Niliyoyaona jimboni Karatu

Niliyoyaona jimboni Karatu

Mkuu naheshimu sana mawazo yako, umesema kwamba thred ulitumiwa sasa hapa umetuletea umbeya mimi nitakusaidia kukupa hint kidogo za Karatu.

Karatu ni moja ya Wilaya za kupigiwa mfano Tanzania, Dokt Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu wakati huo wakazi wake waliamini ili kupatikana maji Karatu inahitajika ije miujiza, Dokt wa ukweli akajitahidi sana na amefanikiwa kuweka mtandao wa maji katika kila kiji, na isingewezekana ktokana na mazingira ya huko kuweka maji katika kila kaya, amefanikiwa kujenga Shule za Sekondari katika kila Kijiji Mkwere anazungumzia ujenzi wa Sekondari za Kata na ujanja huo aliupatia Karatu baada kufanya ziara huko na kusomewa taarifa ya maendeleo ya Wilaya, alipofika Dar es Salaam akakurupuka kujenga Shule katika kila Kata, Halmashauri ya Wilaya ya Karatu chini ya CDM imefanikiwa kujenga chuo cha Ualimu cha Halmashauri na pia chuo cha uuguzi, ni halmashauri pekee nchini ilipata mafanikio makubwa sana na ni ya kupigiwa mfano, hata EL mwaka 2000 alipotakiwa kuenda jimboni Karatu kumshughulikia Dr Slaa aliweza kutoa ushuhuda kwa wana CCM wenzake kwa kuwa hawezi kwenda huko kutokana na Dr Slaa alivyoweza kuwahudumia wananchi wa jimbo lake na maendeleo makubwa yaliyopatikana hayo ni machache lakini yapo mengi ambayo ni ya mfano na kujivunia Karatu
 
Toka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii

1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
 
Hiyo safari ya Loliondo umepitaje jimbo la KARATU? mto wa mbu ni MONDULI pia unapita Engare sero ambayo ni LONGIDO na hata hiyo Loliondo ni jimbo la NGORONGORO...usipotoshe watu

kwanza leta demarcations za Jimbo la Karatu,areas covered and nearby places ili tuamini unachosema
 
Mkuu naheshimu sana mawazo yako, umesema kwamba thred ulitumiwa sasa hapa umetuletea umbeya mimi nitakusaidia kukupa hint kidogo za Karatu.

Karatu ni moja ya Wilaya za kupigiwa mfano Tanzania, Dokt Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu wakati huo wakazi wake waliamini ili kupatikana maji Karatu inahitajika ije miujiza, Dokt wa ukweli akajitahidi sana na amefanikiwa kuweka mtandao wa maji katika kila kiji, na isingewezekana ktokana na mazingira ya huko kuweka maji katika kila kaya, amefanikiwa kujenga Shule za Sekondari katika kila Kijiji Mkwere anazungumzia ujenzi wa Sekondari za Kata na ujanja huo aliupatia Karatu baada kufanya ziara huko na kusomewa taarifa ya maendeleo ya Wilaya, alipofika Dar es Salaam akakurupuka kujenga Shule katika kila Kata, Halmashauri ya Wilaya ya Karatu chini ya CDM imefanikiwa kujenga chuo cha Ualimu cha Halmashauri na pia chuo cha uuguzi, ni halmashauri pekee nchini ilipata mafanikio makubwa sana na ni ya kupigiwa mfano, hata EL mwaka 2000 alipotakiwa kuenda jimboni Karatu kumshughulikia Dr Slaa aliweza kutoa ushuhuda kwa wana CCM wenzake kwa kuwa hawezi kwenda huko kutokana na Dr Slaa alivyoweza kuwahudumia wananchi wa jimbo lake na maendeleo makubwa yaliyopatikana hayo ni machache lakini yapo mengi ambayo ni ya mfano na kujivunia Karatu

Nakumbuka 2005 walitumia mbinu nyingi sana chafu kumuweka Mzee wetu Tsere pale na wakashindwa

Kitu cha kujifunza kuhusu ndugu zetu wairaq ni kwamba si watu wa kuburuzwa na ahadi za kijinga and wakiwa loyal wanakua loyal...

Ushauri wangu kwa Ka-shanga (anayekubali watu wanamjua) ni kwamba kwa maendeleo ya taifa na hasa majimbo (kama ameamua hivyo) ni vyema kuja na hoja constructive kuliko kwenda kuhangaikia asiyoyajua

tunajua ametumwa, tunajua ni jamii ya MS, lakini mtu kama ka-shanga ndio wanaoidhalilisha CCM kwa kutafuta mabaya na kujilinganisha nayo kupata nafuuu after over 50 years of independence. Nafananisha kauli zake na zile za baba mlevi anaerudi nyumbani anaburuzwa na toroli na kumwambia mkewe afadhali mimi bwana mwenzangu mkwere kajisaidia kabisa na "kujuliwa na watoto wa mjini" - HUO NI UPUMBAVU!

