kuku wa kienyeji (AMA muajiriwa)-Moshi

13. Miaka 31: (2016-2017)Kufundisha utengenezaji Sabuni za kipande bila mashine

14. Miaka 31: (2018 -2019)Wakala kuuza computer za Apple (all in one) na laptop

15:Miaka 33 (2017 mpaka sasa 2026)Kuanzisha taasisi ya ushauri wa afya na ngozi (Natural Skin Solution)

16: Miaka 37( 2022 mpaka) Huduma ya kutoa ushauri wa kibiashara kwa ndani na nje ya nchi na kuwatembeza (Hasa Dubai na China ndiyo nimefika na kupajua vyema)

Natoa Ushauri Bure kwa yeyote kati ya hiyo

WhatsApp Image 2026-04-17 at 10.54.38.jpeg

WhatsApp Image 2026-04-14 at 10.33.30.jpeg

Kuna wengine tuo hapa kumlaumu baba japo umri wetu wa kulaumiwa ushafika.
 
BIASHARA ZANGU UTOTONI HADI UZEENI

1. Miaka 7 (1993): Kuuza makopo ya soda kwa wanunua screpa

2. Miaka 8 (1994): Kuuza mihogo na visheti vya walimu shule

3. Miaka 9 (1995): Kuuza maandazi ya mama

4. Miaka 10 (1996): Kuuza vitabu vya dini vya she.Musoma,Madrasat Jawhariya- Mazimbu

5. Miaka 11: (1997)Kuuza genge la familia,Mazimbu

6. Miaka 15 (2000): Kuuza mifuko ya rambo soko kuu Morogoro (nimehitimu darasa la 7)

7. Miaka 19 2004🙂 Kuuza vipuri (spear)-Morogoro(Nimehitimu form 4, Iyunga Tech.)

8. Miaka 24;( 2009 -2010) Biashara ya stationary chuoni(Uhasibu-TIA)

9. Miaka 25: (2010)Kufundisha computer mtu kwa mtu (Muhitimu chuo)

10. Miaka 26: (2011)Kuuza pakiti za ice cream na maji Turian,Dumila na Kibaigwa

11. Miaka 27: (2012)Kufundisha ufugaji kuku kienyeji kwa njia ya kisasa (Vyuoni SUA,Mzumbe,MUM,Kigurunyembe Teachers)

12. Miaka 30: (2014-2015)Kufuga kuku wa kienyeji (AMA muajiriwa)-Moshi

13. Miaka 31: (2016-2017)Kufundisha utengenezaji Sabuni za kipande bila mashine

14. Miaka 31: (2018 -2019)Wakala kuuza computer za Apple (all in one) na laptop

15:Miaka 33 (2017 mpaka sasa 2026)Kuanzisha taasisi ya ushauri wa afya na ngozi (Natural Skin Solution)

16: Miaka 37( 2022 mpaka) Huduma ya kutoa ushauri wa kibiashara kwa ndani na nje ya nchi na kuwatembeza (Hasa Dubai na China ndiyo nimefika na kupajua vyema)

Natoa Ushauri Bure kwa yeyote kati ya hiyo

View attachment 3574217

View attachment 3574203

View attachment 3574204

View attachment 3574206
Miaka 38 kuendelea utaanza kutuuzia Nyoro!
 
Kwanini usifocus kwenye biashara moja mkuu yaani kila mwaka bashara mpya hata biashara moja ya kukutambulisha vizuri unakuso
 
Constant elevation causes expansion

It could be better ungekuwa na biashara Moja over the period of time.

Kwakuwa unaweza ukakosa biashara ya kukutambulisha.
 
Back
Top Bottom