Niliyoyaona Kenya, Tanzania is better a million times

Niliyoyaona Kenya, Tanzania is better a million times


hakuma geni hapa ni porojo ya kawaida ya mtanganyika na inferiority complex kibao, umelipa nauli ukafika kuomba chakula nairobi!!! ulofa na ujuaji utapeleka kwa gongo huko!!!

Hili litakuwa li kikuyu, umeligonga lime panick
 
Tuache uongo. Huwezi lingnisha tz na kenya. Tanzania tuko nyuma ya kenya 20yrs. Japo hatupendi ukweli ndo huu sema sie taarabu zimejaa midomoni bila vitendo. Tz ni nch pekee duniani ambayo raia wake hawajutii na kuchukia tmaskini wao.

Aina ya watu waliosombwa na propaganda. Ongea kwa facts sio maneno matupu. Kipi kinaifanya Kenya iwe mbele ya Tanzania miaka ishirini zaidi?
 
Duu Haya bwana tumekuelewa Sasa turudi kazini
 
Tembea uone ndugu, katika nchi tisa duniani nilizotembelea tz ni ya pili kwa ukarimu ,amani na kila sifa nzuri. Jivunie utanzania

Ukarimu umekusaidia nini! Huo ujamaa ndio umetufikisha hapa tulipo
 
Aina ya watu waliosombwa na propaganda. Ongea kwa facts sio maneno matupu. Kipi kinaifanya Kenya iwe mbele ya Tanzania miaka ishirini zaidi?

Hivi kweli hukijui au unataka tu kujipa moyo!! Cc: mathabane
 
Last edited by a moderator:
Watanzania ni nidhamu na upendo wa uoga, kukosa financial security ndio inatufanya tuwe karibu, lakini angalia tukishapata hela maisha yanakuwa kama Kenya.
Kuna sababu ya kufika dukani kusema unaomba zaidi ya kwamba unajua kesho utakopa? Au kusalimiana na kila mtu muda unapata wapi
 
Wakenya watu wapenda sifa sana, hawana lolote na ukitaka kujua hilo tembelea vijiji vya kenya utagundua kuwa tz tupo sawa kiukweli, na ukitaka kuamini hawa ni hovyo hawana ustaarabu kuomba wao ni utasikia Nataka,nipe du

Kwani hujui kuwa kenya kuna wakurya?
 
Tembea uone ndugu, katika nchi tisa duniani nilizotembelea tz ni ya pili kwa ukarimu ,amani na kila sifa nzuri. Jivunie utanzania

Ukarimu wa kukirimiana umasikini kweli tunao, maisha yenyewe ya mlo fake mmoja kwa siku huyo mkirimiwa utamkirimu nini. Sifa za kipumbavu.
 
Tuache uongo. Huwezi lingnisha tz na kenya. Tanzania tuko nyuma ya kenya 20yrs. Japo hatupendi ukweli ndo huu sema sie taarabu zimejaa midomoni bila vitendo. Tz ni nch pekee duniani ambayo raia wake hawajutii na kuchukia tmaskini wao.

Mkuu, nahisi kama utakuja hujamuelewa mleta mada.

Yeye amejikita zaidi katika ukarimu na upendo, na sio kiuchumi...
 
Ili tuwe bora zaidii kuliko kenya tuondoe ccm hapo tutadhihirisha ubora wetu dhidi ya kenya.

Au mimi ndo sijamuelewa mleta mada!??

Mkuu, kwani kuna mahusiano gani kati ya kuwa mkarimu, mwenye busara na upendo na ccm!??

Maana mleta mada ajasema kuhusu uchumi
 
Tuache uongo. Huwezi lingnisha tz na kenya. Tanzania tuko nyuma ya kenya 20yrs. Japo hatupendi ukweli ndo huu sema sie taarabu zimejaa midomoni bila vitendo. Tz ni nch pekee duniani ambayo raia wake hawajutii na kuchukia tmaskini wao.

Umeongea mkuu na ndiyo sababu tunatawaliwa na chama kimoja zaidi ya nusu karne. Watz hatujiulizi kwa nini hata nchi zilizoendelea wananchi wanabadilisha uongozi kila mara ingawa wako mbele mara laki kadhaa kimaendeleo kuliko sisi.
Kibaya zaidi viongozi wetu wapo kiguu na njia kwenye nchi zilizoendelea utafikiri wanakwenda kujifunza kumbe wanakwenda kushangaa shangaa.
 
dhumuni?big up.yani siku 5 uliwakagua hadi vijijini na kufahamu hadi ufinyu wa ardhi?na ni vp uliishiwa hadi ukaomba msaada?kutembea ktk hayo masoko ulipeleka vitunguu au dengu?
 
hivi mleta mada alikwenda kufanya biashara au kufanya utafiti?maana katembea sehemu korofi sana.Alikuwa akitafuta chang'aa.
 
Back
Top Bottom