Niliyoyaona jimboni Karatu

akili yako fyatu! Badala umlaum mkuu wa nchi unamlaumu Slaa?! Hivi budget ya kuboresha huduma za jamii inaanzia wapi? Kuwa waz kuwa una bifu ya udini na Dr Slaa.

Mchara,

Hvi kazi a Mbunge jimboni ni nini? Labda mwenzetu unajua zaidi majukumu ya Ububge kuliko yale yaliyoainishwa ktk Katiba ya Nchi. Hebu tufafanulie kwanza, kazi na majukumu ya Mbunge.
 
Ina maana kashaga anadonolewa sio? yaani wanamcheki sio? i mean wamemjua siyo... eeerr mtoto wa watu ama?

And we call this one a Great thinker?? Paid peanut to come out and use profanity language as his two cents? Give me a break here. I wll tell you one thing Kashaga,, Not all who shout out loud a sensible and not all who roar are lion. Bring it on.
 
Wewe Kashanga acha kukurupukua, tuulize watu tuliokulia Karatu kabla ya kuanza kumlaumu Slaa, Slaa ndiye mkombozi wao okiongelea matatizo ya maji, kwa maana zamani kabla ya ujio wake maji yalikuwa ni kama vile dhahabu.

Hivi hapa ni nani aliyekurupuka, wewe au Kashanga? Nionavyo mimi ni kuwa, Kashanga kaletewa taarifa toka kwa rafiki aliyemtaja kwa majina ya Mussa Mosha anayeishi Arusha na kufanya kazi za Utalii. Kosa lake ni nini hata umshambulie namna hiyo na kudai kuwa amekurupuka? Wewe ndio umekurupuka. Na tabia hii ndio aliyonayo Dr. Slaa, bila aibu hutangaza misiba ya watu wanaotembea barabarani, hivi huwa munapomuuliza "Mkombozi" wenu huyo juu ya tabia hii huwa ansemaje?
 
sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?

nilitaka nami nikkumbushe tu...ni bora kama umeona maji na nadhani mchungaji atalimaliza kwa miaka5,unapomsema Dr.slaa kwa jimbo ulimlinganisha na mbunge yupi mwingine awe wa ccm/upinzani(ccm B)?kabla ya kuwa rais JK aliwahi kuwa mbunge na hata waziri vipi alifanya kipi cha kumbukumbu??
 
Kashaga kama umetumwa mwambie aliekutuma kuwa mambo sio rahisi kama alivyozania, tumeamka sasa.
:lol::lol::lol:
 
MTM,

Hujamtendea haki Kashaga hata kidogo, kama kweli wewe sio muhuni, na ungependa tukuelewe kama ni mstaarabu, basi muombe radhi kwa kauli hii.

Originally Posted by MTM
Ina maana kashaga anadonolewa sio? yaani wanamcheki sio? i mean wamemjua siyo... eeerr mtoto wa watu ama?

Tujitahidi kuvumiliana humu ndani, lugha za kihuni zina sehemu zake, SIO humu JF.
 
nilitaka nami nikkumbushe tu...ni bora kama umeona maji na nadhani mchungaji atalimaliza kwa miaka5,unapomsema Dr.slaa kwa jimbo ulimlinganisha na mbunge yupi mwingine awe wa ccm/upinzani(ccm B)?kabla ya kuwa rais JK aliwahi kuwa mbunge na hata waziri vipi alifanya kipi cha kumbukumbu??

JK akiwa Mbunge wa Chalinze aliweza kuwapelekea maji salama na ya uhakika wananchi wa jimbo lake.
 
Kashaga kama umetumwa mwambie aliekutuma kuwa mambo sio rahisi kama alivyozania, tumeamka sasa.
:lol::lol::lol:
Hoja yako ni ipi hapo? mjibu Kashaga au pinga yale aloyasema kwa hoja na si blah blah na matusi
 
mapungufu ya serikali unambambikia dk. Slaa? Kazi ya mbunge ni kuhamasisha maendeleo na kuibana serikali kuleta maendeleo. Bahati mbaya hii ya JK haina masikio, tumlaumu mbunge?

Acheni kukurupuka hapa kama Mzee wenu Dr. Slaa, nenda kasome vizuri majukumu ya Mbunge halafu ndio uje kuchangia humu, hivi unadhani una debate na wakurupukaji kama nyie? Mzee kakurupuka mpaka ktk mambo ya "human nature"? Halafu mumekaa munashangila tu badala ya kumwambia ukweli ili ajirekebishe, nyie ni watu wa ajabu saaana. Inaonekana hii ni tabia yenu ktk Chama chenu cha wana-harakati.
 
