Nikuulize hiv Dini imekuja kukufundisha kipi ambacho bila dini "usingekijua?Huh hivi kwani dini ni nini? Iman ni nini? Ningependa kujua mtazamo au ufaham wako kuhusu hili.
Navyojua mie Dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kuanzia unakula vipi, unazungumza vipi, unatembea vipi, malezi kwa ujumla, utafutaji rizki na so sooo... kwamba mfumo mzima wa maisha ndio dini yenyewe. Na pale inaposemwa kuna dini nyingi duniani upande wangu naelewa kuna mifumo mingi ya maisha duniani. Kuna mifumo ya kiislam (Unyeyekevu), kuna mifumo ya kikristo, kipagani n.k
Then, Imani... Kwa ufaham wangu mimi ni kusadiki au kua na hakika ya mambo yanayoonekana na yasioonekana. Vile katika hili kuna Imani tofauti tofauti sana. Nitolee mfano Aina za Imani zinazofanana na tunacho kiongelea hapa. Imani ya Kiislam na Imani ya Kikristo.
Hua nshangazwa mtu anaposema toa mambo ya kidini hapa? How akati dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kwanini mtu huyo asiseme toa mambo yako ya kiimani hapa. Au kwanini isiwe mfia Imani iwe mfia dini? Kwani kiini cha mtifuano kipo kwenye Imani sio kwenye mienendo ya Maisha na kama ipo basi ni michache.
Nimesema haya kwasababu naona kama ni vitu viwili ambavyo vinatumika isivyo sawa kimazoea. Hivi viwili vinaweza kua pamoja au visiwe pamoja.
Kuna watu hawana Imani, yaani hawaamini katika yasio onekana ila wanaendesha maisha yao kwa kufata moja ya mifumo ya miasha iliyopo either ya Kiislam, Kikristo au mengineyo.
Kuna watu wana Iman ya Kiislam ila wanaishi kwa kufata mfumo wa Kikristo na kuna watu pia wana Iman ya Kikristo ila wanaishi kwa kufata mfumo wa maisha ya kiislam. Au pia unakuta wana imani za kiislam au kikristo ila wanaishi kipagani.
Kuna mda naonelea kutoelewa maana ya halisi ya vile tunavyozungumza inatosha kuchochea huu mkanganyiko uliopo... Na mkanganyiko uliopo hauwezi kutoka kamwe kama mtu hayupo radhi kujifunza kitu kipya hata kama kikiwa tofauti na kile ambacho tayari keshajifunza.
Hivi kuna mtu alishawah waza kwa nafasi yake vipi kama kila kitu unachofaham hadi leo hii ni Uongo na hakipo?
Ni vitu viwili tofuti, nyuma kidogo hapo Lidafo alilifanua suala la shrki.Kati ya shirikiano au kushirikiana... na ile ya Binadam kutaka msaada kwa kiumbe kingine. Ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti???? Em nifahamishe hili.
Hakuna taabu wala ingawa hujanifahamisha kama unamsujudia, so nitapenda unijibu hilo. Na kama ndio unamsujudia vipi, wakati wa sala au? Na kama ni hapana ikiwa hutojali uniambie ni kwanini.La pili lipo ndani ya uwezo wangu. ni kweli namwabudu Mungu mmoja asiye na dini wala imani. lugha wala kabila. nchi wala nyumba. Na naamini yuko peke yake...
Kama wameona kweli, inathibitisha zaidi kua Adam sio mtu wa kwanza.Kuna zingine zimegunduliwa huko kwenye bara la Antarctica. Zinafanana na yasemekana ni kubwa zaidi ya hizi zilizopo Misri.
Nani alizijenga ilhali kule wanaishi Penguins 🐧 inabaki kua fumbo.
Anha sauwa nimekuelewa, ngoja tulipanue hili swala na mie niseme ninachokifaham au kukielewa juu ya shirk.Ni vitu viwili tofuti, nyuma kidogo hapo Lidafo alilifanua suala la shrki.
Shirki, ushirikina, ushiriano, ushariki, shariki, shiriki, ushirika ni mambo tofati.
