Niliyoyashuhudia kwenye mkutano wa injili wa Mwamposa Moshi

Wewe kwanini hukwenda kupata hizo clip za mkutano ili ujiridhishe huyo ni mtu wa mungu na uje kutoa ushuhuda, unapenda kutafuniwa
sikuwepo siwezi jibu hilo atuwekee clip za mkutano wote siku hizo mbili tuangalie hapa tujadili kwa pamoja kwa uwazi.MLETA MADA TUWEKEE CLIP ZA MKUTANO ZA SIKU ZOTE MBILI HAPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sababu ya kwanza ndio inabeba kila kitu, na kwasababu hiyo wakristu tutaendelea kuchezewa sana, hatutaki kusoma biblia wenyewe tumjue Mungu wa kweli, tunataka short cut za kuponywa shida zetu, hivyo tunakimbilia kwa wanaojiita manabii na mitume, na kwasababu wao wanajua tunachotaka, ndio wanakuja na shuhuda za uongo ili kuendelea kupata watu.

But all in all, kama kweli hiyo huduma haijasimama kwenye misingi thabiti ya ukristu, bible, itadondoka tu, hata afanye nini huyo jamaa, hakika itadondoka tu, hakuna uchawi unaoishinda injili ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakusha ngaza hao hao wachungaji huwa wana wacheka nakuwaita wapumbafu ila hawa elewi hao hao wachungaji eti unasikia watu wajinga eti wanataka vitu vyabule wakati wao wenyewe Wana vitaka jamanii walokole mmezidi kuweni kiakili Mungu Ni imani yako tu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Walokole wenginkwa ku bomu.na kuomba omba hela kwa waliofanikiwa hawajambo lakini ukimwambia twende kwa Mwamposya tukachote baraka za utajiri hataki ukishapata atakuita majina yote mazuri unakuta huyu hapa kafika nyumbani na sifa kibao ohhh mtumishi wa Mungu aliye juu Sana naomba nijiweke wazi kwako wanangu hawajala nisaidie hata elfu mbili Mungu atakubariki mno ukinipa!!! Ukimpa anaporomosha Sala ndeeefu Hadi ananena!! Unafiki mtupu
Utasikia ohh injili ya mafanikio sio injili .Wakati anaabudu waliofanikiwa kansani kwake na kuwaweka viti vya mbele na maskini viti vya nyuma
 
Mkuu, watu wanabishana na zezeta tu hapa, pengine hili ni pepo
Halafu kubishania Neno la Mungu kwa reference ya devil person kama mwamposa ni upumbavu
Yesu hakuwa na mabaunsa usipotoshe, tena yeye alimkanya mwanafunzi wake asipambane na watesi wake.
Mabaunsa gani waoga kama Petro kiasi cha kumkana Yesu alivyochukuliwa na watesi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache bwana , wataendelea kufa kama kuku , nasubiri mkutano wake mwingine

20 people died for sacrifice
YEHODAYA post yako #15 umeandika as if kichwa umekifungia kabatini au umekisahau kwenye seat ya daladala,unasema mikutano yake wanajaa Waislam hivi unadhani mimi ambaye ni Mkristo na namuona tapeli haitakuwa zaidi kwa asiye Mkristo kumuona ni mwizi kabisa?

Hao wanaojazana kumsikiliza mtu kama yule ni wale wavivu wa kusoma Bible wakiamini kila kitu atakimaliza nabii sijui mtume,kusali hawasali wanasubiri mtume asali kubariki walivyopewa mamlaka wavibariki hawataki wamemuachia mtume abariki mwisho kawaambia wakachote baraka kwa miguu.

Pathetic!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo damu za watu 20 mnaenda kuzifanyia nini
Usiende, sababu hata ulipoenda hukwenda kusali bali ulienda kama mshtaki ibilisi, farisayo na sadukayo ukitafuta umshtaki Mwamposya kwa lipi.Toka mwanzo hadi mwisho hukuwa kusali ulikuwa kupeleleza kama mshtaki ibilisi uone ni kipi upate kumdhalilisha Mwamposya,Hukwenda na roho ya ibada

ulienda na mapepo yako na ukatoka nayo usirudi nayo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashanga nini pesa za miujiza zipo.Labda tufafanulie wewe zile pesa petro wakati wa Yesu alitoa kwenye tumbo la samaki na kulipa kodi .Zile hela ziliingiaje kwa samaki ,kutoka chanzo kipi?
Hebu kuwa makini kidogo mkuu. Pesa za Petro kwa context ile ya 2000 years sio hizi wanazolipwa watu kuja kutoa shuhuda. Yani uingiziwe pesa kwenye simu useme ni Yesu?? Jamani mnatumia ujinga wa fikra na umaskini wa watu kudangaya .

Yote yana mwisho ila huu ni wiziiii sio Injili .

Hujiulizi kwa nini Yesu aliwakalia watu kutangaza uponyaji na miujiza na manabii wenu ndio wa kwanza ?