Hiyo safari ya Loliondo umepitaje jimbo la KARATU? mto wa mbu ni MONDULI pia unapita Engare sero ambayo ni LONGIDO na hata hiyo Loliondo ni jimbo la NGORONGORO...usipotoshe watu
 
Kwa hiyo unataka tuamini hayo maneno kuwa ni kweli? Sawa basi ngoja tuamini.

Ila na wewe AMINI kuwa LEMA ANAMJUA Kashaga kama mwenyewe alivyosema.

Na si KUJULIWA tu, la hasha, ANAJULIWA SANA na LEMA.
Hivi hapa ni nani aliyekurupuka, wewe au Kashanga? Nionavyo mimi ni kuwa, Kashanga kaletewa taarifa toka kwa rafiki aliyemtaja kwa majina ya Mussa Mosha anayeishi Arusha na kufanya kazi za Utalii. Kosa lake ni nini hata umshambulie namna hiyo na kudai kuwa amekurupuka? Wewe ndio umekurupuka. Na tabia hii ndio aliyonayo Dr. Slaa, bila aibu hutangaza misiba ya watu wanaotembea barabarani, hivi huwa munapomuuliza "Mkombozi" wenu huyo juu ya tabia hii huwa ansemaje?
 
Punda AFE, ila mzigo ufike.

Usishangae mtu anataka kwenda Kenya kutoka Dar, anaanza safari kwa kuchukua barabara ya KILWA.

Ukimuuliza, anakuambia NJIA ni NJIA tu na wanakuja Mataahira kibao KUMSHANGILIA.
Hiyo safari ya Loliondo umepitaje jimbo la KARATU? mto wa mbu ni MONDULI pia unapita Engare sero ambayo ni LONGIDO na hata hiyo Loliondo ni jimbo la NGORONGORO...usipotoshe watu
 
KASHAGA Ushuhuda wako hapa Jamvini umeniwezesha nisiumize akili kujua kuwa una uwezo mdogo kutafakari mambo na unasumbuliwa na tatizo kubwa la Itikadi ya chama na chuki binafsi dhidi ya Dr. Slaa. Huwezi kusema umeshuhudia tatizo la maji Karatu ukiwa kwenye gari kwenda Loliondo kufuata dawa ya babu. Kwanza ulikuwa na matatizo ya afya wakati unafanya utafiti ukiwa kwenye gari, pili ulikuwa unawaza utapataje dawa ya Babu hasa ukizingatia foleni ya watu, TATU tatizo la maji karatu haikuwa ajenda yako kuitafiti umeiibua tu kwa mawazo yako finyu ukaona ni HOJA hapa, NNE hujamhoji hata mtu mmoja kupata maoni yao kujua hilo tatizo la lini?, TANO hujui historia ya jimbo la Karatu ndo maana ukiona watu wanafata foleni kupata maji unaona ajabu. Zamani hakukuwa na mabomba ya maji kupanga foleni kupata hayo maji zaidi ya msituni, leo umepita hapo kufuata dawa Loliondo umeona mabomba ya maji hiyo ni hatua. CCM imeongoza jimbo hilo tangu enzi na hata baada ya mwaka 1980 ilipogawanywa kutoka Mbulu hawakuweka bomba zaidi ya mabomba ya mjerumani, sasa Slaa kashirikiana na wananchi kwa miaka 15 kaweka mabomba kila kijiji na wananchi wanajisimamia wenyewe huoni ni hatua nzuri unakimbilia kukosoa. Haumtendei haki hata kidogo. Please badilika kimtizamo ndugu yangu. Kwa taarifa yako katika mwanzo wa uwakilishi wa Slaa hapo jimboni alipata sana shida kushirikisha wananchi kuleta maendeleo kwasababu CCM walivuruga kila alichotaka kufanya, mikutano ya hadhara na wananchi kujadili kero zao zilizuiwa kupitia vyombo vya dola, mabomba ya maji yalivyowekwa CCM walikata usiku, yote hiyo ni kutotaka juhudi za mbunge mpinzani isionekane ili warejeshe jimbo uchaguzi uliofuata. Walishindwa kwasababu wananchi wa Karatu tunamisimamo yetu, hatujui itikadi tunajua maslahi ya taifa letu. Fuatilia historia ya jimbo la MBULU tangu wakati wa Nyerere, hatutaki kitu kinaitwa maslahi ya chama au watu binafsi, tunajua demokrasia, Mwaka 1965 Nyerere alimleta Chief Sarwat kama mgombea wa TANU Mbulu wananchi wakamwambia huyo ni wako umetoka naye Dar es Salaam, sisi tunaye kijana wetu wa hapa tutamtuma Bungeni, wakamsimamisha Dodo.Hiyo ndo historia ya misimamo ya wananchi wa Karatu, Babati na Hanang' wakati huo hizo zikiwa tarafa za Wilaya ya Mbulu.

