Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
How?
Usisikie mkuu, India kuna maajabu hujapata ona maishani. Kweli tembea ujionee.
How?
Kumbe huwa unapita na huku ,nikajua we ni jukwaa moja tuMimi nilienda last year Mumbai.juu ya honi na u busy Wa mji wao. Sijaona ajali barabarani.Mimi niliona wahindi wakarimu tofauti na nilivyohisi.chakula sikukipenda .na lugha ilikuwa ngumu usafiri wangu ulikuwa bajaji.muendesha bajaji kizungu hajui tunaelekezana kwa vitendo.na mji wao ni rahisi kupotea.
Mimi nilidhani chatu mzee wa kibisa kumbe foleni aluu,naona hilo pori linanuka kinyesinasikia wenzetu hunya popote wakijisikiaMkuu hata mie nasikia kule hakufai kwa jam baadhi ya picha hizi hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
Marahaba!Aisee duh,
Kwa maana nyingine akiolewa bila kuwa bikra inakua ni aibu kwa familia husika.!?
Kweli ajali sijaona. Kwa ubize wa magari nilitegemea wapigane pasi balaa ila hamna.
Ukarimu wa wahindi una sababu sio wa bure. Wahindi wanapenda sana udalali. Akikupeleka hotel,dukani, sehemu za kubadilisha pesa anapewa cha juu na yeye.
Hakuna msaada usiokuwa na malengo na msaada hauna risiti.
hata huku si unaona walivyo ...Hakika aisee, huko ni pa ajabu ..Usisikie mkuu, India kuna maajabu hujapata ona maishani. Kweli tembea ujionee.
Hunishindi mmNinavyowachukia wahindi siku kama ningekuwa prezidaa tayari wangekuwa wamesharud kwao mumbay




Mkuu siamin kama unanishinda Mimi.... Nasema tena siamin kama unanishinda Mimi.... Narudia tena ninavyowachukia wahindi hakuna kiumbe kutoka Tanzania kinachowachukia kama Mimi. OVERHunishindi mm![]()
New Delhi nilipenda wanavyopata mapato yatokanayo na matumizi ya barabara road license wameweka vituo vya kukatia barabarani gari likipita linalipa hapohapo sio huku kwetu mpaka mwende TRA full mafoleniNew Delhi kiukweli ni pazuri na pametulia wana MALLS nzuri na METRO TRAIN ya nguvu.
Kwenye issue za horn wana fujo sana, niliona magari yao mengi yameandikwa kabisa "Blow horn"Honi kama vile nyimbo kwao, nilipita Mumbai mwaka jana wakati nakwenda chennai, nikalala pale siku 4 siku 1 niliyoingia mjini sikutamani tena kurudi mpaka siku naondoka,
Hizo Honi mpaka niliugua kichwa, hata mwenyeji wangu nilipomuuliza kanijulisha anasema wao kupiga Honi sio kama labda uko vibaya dereva mwenzake, Ila Ndio udereva wao, hiyo niliona pia Karachi, Pakistan
Kwenye issue za horn wana fujo sana, niliona magari yao mengi yameandikwa kabisa "Blow horn"
![]()
![]()
Wanajua kupigana.?Stesheni ya Treni pale Mumbai Vibaka wa kufikia ka Mtaa wa Congo,haijalishi unatokea wapi hawa vibaka wapo kwa makundi ni hatari sana wakati mwingine.