Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mengine nakuachia mwenyewe ila nitajibu yale ambayo yanaingia akilini

Moja wapo ambalo linaingia akilini ni hili la Yesu kuzaliwa bila baba,na huu ni muujiza mahsusi kwa waja wa Allah ili waone uumbaji wake

Kwahiyo ni neno ambalo alipuuliziwa bikira maria na akabeba mimba yake hatimaye kuzaliwa kwa Yesu

Kabla sijaendelea mbele,porojo nyingine inakuja tena,kwanini Mungu au roho yake isijiingize moja moja kwa bi mariam na kuwa mimba,hapo unaona kwamba Malaika wanafanya kazi ya kuingiza roho ya mungu kwa bikira maria,je hii imekaaje? Ndio mwendelezo wa porojo zile zile

Any way,tuendelee,je huu ndio muujiza pekee ambao unawashangaza watu juu ya ukuu wa mungu?

Yesu kazaliwa na mwanamke si ndio? Vipi kuhusu Adam aliyeumbwa bila mama wala baba?

Boss tupo pamoja?
 
Waislamu wapo karibu zaidi na majini kuliko watu wa imani nyingine.
 
Okay tuanze kwa adam.. kitu kinachoumbwa kinahitaji baba na mama?

Nimeuliza kuhusu kusoma biblia ili twende sawa..

Brother ni kweli ni uweza wa Mungu Yesu kuzaliwa bila baba.. but why? Tumezungukwa na miujiza ya Mungu kila eneo.. kwanini huyu nabii ambae achiliwa mbali alitabiriwa miaka na miaka kuwa atakuja kwanini azaliwe bila baba?

Waebrania 1:1.,2.,3.,4.,5.,6.,7.,8.
1. Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

2. mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

3. Yeye kwa kuwa ni mng’ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;

4. amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

5. Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote,
Ndiwe mwanangu,
Mimi leo nimekuzaa?
Na tena
Mimi nitakuwa kwake baba,
Na yeye atakuwa kwangu mwana?

6. Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema,
Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.

7. Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake kuwa miali ya moto.

8. Lakini kwa habari za Mwana asema,
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele;
Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
 
Boss

Si lazima.kuzaliwa na.mama na baba,hiyo challenge nilikupa ili ujue mungu ana miujiza mingi sana

Unaposema kwanini Yesu alizaliwa kwa muujiza ule wakati kuna manabii wengi sana

Naweza kukuliza kwanini Mungu aliongea na Mussa wakati kuna manabii wengi waliopita

Je boss unasemaje
 
Huyu Yesu kumbuka sio tu alizaliwa kimiujiza kumbuka na kufufuka kwake.. hakuna nabii aliyefufuka..

Ndio maana ukristo unabenwa na msingi hii..

Kuzaliwa kwake Yesu

Kufa kwake Yesu

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..
Kuzaliwa kwake Yesu sio muujiza pekee

Msingi wa ukristo upo katika haya

Kuzaliwa kwake

Kufa kwake

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..
 
Huyu Yesu kumbuka sio tu alizaliwa kimiujiza kumbuka na kufufuka kwake.. hakuna nabii aliyefufuka..

Ndio maana ukristo unabenwa na msingi hii..

Kuzaliwa kwake Yesu

Kufa kwake Yesu

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..
 
Specific Musa alikuwa na kazi nae ndio maana alizungumza nae..
 
Okay.. Leo nimekupa msingi wa ukristo

Kuna sababu kwanini Yesu azaliwe

kuna sababu kwanini afe kwa kusulubiwa

Kuna sababu kwanini afufuke

Kunasababu kwanini apae

Kuna sababu kwanini arudi..

Upo upotoshaji mkubwa unafanyika kuonekana kwamba haya mambo ni porojo sawa.. naelewa ni ngumu kwa fikra zetu kuelewa kitu ambacho ni imani.. lakini ninaomba Mungu atupe kuitambua kweli..

Maana watu wengi wanaangamia kwa kukosa ufahamu..
 
Huyu Yesu kumbuka sio tu alizaliwa kimiujiza kumbuka na kufufuka kwake.. hakuna nabii aliyefufuka..

Ndio maana ukristo unabenwa na msingi hii..

Kuzaliwa kwake Yesu

Kufa kwake Yesu

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..
Kama umeninote vizur kuna ambayo mnayaamini wenyewe huwa nakuachia mwenyewe kwasababu kwangu siyaamini,ikiwemo hii ya kufa na kufufuka kwa Yesu

Ntakupa habar ya upande wa pili kuhusu kusulubiwa kwa Yesu lkn si lazima uamini kama ambavyo mm siamini yenu

Kwa mujibu wa uelewa wa imani ya kiislamu, ni kweli Yesu alitaka kusulibiwa lakin̈ kwakuwa alikuwa ni mja wa Allah na mwenye hadhi kubwa,akaepushwa na balaa lile


Badala yake akabadilishiwa mtu mwingine na kwenda kusulubiwa,kumbuka yesu hakujulikana sana mji ule,ndio.maana hata walitaka kumkamata Petro alitakiwa ampoint Yesu kuwa ndiyo huyu

Sasa kudhibitisha ukweli wa hii version,pale msalaban Yesu alikuwa analia, "ewe mungu wangu mbona umeniacha"?

Sasa kama msemavyo ni kweli kwamba Yesu ni Mungu,je alikuwa alikuwa anamlilia mungu gani mwingine?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…