Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Wakristo wapi hao wanasali mara nne kwa mwezi?
Kwani leo hujaenda ibadani kaka😳
(Si huwa ni jumapili kwa jumapili🤔

Najua hoja utayoileta baada ya hili👆

Wacha nikujibu kabisa....... Tofautisha kufanya maombi na kuswali🤝
Kupiga magoti usiku sijui mkitaka kula kufumba macho kuomba , hiyo sio swala

Swala ni utaratibu maalum ambao wanadam wamewekewa na Mungu kwa maneno na vitendo usiobadirika ili kumuabudu yeye
Kama ilivyo kwa Waisrael na Waislam😁😁

Wote ibada zao zinaendana kwa zaidi ya 50% sababu Mungu wao ni mmoja..... Haya nyie wakristo hyo ibada yenu mlitoa wapi😳😳😳😳😳

Huo utaratibu wa kuanza na mapambio, kwaya , tenzi za rohoni, kuingia kanisani na viatu n.k
Mlitoa waaaaap😳
 
Kila majini na sehemu yake waswezi utawapata bara kwa wasukuma na wanyamwezi kwakua wanaingiliana kidogo.

Na niliposema jinn la kiasili sikumaanisha kama wewe mmasai basi unakuwaje na jinn la kimasai.
Nakupa hii task.

Muulize kaka yako, kwa nini njiwa manga ni njiwa pendwa kwa majini wengi haswa Maimuna ila hachelewi kukubadirikia😂
 
Nakupa hii task.

Muulize kaka yako, kwa nini njiwa manga ni njiwa pendwa kwa majini wengi haswa Maimuna ila hachelewi kukubadirikia😂

Pointi yangu ya msingi ni hii.

"Jini la kiswezi linapatikanakwa wanyamwezi na wasukuma ,sijawahi kuona mtu nje ya haya makabila kuwa na jini la kiswezi.

Ila jini la kimasai limetapakaa kila mahali".
Wapo na ndugu anao na hana unasibu na hizo kabila.
 
Anzisha Uzi wako
 
Hayo mambo ya dhikiri , dhikiri madadi wa madadia sheikh wangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na mkumbuke Mola Mlezi wako nafsini kwako kwa unyenyekevu na khofu, na bila ya kupiga kelele kwa kauli, asubuhi na jioni. Wala usiwe miongoni wa walio ghafilika. 7:205 Quran

Jibu lako ww mpenda dhikiri wakati muumba ameshatukataza nyie masufi ata hamzingatii hii quran
 
Kwasabu nalipika ndo Biashara yangu ana jinn wake mmoja analipenda biryani langu nikipika anakula ana sifu sana hata akiwa na wageni naitwa nikapike 😁ndo maana nikamchomekea.
Tukaribishane bibie, napenda la mbuzi
 
Nilimuuliza kaka kuhusu familia au ukoo unaweza kukufunga usifanikiwe? Majibu yake kwenye audio
Kiukweli katika hii audio kaka yako ameniangusha sana,yaan nimesikiliza mpaka dakika ya sita nikaona niache

Kwanza anazungumzia mambo ya kurithishana dhambi wakati katika imani ya kiislamu hakuna mambo hayo kabisa

Qur'an inasema mara baada ya Adam kufanya dhambi na mkewe hawa,wao pamoja na ibilisi walifukuzwa peponi,lkn Allah akawaambia kama ukiwafikia muongozo kutoka kwangu na mkaufuata basi mtaokoka


Adam akapokea maneno kutoka kwa mola wake ya kuomba toba ,nayo ni "hakika mimi nimedhulumu nafsi yangu lau kama hutanisamehe nitakuwa miongoni mwa walioghafilika au waliopata hasara kitu kama hicho"

Hapo akasamehewa kasoro ibilisi ambaye alikataa kuomba toba kwa kiburi

Kwahiyo hakukuwa tena na dhambi za kurithi wala za asili,istoshe mola wetu anasema yeye ni mwenye haki hawezi kutuhukumu kwa makosa ya watu wengine

Lakini jambo moja ambalo liko wazi ni kwamba,majanga mengi tunayokutana nayo leo ni kutokana na yale tuliyatanguliza kwa mikono yetu wenyewe,kwa maana madhambi yetu ndiyo sababu ya adhabu tunazo pata kutoka kwa Allah

Kwahiyo kusema watu wanarithi dhambi hapana kwa waislamu hakuna hiyo
 
Ila,familia mfano yenye nguvu za Giza mikoba ya kichawi maagano sijui mizimu kutoka inakuwa ngumu utapiga hatua utarudishwa nyuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…