Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.Neno Jinni lenyewe ni la Kiarabu, si ndiyo wenye elimu hao.
Sasa mtu kama Che mittoga unafikiri Kiarabu watamwita "che"? Watamuita Sheikh Mittoga.
Hapo sasa.
Hapana, sijawahi kusikia jini akiitwa Wolfgang au John, ni Kina Maiumuna, Zuchu, Muddy, Jafari na wengine wengi wenye asili ya Kiarab. Sasa naelewa kwanini Waarab si watu wa maana.Wapo wa German na wengine yaani kila race wapo sema Africa wengi wa kiarabu naona walikuja na waarabu enzi za utumwa.
Na wewe ni Muislam uchwara au? Hivi kwanini mnaendekeza hivi viumbe, hivi una elimu gani wewe hapo ulipo na unafaidika na nini kufuga majini? Waislam bwana, shida tupu!Kiasi nawafahamu hupiga nao story sio wangu lakini wa kaka yangu yeye mi mtu wa tiba so huongea nao wakiwa kichwani bila kupanda unakuta najua naona nae yeye kumbe watu wake na hunijia sana ndotoni kama kuna jambo.
Hunifundisha sana mambo ya tiba huniambia andika kaka yako akiwa hayupo mtajisaidia wenyewe japo wameshasema akifa watakuwa kwa mtoto wa Dada yetu.
Wao ndo huniambia majinn usiamini sana wana uwongo sio kila kitu wanasema ukweli kuna vitu wanaficha hakuambii real name asli yake atakuwa rahisi kukamatwa.
Na jinn kaumbwa kwa moto akiwa karibu na mwanadamu lazima kuna athari utaipata tu sababu hawakuumbwa kuwa karibu na wanadamu sema wanapenda sana ubinadamu kuanzia life style kila kitu hata wewe ukaribu na Arsis sijui Sharrif mwenye bakora yake sijui fimbo ya hinzirani 😄utakuwa una athari umepata uwe unajua au hujui huwezi kuwa karibu haswa kama wewe ukawa sawa kuna athari mwilini umepata.
Vipi kuhusu chumvi ya mawe ina safisha nyota na negative energySimba anajua kuhusu mali za ardhini, hajaleta kisa chake bado.
Simba anajua mengi sana, lakini hayafanyii kazi. Yeye anapenda kutengeza magari tu
hayo ni majina ya hekaya za zamani za Kiyahudi za miungu waliokua wakiabudu zamani.Arsis mbona hili hujibu
Usikute wewe ni kati ya wale mademu wapandishao majini wakati wa njaa na kuambia ndugu uchinjiwe mbuzi mzima au kuku, kisha upikiwe na biryani ule peke yako chumbani au unapandisha na kudanganya wenzako kuwa unampenda mume wa jirani yako mwenye uwezo na unataka amwache mkewe wa ndoa akuoe wewe jini Mahaba. Aisee, mademu wa Kiislam mna visa....siwataki hata wa bure msije mkapandisha na kusema kuwa mmetumwa kukata mboo yangu.Kiasi nawafahamu hupiga nao story sio wangu lakini wa kaka yangu yeye mi mtu wa tiba so huongea nao wakiwa kichwani bila kupanda unakuta najua naona nae yeye kumbe watu wake na hunijia sana ndotoni kama kuna jambo.
Hunifundisha sana mambo ya tiba huniambia andika kaka yako akiwa hayupo mtajisaidia wenyewe japo wameshasema akifa watakuwa kwa mtoto wa Dada yetu.
Wao ndo huniambia majinn usiamini sana wana uwongo sio kila kitu wanasema ukweli kuna vitu wanaficha hakuambii real name asli yake atakuwa rahisi kukamatwa.
Na jinn kaumbwa kwa moto akiwa karibu na mwanadamu lazima kuna athari utaipata tu sababu hawakuumbwa kuwa karibu na wanadamu sema wanapenda sana ubinadamu kuanzia life style kila kitu hata wewe ukaribu na Arsis sijui Sharrif mwenye bakora yake sijui fimbo ya hinzirani 😄utakuwa una athari umepata uwe unajua au hujui huwezi kuwa karibu haswa kama wewe ukawa sawa kuna athari mwilini umepata.
Hujajibu post yangu namba 803hayo ni majina ya hekaya za zamani za Kiyahudi za miungu waliokua wakiabudu zamani.
Arsis wewe ni jinsia gani?hayo ni majina ya hekaya za zamani za Kiyahudi za miungu waliokua wakiabudu zamani.
upo. Harufu nzuri huvutia vitu vizuri na vibaya.Arsis je kuna uhusiano wowote kati ya majini na harufu ya udi au marash kama upo ni uhusiano wa namna gani?
Fuga na wewe ufaidike ☺Na wewe ni Muislam uchwara au? Hivi kwanini mnaendekeza hivi viumbe, hivi una elimu gani wewe hapo ulipo na unafaidika na nini kufuga majini? Waislam bwana, shida tupu!
😂imebidi nicheke hujasikia jini anaitwa John kwani uliishi wapi na watu went majini ukawajua majina yao,wapo majini wa kiislamu kikirsto wahindu mpaka na infidel wasio na dini na rafiki alikuwa na jinn mzungu anaongea kizungu alisema anaitwa Moureen halafu nakuambia yote yanini wewe amini vyovyote vile.Hapana, sijawahi kusikia jini akiitwa Wolfgang au John, ni Kina Maiumuna, Zuchu, Muddy, Jafari na wengine wengi wenye asili ya Kiarab. Sasa naelewa kwanini Waarab si watu wa maana.
Mimi ni wa kiume.Arsis wewe ni jinsia gani?
Na je kuna ndoa ya majini na Binadamu?
Tuelezee zaidi tafadhali.Mimi pia nimesikiliza ile audio, lakini kwa kua sio swali langu sikujibu kitu. Mkitaka niwaeleza zaidi mtanijulisha.
Asante, Na je mti wa mbaazi una nguvu katika maswala ya kiroho? kama ndio nifafanulieupo. Harufu nzuri huvutia vitu vizuri na vibaya.
Hata binadam huvutiwa na harufu nzuri.
Chumvi ni chumvi haiana ya mawe wala ya mchanga.Vipi kuhusu chumvi ya mawe ina safisha nyota na negative energy
Kazi yake katika tiba ni nini?Chumvi ni chumvi haiana ya mawe wala ya mchanga.
Ina kazi kubwa katika tiba. Kusafisha nyota ni jina na njia ya kutafutia pesa tu. Binadam ni wabunifu sana na wanajua sana kucheza na maneno.