NA TANZANIA KAMWE HAIWEZI KUJENGWA NA JAMII YA KA-SHANGA

nahisi yawezekana kuna "gays brains", and kashanga has those brains
 
Toka lini ulimuona Slaa ana nia ya dhati ya kuwaletea watanzania mabadiliko? Bro huyo jamaa yako alipita mbali nadhani angepita kwao na Slaa mwenyewe nadhani angelia kiasi kwamba angeshindwa kusimulia. Nilivoona home kwao nilijiuliza kwa CV hii

1. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
alishindwa vipi kupaweka sawa hata nyumbani kwao? kama mtu kampotezea mzee wake how comes awe na uchungu na wasiokuwa ndugu zake?
oh Lord

KUmbe ni MS kaja kivingine

Kweli mods wana kazi miaka hii mitano ijayo... wameanza mapema sana
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

nibora wewe umeona foleni bombani wakati sisi uku Dodoma mji mkuu wa Tanzania ata kisima hatuna hebu fikiria 2naishi vp?
 
kwanza leta demarcations za Jimbo la Karatu,areas covered and nearby places ili tuamini unachosema

Geography ipo wazi na mgawanyo wa majimbo pia unafahamika..jishughulishe kuhakiki mambo kabla hujapost
 
Kwanza umesema umetumiwa email..yaani sio wewe uliefika,then ukaibua ajenda yako ya nyuma ya pazia na wapambe wako..afterall jukumu la kuwekea maji wananchi ni la serkali...mbunge ni mhamasishaji,msimamizi na mpiga debe wa wananchi wake
 
Hivi kuna tatizo gani gani kuijadili hoja ya Kashaga kwanza na kujua ukweli wake kabla hatujarukia kutoa mifano majimbo mengine? Ni kweli kuna matatizo hayo ktk jimbo la Karatu?
Hata jimbo hili mbunge wake alishawahi kuingia katika kugombea uraisi na pia waziri wa muda mrefu wa idara nyeti
 
Kwanza umesema umetumiwa email..yaani sio wewe uliefika,then ukaibua ajenda yako ya nyuma ya pazia na wapambe wako..afterall jukumu la kuwekea maji wananchi ni la serkali...mbunge ni mhamasishaji,msimamizi na mpiga debe wa wananchi wake

kwahiyo wale wabunge wanaowaekea maji wananchi wao wanakuwa wameingilia kazi za serikali au? mbunge lazima awe mbunifu na mchakarikaji katika kuwaletea wananchi maendeleo na sio kukaa chini kusubiri serikali! Slaa alichemka kwakweli
 
Unazungumzia mbunge anayeiba pesa za wananchi serikalini then anawachimbia kakisima ka geresha?au mbunge anayehamasisha wananchi na wafadh
 
KASHATA AMA KASHAGA? Acha umbea basi, MAENDELEO YA KARATU utaifananisha na wilaya gani hapa Tanzania ambazo hazipo katikati ya BIG CITIES. Mbona hata kwa mkwere kwao ni pabovu kuliko Karatu. Maji, Shule etc hivyo hana maamuz navyo binafsi kama mbunge ilaumu SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA RA,EL NA JK.
 
Naomba wewe na Bwana Musa muende Msoga na Bagamoyo muone kinamama wakiwa kwenye swiming pools na watoto wa shule wakiwa wamevaa NIKE
 
Tembelea jimbo lililokuwa la Kikwete ujionee maajabu, usitishwe na yanayojengwa pale msoga, ingia ndani ujionee adha (sio shida) ya maji na nyumba za ajabu za wakazi wake.

Suala la maji kwa hapa Tz ni tatizo la kila mahali, Karatu waliweka utaratibu mzuri wa kuchimba visima na maji yanapatikana kwa bei inayobebeka. Kashangae kwa Mwandosya ndo leo kapata msaada wa Sabodo wa visima 100 jimboni kwake:juggle:
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

Tupe uelekeo! Ulikuwa unaenda kwa babu loliondo ukitokea wapi? maana inawezekana hata ramani ya kwa babu huijui. Jieleze ulitokea mkoa gani kwa kupitia barabara fulani ukafika karatu! Inawezekana ulikuwa engaruka ama engarasero na ukafikiri ndo karatu!
 
Nakupa Habari ya Msoga ulinganishe na Karatu

8E9U8341.jpg

Again....

8E9U8216.jpg

Na tena.....

ambulance-tanuku_thumb%5B10%5D.jpg
 
8E9U8216.jpg

Halafu watu wamekunja sura ka nini kwa maumivu ya maisha wewe unajichekesha tu. Wanaweza wakakurarua ati! Ala!
 
Hivi hapa ni nani aliyekurupuka, wewe au Kashanga? Nionavyo mimi ni kuwa, Kashanga kaletewa taarifa toka kwa rafiki aliyemtaja kwa majina ya Mussa Mosha anayeishi Arusha na kufanya kazi za Utalii. Kosa lake ni nini hata umshambulie namna hiyo na kudai kuwa amekurupuka? Wewe ndio umekurupuka. Na tabia hii ndio aliyonayo Dr. Slaa, bila aibu hutangaza misiba ya watu wanaotembea barabarani, hivi huwa munapomuuliza "Mkombozi" wenu huyo juu ya tabia hii huwa ansemaje?
Na wewe umekurupuka :lol: soma vizuri habari kabla hujaweka comments! Rudi nyuma soma habari vizuri. Watu mingine bana?
 
Back
Top Bottom