Nimchague nani?

Nimchague nani?

Huyo mwanasheria atakutundika
Miguu juu oooh
 
hiyo ni hatari naamini katika nguvu ya kukaa chini na kujadili tofauti zinazojitokeza kuliko kupuuza wakae chini wayaongee kils mtu ateme nyongo yake maisha yaendelee wawe wapya asee miaka nane mhhhhhh hapa wanaishi kimazoea tu maskin ndoa hiz
Unaskiaga hz kuta znaficha mengi sana
 
Mzee anakwambia yupo pale sababu tu ya watoto wake ambao bado wapo shule wanasoma vinginevyo sijui angekuwa Wapi. Na ukiangalia ni kweli maana kila wanae wakija likizo baba yao huwa ana amani sana issue shule zikifunguliwa kama hivi wanabaki yy na mkewe tu ni horrible kbs!

Kwa maelezo yake ameshafanya kila awezalo kuwekana sawa lkn holaaa. Yule mama hataki ukubwa, anajiona bado msichana mbiiiichiiii( hata namna anavyovaa na kubehave) ni shida
hata la kusema nimekosa wanawakesisi mtihan sana wallah
 
we dogo wacha jinga.....vijana wa kiume age yako ndo ya kujichangana kwanza mpaka kwenye 28-30....halafu wewe ni ka-kahaba fulani hivi.........wacha zinaa....panga malengo yako vema kwanza.........hao wote sio...
 
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu na nina ajira kwenye kampuni
nipo kwenye mpango wa kuoa lakini napata shida ya mwanamke yupi kati ya hawa wawili nimtambulishe nyumbani nisaidieni: wana sifa hizi

1- huyu amesoma na ni mwanasheria kwa sasa lakini ana nidhamu mara nyingi tunakorofishana kwa mambo madogo inafikia kipindi atuongei wiki lakini tunarudiana uzuri wake ni mmoja hua namfurahia sana kwenye tendo pia ananisaidiaga nikikwama kibiashara

2:huyu ajasoma sana elimu yake ni kidato cha nne na akubahatika kuendelea na masomo lakini ana nidhamu sana ananisikiliza na kunipa mawazo chanya ya kuwaza maisha na wazazi wangu pia ni mcha Mungu sana , ila kibaya simfurahii sana tunapokua kwenye tendo ila nampenda kwa upole wake na unyenyekevu
NIFANYAJE MIMI?
Muoe unayempenda.
 
Achana na wote anza upya utapata utakaempenda hata kwa madhaifu yake... Kwa hao wawili sidhani kama kuna umpendae
 
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu na nina ajira kwenye kampuni
nipo kwenye mpango wa kuoa lakini napata shida ya mwanamke yupi kati ya hawa wawili nimtambulishe nyumbani nisaidieni: wana sifa hizi

1- huyu amesoma na ni mwanasheria kwa sasa lakini ana nidhamu mara nyingi tunakorofishana kwa mambo madogo inafikia kipindi atuongei wiki lakini tunarudiana uzuri wake ni mmoja hua namfurahia sana kwenye tendo pia ananisaidiaga nikikwama kibiashara

2:huyu ajasoma sana elimu yake ni kidato cha nne na akubahatika kuendelea na masomo lakini ana nidhamu sana ananisikiliza na kunipa mawazo chanya ya kuwaza maisha na wazazi wangu pia ni mcha Mungu sana , ila kibaya simfurahii sana tunapokua kwenye tendo ila nampenda kwa upole wake na unyenyekevu
NIFANYAJE MIMI?
Oa wote maana kwa maelezo yako wote wana nidhamu.
 
Back
Top Bottom