Nimchague nani?

Nimchague nani?

mimi ndio wakwanza kwetu na ni wazazi ndio wanataka nioe na pia kweny ukoo wetu umri kama wakwangu inanibidi nioe
Kabla hujaoa ni waz una vigezo vyako japo s vyote vutatekelezeka lakin uko na vile muhim, sema na moyo wako angalia vigezo ulivyonavyo na wanawake yupi mizani imepanda chekecha shirikisha akili ako utapata jibu

Unaoa sababu wazazi wanakushinikiza?
 
Maybe kaona kwake n mda sahihi ujue, like kila mtu yuko na plans zake akifikisha age flani walau atimize hata nusu kama sio robo ya malengo amejiwekea labda alijjwekea lengo hilo who knows
Ni kweli, ila kwa maelezo yake ni dhahiri ndoa itamhangaisha sana simply kwasababu hajakomaa kiakili
 
Npo kwenye wakati mgumu sana nisaidie maana sitaki kumuumiza mtu haswa huyu mpole maana tumetoka mbali
Usioe sababu ya kumuonea huruma mtu, oa sababy unapenda na unaweza beba madhaifu ya mtu

Ukioa ambapo hupendi kuna gharama utajutia tuu

Kwanza una makosa, utabebaje wanawake wote wawil peke yako hujui umekosesha mwingine mume

*sijuagi kuna siri gani ktk machoz ya mwanamke, Mungu anaijua zaidi, ila mwanamke akilia kwa kuonewa ni hatari kwako*

Muombe Mungu akupe maamuzi sahihi,
 
Kama unaona umekomaa kiakili kiasi cha kupambana na changamoto za ndoa...Oa kwa huo umri.

Lkn km niwale ambao Mke akikuambia leo hayupo sawa kiakili ,naww ukaona kakunyima K, ukaenda kutombaa nje... Usioe kwa huo Umri.
 
Kabla hujaoa ni waz una vigezo vyako japo s vyote vutatekelezeka lakin uko na vile muhim, sema na moyo wako angalia vigezo ulivyonavyo na wanawake yupi mizani imepanda chekecha shirikisha akili ako utapata jibu

Unaoa sababu wazazi wanakushinikiza?
Connect the dots
 
Kama unaona umekomaa kiakili kiasi cha kupambana na changamoto za ndoa...Oa kwa huo umri.

Lkn km niwale ambao Mke akikuambia leo hayupo sawa kiakili ,naww ukaona kakunyima K, ukaenda kutombaa nje... Usioe kwa huo Umri.
Exactly
 
Hizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure

Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha

Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?

Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake

Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi

Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
Asipochukua huu ushauri basi atakuwa alienda chuoni kusomea ujinga.
 
Uko sahihi
Kuna mzee mmoja jirani yangu hapa aina ya maisha anayoishi na mkewe wa ndoa ni disaster. Kuna siku aliamua kunihadithia A to Z ni completely the same ya mleta mada- mwenyewe anakwambia hadi imeathiri mahusiano baina yake na wazazi wake
 
Kosea kuoa uone maisha yalivyo magum ndio mtoa mada anachotaka kukifanya hapa
 
Hizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure

Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha

Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?

Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake

Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi

Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
Umefka mbali mkuu,utasabibisha alaniwe,machozi syo mazuri
 
Back
Top Bottom