Mwenyezi Mungu hasamehi shirki isipokua anapenda wanaomshirikisha na kumtanguliza kwenye mambo yao.
Simba.
Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo, yaonekanayo na yasiyoonekana. Huwezi kuwa na hakika bila kuwa na uelewa. Imani inakuja kwa kusikia(kuelewa neno la Mungu).Huh hivi kwani dini ni nini? Iman ni nini? Ningependa kujua mtazamo au ufaham wako kuhusu hili.
Navyojua mie Dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kuanzia unakula vipi, unazungumza vipi, unatembea vipi, malezi kwa ujumla, utafutaji rizki na so sooo... kwamba mfumo mzima wa maisha ndio dini yenyewe. Na pale inaposemwa kuna dini nyingi duniani upande wangu naelewa kuna mifumo mingi ya maisha duniani. Kuna mifumo ya kiislam (Unyeyekevu), kuna mifumo ya kikristo, kipagani n.k
Then, Imani... Kwa ufaham wangu mimi ni kusadiki au kua na hakika ya mambo yanayoonekana na yasioonekana. Vile katika hili kuna Imani tofauti tofauti sana. Nitolee mfano Aina za Imani zinazofanana na tunacho kiongelea hapa. Imani ya Kiislam na Imani ya Kikristo.
Hua nshangazwa mtu anaposema toa mambo ya kidini hapa? How akati dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kwanini mtu huyo asiseme toa mambo yako ya kiimani hapa. Au kwanini isiwe mfia Imani iwe mfia dini? Kwani kiini cha mtifuano kipo kwenye Imani sio kwenye mienendo ya Maisha na kama ipo basi ni michache.
Nimesema haya kwasababu naona kama ni vitu viwili ambavyo vinatumika isivyo sawa kimazoea. Hivi viwili vinaweza kua pamoja au visiwe pamoja.
Kuna watu hawana Imani, yaani hawaamini katika yasio onekana ila wanaendesha maisha yao kwa kufata moja ya mifumo ya miasha iliyopo either ya Kiislam, Kikristo au mengineyo.
Kuna watu wana Iman ya Kiislam ila wanaishi kwa kufata mfumo wa Kikristo na kuna watu pia wana Iman ya Kikristo ila wanaishi kwa kufata mfumo wa maisha ya kiislam. Au pia unakuta wana imani za kiislam au kikristo ila wanaishi kipagani.
Kuna mda naonelea kutoelewa maana ya halisi ya vile tunavyozungumza inatosha kuchochea huu mkanganyiko uliopo... Na mkanganyiko uliopo hauwezi kutoka kamwe kama mtu hayupo radhi kujifunza kitu kipya hata kama kikiwa tofauti na kile ambacho tayari keshajifunza.
Hivi kuna mtu alishawah waza kwa nafasi yake vipi kama kila kitu unachofaham hadi leo hii ni Uongo na hakipo?
Paragraph ya kwanza, ya pili na ya tatu kuhusu maana ya neno "Imani" ninakubaliana na wewe kwa 90%. Hizo 10 tuzikaushie 🤣. Umezungumza vizuri hakika.Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo, yaonekanayo na yasiyoonekana. Huwezi kuwa na hakika bila kuwa na uelewa. Imani inakuja kwa kusikia(kuelewa neno la Mungu).
Tofautisha kati ya imani(faith) na kuamini(believe). Tuna imani na tunayoyajua tu ILA tuna amini hata tusiyoyajua. Mfano: nikikwambia nakwamini hapo namaanisha nakubali unachoniambia ila kikienda tofauti na vile umeniambia ni kumaanisha sikuamini ILA nikikwambia nina imani na wewe namaanisha nakujua vizuri hivyo hata unachoniambia kikienda tofauti haitabadilisha kitu maana nakufahamu. Imani ni sifa ila kuamini ni kitendo, ndo maana wafuasi wa dini wanaitwa believer, kusema kwamba imani ndo inakuokoa ni kumaanisha kwamba sio wote wafuasi wa dini ni wenye imani, wengi ni wenye kuamini.
