Niliyoyaona jimboni Karatu

Niliyoyaona jimboni Karatu

kwanza leta demarcations za Jimbo la Karatu,areas covered and nearby places ili tuamini unachosema
Ninavyomuona huyu kashanga anatumia njia ya kuchukiza watu kwa kutumia kigezo cha Slaa ili apate data za Karatu, inawezekana amepewa kazi ya kwenda kuyajua yote hayo either kwa kwenda huko Karatu na per diem labda ameshakula hivyo anatumia ujanja ujanja ili aweze kupata data na kuzipika halafu adanganye kuwa ameenda huko, na naona kama mnaingia kwa trap yake!
 
03_11_ghz840.jpg

A COAST Region resident drinks water drawn from a pond at a village in Kisarawe District on Sunday, risking contracting water-borne diseases. (Photo by Robert Okanda)

Porojo alizokuja nazo Kashaga ni sawa na Nyani anayeshindwa kuona kichogo chake kimekaaje. Hebu aangalie picha hiyo halafu arudi tena atuambie kama hali hiyo ndo anayoiita kufanikiwa kwa majimbo yaliyoongozwa na CCM tokea uhuru na wala si kama miaka 15 tu aliyoongoza Dr. Slaa kwa mafanikio makubwa huko Karitu.
 
Bwana Kashaga mimi nafikiri kimtazamo wewe bado upo nyuma mno kimtazamo, Ninakusikitikia sana. Hata hivyo nakushauri uzidi kumshukuru MUNGU kwani dawa uliyoipata toka kwa babu ulikokuwa umeenda na ambayo hata Rais wako naye kanywa imewaponya. Nataka tu kukuthibitishia kuwa SLAA (Rais mtarajiwa) angeyaweza yote hayo kama angekuwa ameshika dola, lakini jitihada zake nzuri zinakwamishwa na viongozi waliopo madarakani (CCM). Kwani mengi unayoyafahamu sasa kama mtanzania ni kwa jitihada za nani kama si slaa na wana chadema? Subiri CDM ichukue nchi msimu ujao wa uchaguzi!!
PIPOOOOOOOOOOOS!!! PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!
 
I dont understand jamani huyu mtu anasema nini, I am sorry but I mean it, hizi quality za majadiliano ndio zinayotumaliza huko duniani maana kwenye soko la kimataifa hawajui kama tatizo letu ni ubongo wetu mgando na assertiveness ya kujikomba
 
mugumu.jpg

Haya sasa, Badala ya kupeleka mabomba kwenye nyumba za watu anaoyofanya ni haya !!! Shame on you kikwete
 
icon1.png
Re: Niliyoyaona jimboni Karatu

03_11_ghz840.jpg

Hongera Utawala wa CCM kwa miaka 50 ya Uhuru !!!
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

kweli slaa msanii,kelele zote kumbe kwake hovyo
 
Mkuu pole sana. Ungeiona Karatu kabla ya Dr. Slaa kuwa mbunge wao ndo ungechanganyikiwa kabisa. Binafsi nilibahatika kufanya kazi karatu kwa miaka kadhaa. Hali ya Karatu hususan kwenye hizo huduma ulizozitaji ilikuwa mbaya sana. Mbunge aliekuwa anashikilia jimbo kabla ya Slaa aliwahi kuwakejeli wanakaratu kwa kuwaambia kuwa asingeweza kuwatatulia kero ya maji, labda kama wanachi wangekuwa tayari kutumia mkojo wa mbunge. Ujio wa Dr Slaa ulichangia kwa kiasi kikubwa kuondoa kero ya maji pale karatu mjini kupitia shirika la KAVIWASU.
 
Uliijua Karatu kabla ya Dr Slaa? ulijua sakata la Dr Slaa na uongozi wa halmashauri ya karatu kuhusu mpango wake wa maji safi? Fanya utafiti kwanza ndo useme. Unadhani watu wa Karatu ni mazezeta hawakuona mabadiliko?
 
Yeye kama mbunge wa pale kwa miaka zaidi ya kumi alipambana vipi na hizo changamoto? huwezi kujivuna utaliletea taifa neema ikiwa kwako yamekushinda! wako wabunge wanaoweza kujivuna kutatua kero mbalimbali sasa yeye alifanya nini miaka yote?

Asingeweza kuliendesha jimbo hata angekuwa mbunge kwa miaka 50..

Familia yake ameshindwa kuiendesha, ... sembuse jimbo!
 
huyu ni sharobalo maana kapita kwa Luasa kumbe madhumuni wake ni karatu, pole sana usharobaro umekuponza kumbe umezunguka sana , je kale ka ugonjwa Babu kalekebisha?
 
Kashaga tumetimiza miaka 50 ya uhuru Tanzania bado tunaishi kwenye makali ya mgao wa umeme je unalijua hilo? ukishatoka Loliondo kwa Babu natumaini utakua umeshapona!
 
Bahati mbaya mimi sio mwana CHADEMA lakini kuna haja ya kutofautisha nafasi ya Marando kama mwanasiasa na Professional yake. Anamtetea Manji kwa nafasi yake kama mwanasheria ingawaje siamini kama Marando anakubaliana na Ufisadi wa Manji (kama kweli huo ufisadi upo).

Tiba

Ukweli unabaki kuwa Marando anamtetea fisadi na kulipwa ujira wake kwa fedha za kifisadi....period!
 
Yeye kama mbunge wa pale kwa miaka zaidi ya kumi alipambana vipi na hizo changamoto? huwezi kujivuna utaliletea taifa neema ikiwa kwako yamekushinda! wako wabunge wanaoweza kujivuna kutatua kero mbalimbali sasa yeye alifanya nini miaka yote?

Alikuwa anapambana na mafisadi kwanza Bungeni. Akimaliza atarudi kuwatazama watoto wake huko Karatu. Bahati mbaya sasa yupo busy na kampeni ya ulahisi
 
mugumu.jpg

Haya sasa, Badala ya kupeleka mabomba kwenye nyumba za watu anaoyofanya ni haya !!! Shame on you kikwete

Acheni uvivu. Kama maji yameletwa kijijini kwa nini wananchi wasipeleke majumbani kwao. Mwisho mtamtaka Mkulu wa nnji awazalishie watoto kwa wake zenu. Wananchi wanaendelea kwa kufanya kazi si kwa majungu na chuki kwa viongozi.
 
Una hakika na ilo, maana kuzalisha wake za watu ni kazi ngumu kuliko kukamata mafisadi.
 
Kashga hebu fanya juhudi za makusudi pia ufike vijiji vya Saadani, Gongo, Matipwili na Maeneo ya Miono na Kange hivi vijiji vyote ni sehemu ya jimbo la Chalinze lililokuwa chini ya JK kwa miaka kibao, sasa hivi liko chini ya Said Mbwanamdogo, ukifika kule unaweza lia ukiona jinsi watu wanavyoishi maisha ya tabu kuliko maelezo. Hayo maji unayosema afadhali wale wa karatu anagalu wana ponds za kupata hayo maji, wale wa kijiji cha Mbwembwe pale zaraninge hata hilo pond hawana na hili ni jimbo lililoongozwa na JK na mbaya zaidi ndio maeneo aliyozaliwa! sasa kama huyo jamaa hawezi saidia hata nduguze sasa sishangai kwa nini nchi imemshinda!
 
Back
Top Bottom