Niliwahi uliza swali kuhusu majina ya Barhatiya, Simba alisema ni shirkiKaririin ndio jina la pili. Na kwakutumia jina hili la kaririin unaweza waitwa wa Khodam wakaja na ukaomba usaidizi wowote toka kwao.
Naam. Bado nasimama kwenye hilo.Niliwahi uliza swali kuhusu majina ya Barhatiya, Simba alisema ni shirki
Mimi staki kuingilia majibu ya maulamaa humu, nasubiri na mimi nipate elimu ya majibu kwa swali lako hilo zuri sana.Yani Mungu akuumbe halafu akuchome moto? Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wako? Siamini hili.
Je anakuchoma bila sababu?Yani Mungu akuumbe halafu akuchome moto? Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wako? Siamini hili.
YAANI MOYO SAFI NDIYO 'MPANGO MZIMA'...Sawa Sheikh mose.
Ulipoongelea clean heart ndio ukanikumbusha kipande hicho cha aya za Qur'an. Fupi lakini zimesheheni ujumbe mkubwa sana.
Simba.
Ungetoa elimu simba kivipi ni shirk ? Maana wenyewe wanasema ni majina ya mwenyezimungu kwa lugha ya kisriania tena wengine ni masheikh kabisa, Binafsi nilivyoyasikia kwa mara ya kwanza nikasema mpaka nipate uhakika kweli ni majina ya mungu au shirki ndio nitayafanyia kazi, Tufafanulie kidogo watu wasije fanya shirk wakijua wanamuomba Allah.Naam. Bado nasimama kwenye hilo.
Simba.
Arsis Jamiix Hayo maneno ni dua nzuri sana kwa ajili ya kujikinga na madhara na ubaya. Ntajitahidi kuweka maana yake.Hio translation ya google haitarjimu vizuri, ngoja Sheikh Lidafo atufanyie tarjama.
Simba.
safi sana,ila mkuu umesahau kitu kimoja muhimu hiyo aya inapatikana katika sura gani na aya ya ngapi?Arsis Jamiix Hayo maneno ni dua nzuri sana kwa ajili ya kujikinga na madhara na ubaya. Ntajitahidi kuweka maana yake.
KIARABU - بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لَا يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
YANAVYOTAMKWA - "Bismillahi lladhi la yadurru ma'a ismihi shay'un fil-ardi wala fissama'i wa huwa as-sami'ul-'alim."
ENGLISH TRANSLATION - In the Name of Allah, Who with His Name nothing can cause harm in the earth nor in the heavens, and He is the All-Hearing, the All-Knowing.
TAFSIRI YA KISWAHILI - "Kwa jina la Allah, ambaye, Kwa jina Lake hakidhuru chochote kilicho ardhini wala mbinguni, naye ni Mwenye Kusikia na Mwenye kujua."
Tafsiri ya Maneno
- بِسْمِ اللَّهِ (Bismillahi) - Kwa jina la Allah
- الَّذِي (alladhi) - Ambaye
- لَا يَضُرُّ (la yadurru) - Hakidhuru
- مَعَ اسْمِهِ (ma'a ismihi) - Kwa jina Lake
- شَيْءٌ (shay'un) - Kitu
- فِي الْأَرْضِ (fi al-ardi) - Katika ardhi
- وَلَا فِي السَّمَاءِ (wala fissama'i) - Wala mbinguni
- وَهُوَ (wa huwa) - Naye ni
- السَّمِيعُ (as-sami') - Mwenye kusikia
- الْعَلِيمُ (al-'alim) - Mwenye kujua/maarifa
Tafsiri ya Jumla
Dua hii inasema kwamba, kwa jina la Allah, jina Lake linatoa kinga dhidi ya madhara yoyote katika ardhi na angani, kwani Yeye ni Msikivu na Mwenye maarifa yaani mwenye kujua..
Mkuu usilazimishe mambo,Kitu kingine cha kujifunza hapa wasomaji wa huu uzi,tukubaliane kutokukubaliana kwa baadhi ya mambo tu na wala haipunguzi ukweli wa mambo,yaani ukweli utabakia kuwa ukweli tu,ila kwa kuondoa ubishani tukubaliane kutokukubaliana
Mfano mtu anasema malaika waliasi,mtu kama huyu ni kumkubalia tu lkn ukweli unajulikana,mtu anasema imani fulani haitambui uwepo wa viumbe fulani ni kumwacha tu aamini kwa yale ambayo yanafurahisha nafsi yake ingawa ukweli ni tofauti na matamanio yake
Tuendelee kujifunza zaidi
Asante
Kwa ufupi. Hayo ni majina kwanza yaliandikwa na Ahmad AlBuni kwenye kitabu chake Shams Al Maarif... Kitabu hicho jinsi kilivyokua na mambo mazito, wengi wakakiita cha uchawi.Ungetoa elimu simba kivipi ni shirk ? Maana wenyewe wanasema ni majina ya mwenyezimungu kwa lugha ya kisriania tena wengine ni masheikh kabisa, Binafsi nilivyoyasikia kwa mara ya kwanza nikasema mpaka nipate uhakika kweli ni majina ya mungu au shirki ndio nitayafanyia kazi, Tufafanulie kidogo watu wasije fanya shirk wakijua wanamuomba Allah.
Kweli kabisa, mambo kama hayo ndio ikaletwa Qur'an kuweka sawa palipopotoshwa.Kitu kingine cha kujifunza hapa wasomaji wa huu uzi,tukubaliane kutokukubaliana kwa baadhi ya mambo tu na wala haipunguzi ukweli wa mambo,yaani ukweli utabakia kuwa ukweli tu,ila kwa kuondoa ubishani tukubaliane kutokukubaliana
Mfano mtu anasema malaika waliasi,mtu kama huyu ni kumkubalia tu lkn ukweli unajulikana,mtu anasema imani fulani haitambui uwepo wa viumbe fulani ni kumwacha tu aamini kwa yale ambayo yanafurahisha nafsi yake ingawa ukweli ni tofauti na matamanio yake
Tuendelee kujifunza zaidi
Asante
Christian doctrine, Yesu alisurubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu.Je anakuchoma bila sababu?
Ndiyo hayo ninayosema kuna baadhi ya mambo tukubaliane kutokukubalina
Kweli kabisa lakini yeye ameongelea kuhusu malaika Kuasi, hayo sio mafundisho ya Kiislam.Mkuu usilazimishe mambo,
Ukristo na uislamu ni dini mbili tofauti.
Hapa wakristo tunajifunza ya upande mwingine. Ila kwenye Bible hayapo.
Swadakta,nime kusoma vizuri,na ni tafsiri nzuri na pana bila kujali ni dini gani.Arsis Jamiix Hayo maneno ni dua nzuri sana kwa ajili ya kujikinga na madhara na ubaya. Ntajitahidi kuweka maana yake.
KIARABU - بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لَا يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
YANAVYOTAMKWA - "Bismillahi lladhi la yadurru ma'a ismihi shay'un fil-ardi wala fissama'i wa huwa as-sami'ul-'alim."
ENGLISH TRANSLATION - In the Name of Allah, Who with His Name nothing can cause harm in the earth nor in the heavens, and He is the All-Hearing, the All-Knowing.
TAFSIRI YA KISWAHILI - "Kwa jina la Allah, ambaye, Kwa jina Lake hakidhuru chochote kilicho ardhini wala mbinguni, naye ni Mwenye Kusikia na Mwenye kujua."
Tafsiri ya Maneno
- بِسْمِ اللَّهِ (Bismillahi) - Kwa jina la Allah
- الَّذِي (alladhi) - Ambaye
- لَا يَضُرُّ (la yadurru) - Hakidhuru
- مَعَ اسْمِهِ (ma'a ismihi) - Kwa jina Lake
- شَيْءٌ (shay'un) - Kitu
- فِي الْأَرْضِ (fi al-ardi) - Katika ardhi
- وَلَا فِي السَّمَاءِ (wala fissama'i) - Wala mbinguni
- وَهُوَ (wa huwa) - Naye ni
- السَّمِيعُ (as-sami') - Mwenye kusikia
- الْعَلِيمُ (al-'alim) - Mwenye kujua/maarifa
Tafsiri ya Jumla
Dua hii inasema kwamba, kwa jina la Allah, jina Lake linatoa kinga dhidi ya madhara yoyote katika ardhi na angani, kwani Yeye ni Msikivu na Mwenye maarifa yaani mwenye kujua..
SawaChristian doctrine, Yesu alisurubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu.
Yesu ndio njia ya uzima na kweli, ukibatizwa na kumfuata una uzima wa milele, haya ndio mafundisho ya Biblia, habari za motoni motoni hata ukimsikia mchungaji anahubiri ni kutisha watu tu lakini ukweli na msingi wa Ukristo tumetakaswa na damu ya Yesu.
SawaMkuu usilazimishe mambo,
Ukristo na uislamu ni dini mbili tofauti.
Hapa wakristo tunajifunza ya upande mwingine. Ila kwenye Bible hayapo.