Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Hiyo ndio uhindini, na uchafu wao.
Tanzania kuxuri bana!
 
Kingine ni ubaguzi wa wahindi kwa watu weusi. Mtu mweusi India hana heshima kama ambavyo nchini petu tunavyowaheshimu watu wa rangi zote.

Ubaguzi hata wenyewe kwa wenyewe kati ya mhindi mweusi na mhindi kawaida.
 

Kweli ajali sijaona. Kwa ubize wa magari nilitegemea wapigane pasi balaa ila hamna.

Ukarimu wa wahindi una sababu sio wa bure. Wahindi wanapenda sana udalali. Akikupeleka hotel,dukani, sehemu za kubadilisha pesa anapewa cha juu na yeye.
Hakuna msaada usiokuwa na malengo na msaada hauna risiti.
 
Mbona hawa wahindi wa hapa mjini wana kiburi sana utadhani wanatokea sehemu ya maana kumbe OLD manzese type??? Lini watarudi kwao Mumbai bana?
Nimerekebisha manake manzese saivi inatisha kwa magorofa kkoo soon itasubiri
Watu wa mipango miji wasijisahau Manzese inakuwa kwa kasi balaaaa full magorofa
 
Jamaa huwa wanatema ht makohozi hotelini mkiwa mnakula.afu washamba wanapiga mswaki kwny swimming pool jamaa wachafu kila mda wanatema makohozi
 
we bombay yote na ukubwa wote ule umeona mabaya tu? hauwezi kuwa serious
 
Kuna kipindi nilikuwa Hyderabad nikakumbana na maziwa yaliyowekwa pilipili pia, hiyo ni baada ya mchuzi kunishinda kwa pilipipli nikaomba maziwa kupozea nikakuta ni yale yale.
 
Jamaa huwa wanatema ht makohozi hotelini mkiwa mnakula.afu washamba wanapiga mswaki kwny swimming pool jamaa wachafu kila mda wanatema makohozi
wanatema mate hovyo kwa ajili ya kula guberi na pariki
 
mbona mi nafikaga kila siku mumbai delhi na chennai lakini mighahawa yote niingiayo ni misafi na warembo ni wengi kushinda foleni ya magari,?



oh samahani nafikaga huko kupitia movie zao za bollywood
 
Hivi Mumbai na Bombay ni mji mmoja au ni tofaut
 
Inshort wahindi wachafu..Foleni kwao ni kawaida. Ukiwa Mumbai,New Delhi hivyo ni vitu vya kawaida. Ukienda kaskazini Punjab kuna joto la ajabu kipindi cha joto (50 Centigrade) na baridi lao sio mchezo(2 Centigrade). Ila wao wamezoea na maisha yanaenda. Uzuri ni kuwa elimu yao iko vizuri hasa kwenye maswala ya IT na biashara hawa watu wamejipanga. Na elimu ni bei chee sana.
 
u

uko sahihi kabisa 100% kwa kuongeza tu majumba mjini hayajawahi pakwa rangi kama 50 yrs back yaani mji woote ni magofu matupu kasoro tu hotel kubwa kubwa za kimataifa
 
Inaonekana wewe ni muasia mwenye kugushwa na habari hii na kuonyesha hisia zako. Umeshindwa kuji control.
 
Inaonekana wewe ni muasia mwenye kugushwa na habari hii na kuonyesha hisia zako. Umeshindwa kuji control.
Ahsante Mkuu; kweli nawe waonesha umekimbia vita vya kongo na M23... bora utulie hapo shambani kwa bibi !!!
 
Tuambie kuhusu Appolo hospital ili nifanye maamuzi haraka, tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…