Magdalene_joseph
JF-Expert Member
- Jun 26, 2023
- 231
- 617
Bado wadogo njoo baada ya miaka 20 tukijaliwaNiuzie kambwa kadogo ka kike
Bado wadogo njoo baada ya miaka 20 tukijaliwaNiuzie kambwa kadogo ka kike
What a comment .Pombe gni mnakunywa mpka mnashindwa kupiga hatua kwenye maisha?
Apo tatzo sio pombe tatzo ni wewe unapokunywa pombe.
Nipe mdogo wako anayelewa piahongera mi na Shemeji yako niwalevi tena tunaendana na staki aache pombe na namuhamasisha anywe jamani utamu wa mwanaume wangu mlevi naujua mimi na sijawahi kutamani aache Mungu asante kunipa hitaji la moyo wangu.
🤣🤣🤣🤣 pombe ipo tangu enzi na enzi tatizo ni tamaa zake na akili yake tu.What a comment .
Nimefurahi sana kwa hii jumbe mpaka kuona nimeongea kingereza jua nimependa sana .
God blesa you.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app