Natumai kwa haya machache ndugu yangu KASHAGA utabadilika kimtizamo na utaacha kuhitimisha jambo kwa ushahidi mdogo.

Nawasilisha.
 
Nimesoma ushuhuda wa mwanajamvi anayejiita KASHAGA kwamba Slaa hajafanya kitu Karatu hivyo hafai kuwa Rais kwasababu hakumaliza tatizo la maji karatu kwa miaka 15 aliyopewa.

Kwanza niseme Ushuhuda wako hapa Jamvini umeniwezesha nisiumize akili kujua kuwa una uwezo mdogo kutafakari mambo na unasumbuliwa na tatizo kubwa la Itikadi ya chama na chuki binafsi dhidi ya Dr. Slaa. Huwezi kusema umeshuhudia tatizo la maji Karatu ukiwa kwenye gari kwenda Loliondo kufuata dawa ya babu. Kwanza ulikuwa na matatizo ya afya wakati unafanya utafiti ukiwa kwenye gari, pili ulikuwa unawaza utapataje dawa ya Babu hasa ukizingatia foleni ya watu, TATU tatizo la maji karatu haikuwa ajenda yako kuitafiti umeiibua tu kwa mawazo yako finyu ukaona ni HOJA hapa, NNE hujamhoji hata mtu mmoja kupata maoni yao kujua hilo tatizo la lini?, TANO hujui historia ya jimbo la Karatu ndo maana ukiona watu wanafata foleni kupata maji unaona ajabu. Zamani hakukuwa na mabomba ya maji kupanga foleni kupata hayo maji zaidi ya msituni, leo umepita hapo kufuata dawa Loliondo umeona mabomba ya maji hiyo ni hatua. CCM imeongoza jimbo hilo tangu enzi na hata baada ya mwaka 1980 ilipogawanywa kutoka Mbulu hawakuweka bomba zaidi ya mabomba ya mjerumani, sasa Slaa kashirikiana na wananchi kwa miaka 15 kaweka mabomba kila kijiji na wananchi wanajisimamia wenyewe huoni ni hatua nzuri unakimbilia kukosoa. Haumtendei haki hata kidogo. Please badilika kimtizamo ndugu yangu. Kwa taarifa yako katika mwanzo wa uwakilishi wa Slaa hapo jimboni alipata sana shida kushirikisha wananchi kuleta maendeleo kwasababu CCM walivuruga kila alichotaka kufanya, mikutano ya hadhara na wananchi kujadili kero zao zilizuiwa kupitia vyombo vya dola, mabomba ya maji yalivyowekwa CCM walikata usiku, yote hiyo ni kutotaka juhudi za mbunge mpinzani isionekane ili warejeshe jimbo uchaguzi uliofuata. Walishindwa kwasababu wananchi wa Karatu tunamisimamo yetu, hatujui itikadi tunajua maslahi ya taifa letu. Fuatilia historia ya jimbo la MBULU tangu wakati wa Nyerere, hatutaki kitu kinaitwa maslahi ya chama au watu binafsi, tunajua demokrasia, Mwaka 1965 Nyerere alimleta Chief Sarwat kama mgombea wa TANU Mbulu wananchi wakamwambia huyo ni wako umetoka naye Dar es Salaam, sisi tunaye kijana wetu wa hapa tutamtuma Bungeni, wakamsimamisha Dodo.Hiyo ndo historia ya misimamo ya wananchi wa Karatu, Babati na Hanang' wakati huo hizo zikiwa tarafa za Wilaya ya Mbulu.

NOTE:Ungekuwa na mawazo hayo ya kuhukumu basi usingechagua CCM mwaka jana kwasababu JK na CCM hawakumaliza matatizo ya jamii kama maji na afya katika majimbo waliyopewa, lakini pia si hukumu halali kwasababu hata babu yetu marehemu Nyerere aliongoza taifa hili kwa miaka 24 na hakumaliza tatizo la umaskini. "Development is a Process"

Natumai kwa haya machache ndugu yangu KASHAGA utabadilika kimtizamo na utaacha kuhitimisha jambo kwa ushahidi mdogo.

Nawasilisha.
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

Kashanga jihadhari utaahira unakunyemelea. Mwenye serikali ni Dr. Slaa? Hujui kuwa CCM imekata migao yote halali Karatu ili watu kama wewe waadabike na wachague CCM. Niambie kama mnachagulika hata kwa hila. Kama siyo wendawazimu wa CCM ni nini? Hata hivyo ebu niambie tunasherekea wikin ya maji kivipi na maji hayapo?
 
We Sigma hebu acha kupotosha wananchi kuwa Loliondo imetengwa kutoka Monduli, una uhakika? kama hujui jambo usilisemee, fanya kautafiti ili useme jambo la uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom