Nibiru
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 614
- 845
Hahahaaa! Baada ya matunda kukua anataka kusema shamba lakeUmepanda kwenye shamba la mtu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani unye kwenye shamba la mtu kisha uote mpera useme ni wako?
achana naye huyo mtoto itakuletea matatizo
tafuta mke
Hili ndio jawabu halisi.Kamshtaki kwa rafiki yako ili upate mke na mtoto na viporo hutapasha tena utakula vya moto moto
Acha ujinga..utamuhaRibia mwenzio familia yake.. amani ya familia ni kila kitu bro.. We unaanzaje kuwaacha mijanammke yote barabarani halafu unaenda kupanda mbegu ktk shamba lisilo lako???Wadau wa humu jf habari za harakati na mapigo ya ada za january hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake atafanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.
Mtoto anafanana na mama yake ila ni wangu kabisaa na matumizi nimekuwa ninatoa kwa siri na mara moja moja tunapashaga kipolo. Sasa kila nikimwingizia swala la mtoto wangu anilink ananikwepa.
Nawaza nimpeleke ima ustawi wa jamii au mahakamani au labda niende kwa sangoma kusaka haki yangu but kabla ya yote nikaona scenario hii niiweke humu MMU naamini kuna wajuzi wa mambo mnisaidie.
NAWASILISHA
Kama ulizaa na mke wa mtu basi hata huyo mtoto si wako ni wa mtu.Wadau wa humu jf habari za harakati na mapigo ya ada za january hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake atafanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.
Mtoto anafanana na mama yake ila ni wangu kabisaa na matumizi nimekuwa ninatoa kwa siri na mara moja moja tunapashaga kipolo. Sasa kila nikimwingizia swala la mtoto wangu anilink ananikwepa.
Nawaza nimpeleke ima ustawi wa jamii au mahakamani au labda niende kwa sangoma kusaka haki yangu but kabla ya yote nikaona scenario hii niiweke humu MMU naamini kuna wajuzi wa mambo mnisaidie.
NAWASILISHA
Kweli we huna akili kabisaWadau wa humu jf habari za harakati na mapigo ya ada za january hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake atafanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.
Mtoto anafanana na mama yake ila ni wangu kabisaa na matumizi nimekuwa ninatoa kwa siri na mara moja moja tunapashaga kipolo. Sasa kila nikimwingizia swala la mtoto wangu anilink ananikwepa.
Nawaza nimpeleke ima ustawi wa jamii au mahakamani au labda niende kwa sangoma kusaka haki yangu but kabla ya yote nikaona scenario hii niiweke humu MMU naamini kuna wajuzi wa mambo mnisaidie.
NAWASILISHA
We hamnazo kweli! Umefanya dhambi kubwa ya kuzini na mke wa mtu kisha unataka kujianika kwaa jamii kuwa ulilifanya? Jiweke katika nafasi ya huyo mume mwenzio. Ungekubali ujinga huo??Wadau wa humu jf habari za harakati na mapigo ya ada za january hii