Ili uwe na imani inakuhitaji ustahili kuipata na sio kwa kusema tu, imani inaambatana na haki na amani. Bayana ya yake ni furaha. Mwenye imani utamsoma ni mtu mwenye haki, amani na furaha. Hata akipitia shida haitamuondolea furaha yake na amani maana anafahamu anayo haki. Ukimsoma Ibrahim baba wa imani, alisomeka na sifa hizo zote tatu.
Dini ni njia ya kuturudisha Eden( ufalme wa Mungu), binadamu alikosa utii kwa mwenyezi Mungu akala tunda, kitendo cha kujificha baada ya kusikia sauti ya Mungu ni kumaanisha alikosa amani, furaha na kupoteza haki, na kula tunda ni kumaanisha walikosa imani na Mungu. Dini ilikuja baada ya dhambi(kama dini ndio imani basi ingekuepo kabla ya dhambi, Eden) lakini ilikuja baadae na ikawa kama njia ya kuturudisha katika ufalme wa Mungu.
Dini imebeba asili ya ilipoanzia ILA imani inabeba uhalisi, ndo maana watu wenye imani wanaongea lugha moja bila kujali dini zao maana dini imebeba asili ambapo asili ina tofauti ILA halisi ni halisi haina tofauti sababu inatokana na chanzo kimoja.
JINN CATCHINGKaka ni aya gani izo za kumuita jini
Duh pole sana ndungu, kuwa na moyo wa matumaini na kumshukuru MUNGU kwa kila jambo kwani yeye ni muweza wa yote.Wakati wa BWANA ukifika yote yaliyokuumiza utayasahau na kumshukuru MUNGU🙏Kuna muda najaribu sana kumuomba Mungu anipumzishde tu usingizi wa milele maisha haya nimeyachoka😥😭😭😭
Usiwe na shaka wala haraka, yote niyajuayo utayafahamu nisio yajua Arsis ataongezea nyama.JINN CATCHING
Nianze kwa kusema maelezo nitakayoyatoa kuhusu njia hii ya kumkamata jinni ni kwa mujibu wa sheikh Abdorauf Benhalima nitajitaidi kufupisha kama mtu atakuwa na swali atauliza.
Nianze hivi, Nadhani wengi wetu tushaona mtu ana pandisha majini wengine husema kupandisha pepo sasa mtu anapokuwa katika hali ile maana yake jini ndio kamvaa mtu kinyume chake ni kuwa mtu anaweza kumvaa jini yaani mtu anamkamata jini hii ni kwa lazima jini ata kama hataki atakuja na atakuwa kakamatwa hio ndio jinn catching.
ili njia hii ifanye kazi ni lazima kuwe na catcher, Catcher ndio mtu atayemkamata huyo jini na sio kila mtu anaweza kuwa catcher ila ni mtu ambaye ashawahi kukumbwa na majini na majini yakaongea kupitia yeye ndio maana mwanzoni nikasema wale wanao pandishaga majini, hawa wanaweza kuwa catcher.
Sasa kwanini njia hii itumike?, Kwa mujibu wa sheikh anasema uchawi upo wa aina nyingi mtu anaweza fanyiwa uchawi na uchawi ule ukafukiwa, ukatupwa baharini, ukatupwa kwenye kisima ukazikwa makaburini n.k sasa ikiwa utamsomea mtu atapata nafuu lakini uchawi ule bado upo huko ulipowekwa hivyo mgonjwa atapata nafuu ila ataendelea kuumwa baada ya muda tena na ni ngumu wewe kujua uchawi unaomsumbua ulipo na ikatokea ukajua mfano umefukiwa makaburini ni ngumu wewe mwanadamu kufukua huko ndio maana njia hii inamwezesha tabibu kumuita jini aliyehusika katika huo uchawi maana uchawi ukifanyika majini waovu huulinda uchawi huo sasa jini yule akija anakuwa kakamatwa yeye na sio yeye kamvaa mtu na atalazimishwa autoe uchawi ule uko ulipo pamoja na mambo mengine kulingana na ugonjwa wa mtu.
Maelezo ni marefu ila kwa ufupi ni kuwa njia hiyo inafanyika kwa kusoma aya ya 196 ya surat al a`raf mara moja kisha utasoma aya ya 148 surat baqarah kuanzia aynama takoon mpka mwisho wa aya utairudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
إِنَّ وَلِيِّيَ اللَّـهُ الَّذِي نَزَّلَ الْكِتَابَ وَهُوَ يَتَوَلَّى الصَّالِحِينَ -- Araf --196 ayat
Inna waliyyi Allahu allathee nazzala alkitaba wahuwa yatawalla as-saliheen."
وَلِكُلّٖ وِجۡهَةٌ هُوَ مُوَلِّيهَاۖ فَٱسۡتَبِقُواْ ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ أَيۡنَ مَا تَكُونُواْ يَأۡتِ بِكُمُ ٱللَّهُ جَمِيعًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٞ--- baqara 148 ayat
Wa likullinw wijhatun huwa muwalleehaa fastabiqul khairaat; ayna maa takoonoo yaati bikumullaahu jamee’aa; innal laaha ‘alaa kulli shai’in qadeer.
Hii surat baqarah utaanzia hapo kwenye ayna maa takoonoo mpka mwisho kwa kurudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
N.B: Wapo baadhi ya masheikh wanampinga sheikh ben halima wakidai kuwa njia hii anayotumia sio sahihi na wametoa hoja zao na sheikh ben halima akatoa hoja zake pia kutetea njia hii hivyo kama wewe unapenda kujifunza zaidi unaweza ingia mtandaoni ukawasikiliza you tube video zao zipo nyingi tu.
sheikh amezunguka nchi nyingi sana kupamabana na wachawi na mashayatwiin na moja katika mada zake alizozifanyia jini catching ni pamoja na vita kati ya israel na palestina, barmurda triange, freemason,Pyramid za misri, Emarald book, vitabu vya imam ghazal, The coming of masih dajjal, vita vya somalia, vita vya nigeria,political issues kama za watoto kuuwawa sana zinapokaribia chaguzi katika nchi mbalimbali n.k zote hizo anakuwa anawakamata majini wanohusiana na kitu anachotaka kujua kisha ana jadiliana nao.
ukitaka kujifunza zaidi kuhusu njia hii ingia katika website yake linki hio
Arsis niliomba ulifafanue ili zaidi maana bado nalifanyia research piaBIOGRAPHY
Site officiel BEN HALIMA ABDERRAOUF - Biographie, ses oeuvres, la roqya, le captage, spiritualités, démonstration de captage, vidéos, téléchargementswww.benhalimaabderraouf.fr
Kuna sehemu mkiwa na majini wengine mnavuka checkpoint mkawa mnayapita magari mengine bila kuyakwepa. Hapo unazungumziaje na teknolojia hiyo ya mazingaombwe?Ahsante kwa maswali yako mazuri sana.
1) Qur'an inatutaka tusiwaambu wala tusiwaamini majini. Nakushauri isome suratul Jinn nadani ya Qur'an imeelezea vizuri sana.
2) Hilo la pete inavyofanya kazi kunificha nililiuliza sana kwa alienipa hio pete, nimelielewa hivi; Pete nikiiminya kwa kuificha ni mawasiliano tu na Arsis ambae anaweka teknolojia ya kuwekewa kama pazia la kunificha nisionekane. Nabaki kuwa mimi mwenyewe na unaweza kunigusa au kunishika ukahisi lakini hunioni, ndio maana nakwepa sana kugusana na mtu nikifanya hivyo. Nilivypelewa mimi ni teknolojia tu au nsiseme mazingaombwe tu hakuna zaidi.
3) hayo ya sala na sadaka ni mambo makubwa sana kupita maelezo, Qur'an imeyasisitiza sana na ipo wazi kuhusu hayo. Ni kinga ya kila kitu. Mwenyezi Mungu wetu ni kila kitu. Maana mojawapo ya neno "sadaka" no urafiki, unapotoa sadaka unafanya urafiki na Muumba wako, kuna lipi lenye ubora zaidi ya kua rafiki wa muumba wetu?
Sadaka pia ina maana nyingine lakini zinaelekea hukohuko kwenye mema.
Simba.
Pamoja 🤝Usiwe na shaka wala haraka, yote niyajuayo utayafahamu nisio yajua Arsis ataongezea nyama.
Simba.
Unasema kweli? Kwamba magonjwa yote yana dawa?Usiwaze hayo, hakuna ugonjwa usuyokuwa na tiba.
. Mmeenda hospitali kubwa za rufaa?
Kwanza kabisa msingi wa hojabinayozalisha mjadala huu ilikuabkumjibu aliyesema Yesu alipandisha jini katika zile siku 40. Nikauliza anayepandisha majini anaweza kujitoa yeye mwenyewe.?Hakuna taabu wala ingawa hujanifahamisha kama unamsujudia, so nitapenda unijibu hilo. Na kama ndio unamsujudia vipi, wakati wa sala au? Na kama ni hapana ikiwa hutojali uniambie ni kwanini.
Kingine katika hiki ambacho nime qoute, hayo maneno uliyotumia itakua vyema unifahamishe maana ake unavyoelewa wewe ili nisikutafsiri namna navyoelewa mie tukashindwa kukaa meza moja vizuri.
Dini ni nini, Imani ni nini! Na kwanini unasema Mwenyezi Mungu hana dini wala Imani? Je hili kuna sehem umejifunza au ni wewe tu ndio umejiamulia juu ya jambo hilo?
Kabisa tena.Unasema kweli? Kwamba magonjwa yote yana dawa?
Hakuna ugonjwa usiokuwa na dawa, inategemea wapi pa kupata hiyo dawa.Unasema kweli? Kwamba magonjwa yote yana dawa?
Ile Arsis aniita ni teknollojia ya Quatumn multi dimensional.Kuna sehemu mkiwa na majini wengine mnavuka checkpoint mkawa mnayapita magari mengine bila kuyakwepa. Hapo unazungumziaje na teknolojia hiyo ya mazingaombwe?
huyo arsis hajui kituJINN CATCHING
Nianze kwa kusema maelezo nitakayoyatoa kuhusu njia hii ya kumkamata jinni ni kwa mujibu wa sheikh Abdorauf Benhalima nitajitaidi kufupisha kama mtu atakuwa na swali atauliza.
Nianze hivi, Nadhani wengi wetu tushaona mtu ana pandisha majini wengine husema kupandisha pepo sasa mtu anapokuwa katika hali ile maana yake jini ndio kamvaa mtu kinyume chake ni kuwa mtu anaweza kumvaa jini yaani mtu anamkamata jini hii ni kwa lazima jini ata kama hataki atakuja na atakuwa kakamatwa hio ndio jinn catching.
ili njia hii ifanye kazi ni lazima kuwe na catcher, Catcher ndio mtu atayemkamata huyo jini na sio kila mtu anaweza kuwa catcher ila ni mtu ambaye ashawahi kukumbwa na majini na majini yakaongea kupitia yeye ndio maana mwanzoni nikasema wale wanao pandishaga majini, hawa wanaweza kuwa catcher.
Sasa kwanini njia hii itumike?, Kwa mujibu wa sheikh anasema uchawi upo wa aina nyingi mtu anaweza fanyiwa uchawi na uchawi ule ukafukiwa, ukatupwa baharini, ukatupwa kwenye kisima ukazikwa makaburini n.k sasa ikiwa utamsomea mtu atapata nafuu lakini uchawi ule bado upo huko ulipowekwa hivyo mgonjwa atapata nafuu ila ataendelea kuumwa baada ya muda tena na ni ngumu wewe kujua uchawi unaomsumbua ulipo na ikatokea ukajua mfano umefukiwa makaburini ni ngumu wewe mwanadamu kufukua huko ndio maana njia hii inamwezesha tabibu kumuita jini aliyehusika katika huo uchawi maana uchawi ukifanyika majini waovu huulinda uchawi huo sasa jini yule akija anakuwa kakamatwa yeye na sio yeye kamvaa mtu na atalazimishwa autoe uchawi ule uko ulipo pamoja na mambo mengine kulingana na ugonjwa wa mtu.
Maelezo ni marefu ila kwa ufupi ni kuwa njia hiyo inafanyika kwa kusoma aya ya 196 ya surat al a`raf mara moja kisha utasoma aya ya 148 surat baqarah kuanzia aynama takoon mpka mwisho wa aya utairudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
إِنَّ وَلِيِّيَ اللَّـهُ الَّذِي نَزَّلَ الْكِتَابَ وَهُوَ يَتَوَلَّى الصَّالِحِينَ -- Araf --196 ayat
Inna waliyyi Allahu allathee nazzala alkitaba wahuwa yatawalla as-saliheen."
وَلِكُلّٖ وِجۡهَةٌ هُوَ مُوَلِّيهَاۖ فَٱسۡتَبِقُواْ ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ أَيۡنَ مَا تَكُونُواْ يَأۡتِ بِكُمُ ٱللَّهُ جَمِيعًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٞ--- baqara 148 ayat
Wa likullinw wijhatun huwa muwalleehaa fastabiqul khairaat; ayna maa takoonoo yaati bikumullaahu jamee’aa; innal laaha ‘alaa kulli shai’in qadeer.
Hii surat baqarah utaanzia hapo kwenye ayna maa takoonoo mpka mwisho kwa kurudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
N.B: Wapo baadhi ya masheikh wanampinga sheikh ben halima wakidai kuwa njia hii anayotumia sio sahihi na wametoa hoja zao na sheikh ben halima akatoa hoja zake pia kutetea njia hii hivyo kama wewe unapenda kujifunza zaidi unaweza ingia mtandaoni ukawasikiliza you tube video zao zipo nyingi tu.
sheikh amezunguka nchi nyingi sana kupamabana na wachawi na mashayatwiin na moja katika mada zake alizozifanyia jini catching ni pamoja na vita kati ya israel na palestina, barmurda triange, freemason,Pyramid za misri, Emarald book, vitabu vya imam ghazal, The coming of masih dajjal, vita vya somalia, vita vya nigeria,political issues kama za watoto kuuwawa sana zinapokaribia chaguzi katika nchi mbalimbali n.k zote hizo anakuwa anawakamata majini wanohusiana na kitu anachotaka kujua kisha ana jadiliana nao.
ukitaka kujifunza zaidi kuhusu njia hii ingia katika website yake linki hio
Arsis niliomba ulifafanue ili zaidi maana bado nalifanyia research piaBIOGRAPHY
Site officiel BEN HALIMA ABDERRAOUF - Biographie, ses oeuvres, la roqya, le captage, spiritualités, démonstration de captage, vidéos, téléchargementswww.benhalimaabderraouf.fr
Sijaiona hoja iliyosema "Yesu alipandisha jini katika zile siku 40". Niliweka mimi hoja kuwa Yesu "alikumbwa" na jini.Kwanza kabisa msingi wa hojabinayozalisha mjadala huu ilikuabkumjibu aliyesema Yesu alipandisha jini katika zile siku 40. Nikauliza anayepandisha majini anaweza kujitoa yeye mwenyewe.?
So kuhusu hilo mimi mwenyewe nasubiri jibu mpaka Leo ambalo niliambiwa lipo ktk mistari niliyoiquote.
Nikirudi katika maswali hoja yako, kwanza natumia maandiko mbalimbali na kwa akili yangu napata maana ninayoielewa.
Imani ni Kuamini, Dini ni mfumo au utaratibu wa maisha ya kiroho. Na Mungu hana hivyo vyote kwasababu hana wakumchallange.
Kusujudu ni tends lakusalim amri kwa Muumba na inatakiwa viungo 7 vya mwili viguse ardhi na huo ndio utaratibu kwa watu wote kabla ya dini kuwapo. Dini ndio zimeleta u tofauti katika kumsujudu Mungu mkuu.
Mi binafsi Najitahidi ktk hilo.