Nimeacha drama rasmi

Popote ukiona battle nishtue mtu wangu

Na ninavyomjua mtoa mada siku si nyingi atarudi kwenye batle kwasababu si mara ya kwanza kuahidi anabadilikq lkn mwisho wa siku anakiuka kauli zake
We usijali mkuu, nikiona hakuna wanaobattle basi Mimi mwenyewe naingia kazini kubattle na mpenda fujo yeyote humu.

Nina uzoefu mkubwa sana katika kurusha makombora ya kibalistiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…