Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

hivi ujinga wa kuita vituo vya mafuta sheli bado unaendelea huko bongoland
 
Dah..!
Nilitegemea kukutana na koment kama hii..ukiangalia na hizo picha za passport size za hivo vijibwa yaani nimecheka mpaka bar nzima wananitazama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona kuna watu wabishi wabishi apa ingieni Instagram msearch page hii
natty dogs
Hii ni dog park iko Kilimanjaro jamaa wana zalisha/tunza na kuuza hii mijibwa
[HASHTAG]#GSD[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Caucasian[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Rottweiler[/HASHTAG]
etc...
 

 
Tatizo hapo ni kukosa uaminifu ukidhani wanyama hawatasema unachowafanyia, mbwa waliamua kula shea yao aliyoila.
 
Itakuwa story ya kutunga ,yaani mtu aliwe na mbwa isiwe story iliyotrend?haiwezekani hii itakuwa chai tu.
Rotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapinga
 
Yaleeeeee ya mzee wetu Kingunge...😱😱kama hii story ni kweli.. Ila mbwa kumla mtu hadi kichwa tu kibakie. Mmmhh
 
Itakuwa story ya kutunga ,yaani mtu aliwe na mbwa isiwe story iliyotrend?haiwezekani hii itakuwa chai tu.
ndugu huwezi kujua kila linalotokea na kumbuka kuwa kila siku watu wanakufa,lau kma vifo vyote vingekuwa vinaandikwa hata huyo diamond usingemjua
 
Rotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapinga

Nafahamu mkuu,isipokuwa mimi ambacho kinanipa shaka kuhusu hii stori,ni kuhusu tukio zima lilivyotokea halafu vyombo vya dola vinalimaliza hilo suala kama vile aliuawa alikuwa mtu asiye na ndugu au jamaa,sidhani hili jambo lilipaswa kuisha kirahisi kihivyo,ilipaswa mwenye mbwa awekwe ndani ili uchunguzi ufanyike na ikiwezekana afikishwe mahakani ili mahakama iamue kuwa ana kesi ama la,na kwa hakika hii ingekuwa bonge la habari kwa vyombo vya habari nchi nzima kama ilivyo habari ya Mwalimu Ayubu.
 
naomba nikuulize kwanza umaisoma thread yangu vizuri kuhusu nini muarabu amewafanyia ndugu?swali la mwisho unaijua nguvu ya pesa?nakuuliza tena unaijua nguvu ya pesa?ukishaijua nguvu ya pesa ndo utaelewa kuwa unaweza kupigwa sahaba na mtoto wa tajiri then mzee wako akapigwa 200m,then akaenda kupoza ndugu zake kwa kusema ni mipango ya mungu hata wakimpeleka jela wewe maiti huwez kurudi
 
Nawawekea Picha Za Hao Mbwa Wanaoitwa Rotweiller Ambao Amedai Wanakula Kilo 10 kwa Mbwa Wawili na Pia Walimla Mtu Na Kubakisha Kichwa

Kwa Muonekano Tu Wa Mbwa Huyu Rotweiller Inaonyesha Kabisa Ni hadithi ya kutungwa kabisa

Moderator tunaomba upeleke uzi huu katika Thread Vichekesho na Vioja hapa sio mahala pake


 
Samahan mkuu mm kuna kitu sijaelewa kwenye uzi wako

Hapo naona hyo mzee anakusimulia alafu badae analiwa na bwa anabakia macho tu

Niweke sawa mkuu
 
Rotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapinga
Leo niko hapa msamvu nitatumia ujuzi wangu kuja kuthibitisha uongo wa jamaa Natenga kupoteza massa mawili hapa ili kutegua hiki kitendawili niko na private car nitasafiri muda wowote ila kwanza nikafukue udambwidambwi kuanzia Mafisa mpk msamvu yote niifanyie reking nitaleta ukweli mtupu mleta story kama hata Jali aseme ni sheli ya kuelekea upande upi Dodoma dar iringa au moro mjini maana njia zote zina sheli atoe location kurahisisha kazi
 
Samahan mkuu mm kuna kitu sijaelewa kwenye uzi wako

Hapo naona hyo mzee anakusimulia alafu badae analiwa na bwa anabakia macho tu

Niweke sawa mkuu
usiwe mvivu wa kusoma ndugu soma kwanza then ndo uulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…