Inabidi kua mwanagalifu sana, bila mabinti, uasherati na zinaa ni uchafu kwa imani zote. hata wasio amini Mungu.Huu uzi umenifanya niwe na mtazamo tofaut kidogo na hawa wanawake na mishangazi na mabinti wanao jitanda tanda baibui au kuvaa mahijab na ma abaya..ππ
Nimeanza kuwaona kama wana vuvuli vivuli tu vya majini kama vibuki flan hiv kila nikikutana nao, nakaa kwa tahadhari πππ.
Kuna mmoja leo chombo kikali almanusura ni make a move , ila kuona tu kavaa ushungi ,nikakumbuka hii stori nikajituliza π
Ni kwel, nimeacha muda mrefu sana hiz mambo ila kutaman sometimes kupo Simba, wajua tena sheikhInabidi kua mwanagalifu sana, bila mabinti, uasherati na zinaa ni uchafu kwa imani zote. hata wasio amini Mungu.
Simba.
Mtu kutaka kujua kujifunza ndio imekuwa racism tena wengi wanadai kuyaona majini watu lakini watu wapo wa rangi tofauti na ni ukweli usiopingika,kama una mtazamo huo basi Nature ndio imeleta racism,kwa ninavyoelewa mimi racism ina maana tofauti na swali languRace inazaa racism.
Huwa nakwepa sana maswali ya kibaguzi. Sasa mtu ushaona Mdigo halafu unauliza race. Chukulia alikua mzungu.
Simba.
Pole sana..umejuaje kama ni uchawi dada angu?. Na mmemjuaje huyo mchawi? Au na nyie ndio mshamezeshwa sunu na waganga njaa wawachune pesa kwa kuwaambia mambo mnayopenda kuyasikia?.Simba naomba mshauri mume wangu cha kufanya kwenye upande wa rizki, anaweza kukaa hata mwaka mzima hajaingiza hata thumni.huu mzigo nimeubeba zaidi ya miaka 15 sasa bdo sijamkatia tamaa ila kibinadamu inachosha.....sisi ni wakristo lakini kwa maustadhi tumeenda sana na kwengine alienda mwenyewe! Hata kazi hapati wakati mwingine unaiona kazi hii hapa anafanya interview hapati. Tunajua ni uchawi na muhusika ni mtu wake wa karibu sanaa! Natamani umuelekeze afanye nini ili hii nuksi imtoke aishi km wanaume wengine japo watu wanaotuzunguka hawajui hali yake kwasbabu Mimi nafanya kazi na kuziba mapengo yote ila kuelemewa kupo kwasbabu kipato hakitoshi....natangulza shukrani zangu
Asante sana, nashukuru kwa Ushauri na tutafanyia kazi pia tunajitahdi kutokufanya maasi lkn kwasbabu sisi ni binadamu kuteleza kupo.Pole sana.
Ushauri wa kwanza ni ibada na nyote kuacha maasi.
Simba
Quantum Physics.Mambo ya quantum mechanics haya.
Yeah! unaweza kutuelezea kwa mujibu wa Arsis inafanyaje kaziQuantum Physics.
Simba.
'Hilo ni ingilio tu'...Quantum Physics.
Simba.
Simba, courtesy, nafikiria kutia chachu huu uzi wako... Kama hili 'halina nongwa' bariki hili wadau wapate 'Maarifa' na 'Maarifu'...
Hii Sheikh ukiisoma Qur'an imeielezea vizuri na maulamaa wa Kiislaam wamefafanua kisomi, kasoro ni lugha tu tofauti.Yeah! unaweza kutuelezea kwa mujibu wa Arsis inafanyaje kazi
Hatuendi kwa waganga na ndiyo maana hakuna nilikowataja! Kuhusu uchawi km huamini wala sikulaumu!Pole sana..umejuaje kama ni uchawi dada angu?. Na mmemjuaje huyo mchawi? Au na nyie ndio mshamezeshwa sunu na waganga njaa wawachune pesa kwa kuwaambia mambo mnayopenda kuyasikia?.
Anakaribishwa sana.Ngoja nimwite Sheikh Omar Mnyeshani
Inaonyesha bwana Arsis majibu yako ni mepesi. Mtu yoyote anaweza kujibu hivyo. Kama hawana maasi je? Tunajua mawazo.ya binadamu yanazurura sana. Macho.yanaona. jioni tunasali kushukuru ya siku. Asubuhi tunasali kuanza siku. Wewe kama mtaalam una majibu gani ya ziada?Pole sana.
Ushauri wa kwanza ni ibada na nyote kuacha maasi.
Simba
Mwenyezi Mungu atunusuru sote na atuweke mbali sana na maasi.Asante sana, nashukuru kwa Ushauri na tutafanyia kazi pia tunajitahdi kutokufanya maasi lkn kwasbabu sisi ni binadamu kuteleza kupo.
Ombi langu km Kuna tiba unaweza kuelekeza akafanya mwenyewe msaidie. Hapa namuongelea Baba wa familia watoto wanasoma haingizi hata mia anaweza kukaa zaidi ya mwaka kama mwanaume anaumia sana.....na pia iko wazi inajulikana ni uchawi wa mtu wake wa karibu. Kwa wachungaji, mashekhe kufunga nk yote anafanya
Nimejaribu kukufahamisha kwa masimamo wangu, sio wako.Kama nimekosea nisamehe sana.Mtu kutaka kujua kujifunza ndio imekuwa racism tena wengi wanadai kuyaona majini watu lakini watu wapo wa rangi tofauti na ni ukweli usiopingika,kama una mtazamo huo basi Nature ndio imeleta racism,kwa ninavyoelewa mimi racism ina maana tofauti na swali langu
Ni majaribu na mtihani mkubwa sana. Mwenyezi Mungu atuepushe na hii mitihani.Ni kwel, nimeacha muda mrefu sana hiz mambo ila kutaman sometimes kupo Simba, wajua tena sheikh
FF wewe mchokozi, ameshasema hilo alikwambia wewe kama utani. Hebu poa kidogo, wewe wakati wote ukali tu?Haya ushajibiwa.
Dawa yao ni kuwasomea Kur_juwan tu.Hapa mengi yamenipita, nilikuwa busy na tukio la Alli Mohamned Kibao.
Simba Arsis mnatueleza nini mtu wa Tanga mwenzenu huyo.
Swali zuri sana hilo.Kama huwaoni sura inakuwaje unajua kama wanakuja kwa sura tofauti tofauti
Sura Ipo na mtu yupo lakini anakua hapendi tutazamane uso kwa uso au nikimuona hivi sura naiona sio nilioiona jana au mapema.Unaposema mtu huoni sura yake unamaanisha haipo au hiyo sura inakuwaje mpaka haionekani huku mwili ukionekana,nimejikita bado.kule k/koo uliposema kuna wengine sura zao ulikuwa huzioni