Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Maandiko gani hayo, wakati biblia ilikuja baada ya karne nyingi Yesu kuondoka.!?
Akili huna, na wakati Yesu anasoma kitabu cha Isaya hiyo ni nini?

Na Aya yenyewe aliyosoma Yesu ndio hii hapa. Isaya 61:1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri ...
 
La ghasha:- mapepo sio majini (jini) ni kiumbe kama viumbe wengine, shetani ni matendo means sio tu jini hata binadamu anaweza akawa ni shetani kama atakuwa na matendo yasiyompendeza Mw/MUNGU

Mapepo ni mashetani au majini walio hasi
Nilitaka nipite kimya ila nafsi imenisuta....😁

Kuna jinn mmoja, kama 3 weeks nyuma hapo!!
Alikuwa anatoa maelezo haya, najiuliza ww umejulia wapi hii concept.
(Maana yule kiumbe alikuwa analalamika binaadam tunawatafsir vibaya tofauti na uharisia
 
Umeandika sana Ertugrul Bey Mw/MUNGU akulipe kheri
 
Lilete hapa vingunguti tupige nalo story mbili tatu liambie bili ya visungura juu yangu.
 
Inawezekana hao jamaa ni untouchable, sio Arsis tu hata DR Mambo Jambo nae kapigwa biti kali.
 
We ulionana nalo wapi mkuu??
Hahahaha sijui nitumie njia ipi rahisi... wacha nijaribu, nilikuwa ugenini kwao jamaa yangu, sa nikamkuta bro mmoja pale n Geologist.... kachakaa kama mweu njaa Kali.
Mm nikawa kimya tu maana jamaa wa tatu sifahamian nae, wakamaliza story zao... Geologist katoka na sura yake ya huzuni,,,huyo Kaenda zake!!

Baada ya hapo nikapotezea... sasa baadae kdg nikahisi kama usingizi kidogo nikatafuta sehemu kujilaza
Ndo akaja huyo jinn wa Geologist kujieleza (Note: Jinn mgeni huja mara nyingi kwa njia ya njoz au maono),,,, kanipa mikasa na kinachomponza huyo mwamba mpk anapitia hali hiyo ya umasikini,,,katika maelezo yake ndo kagusa na Ile hoja niloandika hapo juu

(Alilalamika sana jamaa anawaona wao n mashetani 😂😂😂.... niishie hapa maana ulitaka tu kujua nilipozungumza na huyo kiumbe
 
Aaah mwanetu unapanga, kwanini waje kwako au na wewe ndo jini, au ndio Arsis umekuja na jina jingine??
 
Vipi mkuu, Amani iwe juu yako.
Ndugu yetu Arsis kapotea jukwaani Muumba wetu amfanyie wepesi arudi tena.Tuna miss elimu yake.
Hiyo story ya geologist kama ungeendelea nayo kidogo hivi.
 
Aaah mwanetu unapanga, kwanini waje kwako au na wewe ndo jini, au ndio Arsis umekuja na jina jingine??
Na kipindi naandika nilijua tu lazima nichochee moto😁

Chukua mfano mdogo: Upo ufaransa unahitaji upewe maji ila kutokana na kutoijua lugha ya wazawa wanakupatia gazeti, ghafla akatokea mtu ambaye anaijua lugha yako pale.... hata kama hamfahamiani n kawaida kwenda kumuomba akusaodie kuwa mkalimani wako ili uweze kupata unachotaka!!

Watu wengi hawawez kureceive information kutoka ulimwengu wa ghaib (usioonekana) ...... kwahyo mm pale nilifanya kuwa mkalimani tu, kwa lugha nyepesi tuite hvyo.

Halafu kuhusu kwann aje kwangu.. ni sabb angarau nimevuka vihatua vichache vya awali kwahyo ndo hvyo bhana
 
Aaah mwanetu unapanga, kwanini waje kwako au na wewe ndo jini, au ndio Arsis umekuja na jina jingine??
Na kipindi naandika nilijua tu lazima nichochee moto hapa😁

Ok, chukua mfano mdogo: Upo ufaransa unahitaji upewe maji ila kutokana na kutoijua lugha ya wazawa wanakupatia gazeti, ghafla akatokea mtu ambaye anaijua lugha yako pale.... hata kama hamfahamiani n kawaida kwenda kumuomba akusaodie kuwa mkalimani wako ili uweze kupata unachotaka!!

Watu wengi hawawez kureceive information kutoka ulimwengu wa ghaib (usioonekana) ...... kwahyo mm pale nilifanya kuwa mkalimani tu, kwa lugha nyepesi tuite hvyo.

Halafu kuhusu kwann aje kwangu....ni sabb hao viumbe wanajua kutumia fursa, mtu mwenye uwezo wa kupokea information direct kutoka Dunia hyo kuileta hapa kwetu sio rahisi kumpata kwahyo wao pia waliona n chance imepatikana (maana safari hiyo wakianza watu 1000 wanatoboa chini ya 10)
 
Kwahiyo mkuu wewe ni mmoja ya wapokea taarifa? Hicho cheo umekitafuta au kipo tu automatically??
 
Kwahiyo mkuu wewe ni mmoja ya wapokea taarifa? Hicho cheo umekitafuta au kipo tu automatically??
Of course... Mimi pia ni miongon, japo sijafika level za kina Arsis ila angarau sipo sawa na watu wengi!!!
Mlango wa kwanza na WA pili nishafungua

Hii maqam haikuja automatic, ilinionesha mlango halafu mm nikaufata mpk nikafika hapa..... naweza sema kwa lugha fupi ulimwengu wa kiroho humtafuta mtu wenyewe!!

Japo nimesota sana kufika hapo padogo
 
Hatua zipi hizo za awali.
Mambo ni mengi... ila hatua za awali nilizomaanisha hapo nimelalia sana kwenye upande wa medium of communication. Ambapo kwa mm nnavyofaham zipo njia tatu kuu
Njozi, Telepathy na dhahiri
(Hapo ukifungua mlango wowote kati ya hizo tatu,,, unakuwa na uwezo wa kupokea taarifa kutoka kwenye ulimwengu wa kiroho
 
Vipi mkuu, Amani iwe juu yako.
Ndugu yetu Arsis kapotea jukwaani Muumba wetu amfanyie wepesi arudi tena.Tuna miss elimu yake.
Hiyo story ya geologist kama ungeendelea nayo kidogo hivi.
Hahahahaha hii sio ndefu... ni kisa kifupi tu
(Ila hapa naogopa Uzi usijegeukia kwangu maana nakumbuka Arsis alivyoandamwa hapa
 
Aisee sawa bna, ila hayo makitu huwa sielewi sometimes.

Kwani hayo majini ni masafi kiasi kwamba wewe uwe mtu wa sala ndio yaje, kwanini wasije malaika??

Au sio usafi wa moyo bali kuna vidawadawq vya kutumia??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…