Niliyoyashuhudia leo Muhimbili

Madaktari wamesikiliza maneno ya mitandaoni kuwa Hali ni mbaya kwanini wasiogope?.
maana huku mitandaoni kila mgonjwa anaepelekwa hospital wanasema ana corona kila mtu akifa wana sema ana corona kwanini wasiogope.
TUBADILIKE SISI KWANZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu madaktari hawajawa trained kuogopa wagonjwa..never!..na hakuna daktari anayefanya kazi yake kwa kusoma hisia za mitandao!.ni either hawana vifaa vya kujikinga au hakuna nafasi ya kuwahudimia wagonjwa.
 
Tusilaumu madoctor. Kumbuka hawana vitendea kazi vya kujidhibiti na maambukizi ya Covid 19. So hawawezi deal na wagonjwa wasiojua status yao ya mambukizi.

Mi naona bora private

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Wewe umesema.
Ila ukweli ndo huo..
sasa hivi kila muhudumu wa afya akipelekewa mgonjwa jambo la kwanza linalomjia akilini mwake ni corona.
ameshajengewa hofu.
KWA HYO MNAPOAMBIWA SUBIRINI VIPIMO VITOKE MSILALAMIKE.
Mkuu madaktari hawajawa trained kuogopa wagonjwa..never!..na hakuna daktari anayefanya kazi yake kwa kusoma hisia za mitandao!.ni either hawana vifaa vya kujikinga au hakuna nafasi ya kuwahudimia wagonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesema.
Ila ukweli ndo huo..
sasa hivi kila muhudumu wa afya akipelekewa mgonjwa jambo la kwanza linalomjia akilini mwake ni corona.
ameshajengewa hofu.
KWA HYO MNAPOAMBIWA SUBIRINI VIPIMO VITOKE MSILALAMIKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usiongee story za vijiweni..ungekuwa daktari ungejua a,b,c za taaluma zetu..hakuna upumbavu unaoitwa hofu ya mgonjwa kwa daktari mwenye vifaa.
 
Pole sana mkuu.
Ila naomba kurekebisha tarehe ya leo : 30/04/2020
Mungu ampe mgonjwa uponyaji wa haraka.
 
Back
Top Bottom