Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Kwa majibu ya wadau humu ni kuwa huna mtoto hapo. Labda kama umenuia kuvunja ndoa ya huyo unaemwita rafiki yako kinafiki.
Watu wengi wamezaa na wake au waume wa watu. Huwa hawakomai kutaka watoto .
Odhis *
Watu wengi wamezaa na wake au waume wa watu. Huwa hawakomai kutaka watoto .
Odhis *