Manabii kina Musa na Yona na wengine walifanya nini? Kasome tena theolojoa msidanganye watu bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu... ulicho koti na ulicho jibu haviendani kabisa.. ibada kuanza kwa watu kuanza kutoa ushuhuda ndio deliverance!??
Huduma ya delivarance au kufungua waliofungwa ni tofauti na huduma ya mahubiri ya kawaida uliyozoea.UNAONA watu wa delivarance wengi huwa na walinzi hicho wewe hukushangaa? Wale walinzi kazi yao kubwa ni kumlinda mtumishi asije vamiwa na wapandisha mapepo au vichaa waliokuja kufunguliwa

Kwa nini huanza delivarance moja kwa moja na sio kuhubiri kwanza?
KUNA mhubiri toka Nigeria alienda marekani kuhubiri ni mhubiri mkubwa tu .Wenyewe wamarekani waliposikia ni mhubiri mkubwa mwenye jina kubwa wakasema njoo wakamlipia kila kitu .LAKINI KWA siri wakapanga kumpima kama kweli ana nguvu za kiroho na ufahamu wa kiroho

wakampeleka kwenye semina akakuta ukumbi umefurika watu wamekaa .Akakaribishwa aanze huduma yake akafungua Biblia akaanza kuhubiri akahubiri kama dakika kumi mwenyeji akasema inatosha.TUONDOKE akaambiwa live kuwa hawamtaki hayuko kiroho.
sababu nini ilikuwa?

wote waliokuwepo ukumbini walikuwa viziwi walichukuliwa sehemu mbali mbali wakaletwa kwenye semina wakamtegeshea wakasema huenda atalijua hilo awafungue kwanza ndipo aanze kuhubiri ,yeye kafika tu na BIBLIA yake kaanza kubwabwaja kwa viziwi

Na hawakumwambia akawauliza kwa nini mlinijaribu wakajibu neno la Mungu linaturuhusu kuzijaribu roho ndio maana tukakujaribu tukakuona huna uwezo wa kiroho kama unavyosifiwa

Watu wenye mapepo kuanza kuwahubiria kwa mtu wa delivarance huwa haaanzii huko

Ni kweli mikutano ya Mwamposya wengi huwa biblia hawana pia sababu wengi HUWA ni waislamu sio wakristo

yapo mengi tu ila cha msingi ujue kuna tofauti kubwa kati ya huduma ya deliverance na hii ya kuhubiri tu kwa kutumia Biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu mwenyewe alikuwa na mabaunsa 12 mitume wake.POPOTE alipoenda alienda nao
kuna siku alivamiwa baunsa wake petro akatoa kisu chake akamkata sikio mtu
Ila Yesu alimwambia nini Petro?? Rudisha sime yako . Na kumbuka wale ni wafuasi si mabaunsa hilo la petro alitala petro mwenyewe na Yesu alimzuia.

Aliwachagua wakawe mitume na wafuasi si mabaunsa
Aisee kumbe mnadangaya watu wasiojua bible lahaulaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ameshasema kwamba aliona huyo nabii ni mwongo it means amshajitambua badala umshauri aende na njia gani unamkandia tens zaidi unachanganya na ukoo hata wewe si mkristo wakristo hawapo kama wewe na wewe akili yako inamashaka... Mpaka mtu ameleta Uzi huku nikwamba amekuwa aware ......
..................Usijumlishe jamii yote kwa kusema “WAKRISTO TUNANAPOTOKA SANA” ukiwaweka na wale walio timamu vichwani mwao na wanaojua thamani ya Imani ya Kristo,sema “SISI TUNAOJIITA WAKRISTO HUKU HATUJUI TUNAABUDU NINI TUNAPOTOKA SANA”

Ni ujinga na wendawazimu kama mtu unaweza kwenda kuchomwa na jua kiwanjani kumsikiliza mjanja mjanja mmoja akinyofoa baadhi ya vifungu vya Biblia na kuwadanganya watu na kuwauzia baraka,eti anauza maji na mafuta ya baraka mikate ya baraka juzi sijui ni huyu niliona pic's za chvpí kwamba wale walio wagumba wazinunue wavae watajaaliwa uzao,hivi kweli nyie waumini mna akili sawasawa kweli vichwani mwenu???

Kwa sababu anawaona mapoyoyo juzi akaona awape home work ya kufanya ili mjue thamani ya Imani zenu akawadanganya mkagombanie kukanyaga mafuta aliyomwaga chini mmeenda kama nyumbu akaondoka hapo na ishirini,ninini mnafanya ni njaa ama nini?shida zimezidi?Imani haba mnapenda miujiza na mnataka kufanikiwa kwa kuombewa na mtu,mkiambiwa fanyeni kazi hamtaki huku maisha mazuri mkiyataka mnatamani muendeshe magari na kujenga nyumba nzuri kwa kuitikia tu Aminaaa,Aminaaa huku mikono mmeiinua kwa juu.

Hiyo paragraph ya mwisho nashangaa kwanini upo hapa,hata wewe unayeaminika kusoma kwenye ukoo wako unaamini upuuzi wa kukanyaga mafuta?Mungu anisamehe ila ningekuwa Israel na wewe nisingekuacha lazima kingeeleweka siku ile,Mungu hafanyi kazi kibwege hivyo otherwise asingeweka kitu maarifa kwenye bongo za wanadamu amkeni.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Walokole wenginkwa ku bomu.na kuomba omba hela kwa waliofanikiwa hawajambo lakini ukimwambia twende kwa Mwamposya tukachote baraka za utajiri hataki ukishapata atakuita majina yote mazuri unakuta huyu hapa kafika nyumbani na sifa kibao ohhh mtumishi wa Mungu aliye juu Sana naomba nijiweke wazi kwako wanangu hawajala nisaidie hata elfu mbili Mungu atakubariki mno ukinipa!!! Ukimpa anaporomosha Sala ndeeefu Hadi ananena!! Unafiki mtupu
Utasikia ohh injili ya mafanikio sio injili .Wakati anaabudu waliofanikiwa kansani kwake na kuwaweka viti vya mbele na maskini viti vya nyuma
Who is mwamposa yule shetani wa mguu mmoja na walokole wana tofauti gani yaani imani ya leo ni ya
kipumbavu Sana eti mafuta alafu kaki mbia huku akijua watu watakufa wamekufa haja sema kitu baada ya siku tatu utasikia eti mwamposa kafufua na wakati ishirini walio kufa kwake hajaweza mwamposa mxiuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom