wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Katika kuhangaika kwangu na maisha nikifanya biashara huku na kule hatimae wiki iliyopita nikawa nimetua Nairobi, ni mji mzuri na hali ya hewa safi nimekaa hapo takribani siku 5 hivi ndio nikapata nafasi ya kuijua Kenya na Wakenya.
Ndugu zangu wakenya ni wachoyo na si wakarimu, Kenya unaweza kufa njaa na watu wanakuangalia tofauti na Uganda na Tanzania, ndugu zangu Wakenya ni wana ukabila sijawahi kuona, si rahisi kukuta Waluo wanawapenda Wakalenjini au Wakisii wanashirikiana vyema na Waluo, ni watu wanaoishi kinafiki kwa kuficha chuki zao moyoni kwa tabasamu.
Hali ya ugaidi imewanyima amani wakenya na wana hofu ya kufanyiwa ugaidi kwa 100%, halafu ndugu zangu hawa ni wajuaji sana, kila jambo wanajifanya kulijua, ardhi kwao ngumu sana kuipata, hawana ardhi kwa wingi kama ilivyo Tanzania.
Nikatembelea maeneo ya Kibera na Mathare hapo ndo nilichoka, naomba nikiri kuwa Tanzania nzima pamoja na umaskini wetu hakuna maeneo mabaya ya kufananishwa na Mathare au Kibera, hapa ndo najiuliza ujivuni walionao unatoka wapi?