YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Umaskini kitu kibaya mno kwa hiyo ulitaka aingie na bodaboda ndio roho yako ifurahi? halafu pale ni sehemu ya ibada ulitaka aingie akipunga mikono? ule haukuwa mkutano wa siasa9. Mtumishi alikuwa anaingia na V8 tinted na hakuna cha kupungia hata waumini mkono.