ukweli siku zote unauma na unachoma,mi nilidhani mngejibu hoja kwa vielelezo lakini ni matusi tupu,mi nasema mtatukana matusi yoote ila hamtanifunga mdomo nitaendelea kusema ukweli,Slaa karatu kaishindwa kabisa miaka aliyokaa ni mingi sana pale! mbona kwa Ndesa nimepasifia bila kinyongo,kwanini nisionyeshe ushabiki wangu kwa kupinga mambo aliyofanya ndesa?? lakini amefanya na ndio maana nampongeza,mbowe pale hai amejenga miradi mingi ya maji na kusaidia mashule mengi sana! sasa slaa amefanya nini karatu? ni kipi anachoweza kutembea kifua mbele kafanya yeye kama mbunge(uwezo binafsi) hali ya karatu ni mbaya sana tuache ushabiki
pamoja na kwamba umedeclare watu :"wanakujua' ngoja nikupe machache ya karatu
CCM kwa kutumua DMO wa pale miaka hiyo ambaye ni ndugu na aliyekua polisi gwiji wa uonevu - Ngowi (akiwa Moro) walijaribu sana kuyumbisha karatu L Hospital wakashindwa,
wakaamua kuua mradi wa maji wa Dr. Slaa na marafiki zake mwaka 2003-2005, wanakaratu wakang'oa mabomba na kuweka yao ya nguvu ya wananchi CCM wakashindwa
Ikapita lami
mashamba yamesimama
karatu ni mji wenye internet cafee nyingi kuliko bagamoyo na msata combined
karatu wa shule, miradi ya maendeleo na barabara nzuri la lami hadi getini hifadhi
ukishuka kidogo tu na kuanzia jimbo la lowasa, ambao wana chuo cha nguvu cha kijeshi utakutana na vitoto vya kimasai vinacheza uchi barabarani vipate mia tano za wazungu, utapishana na viboko on your way to makuyuni
utakutana na kila sign ya umaskini... lakini linganisha na utajiri wa mkuu EL
ukiena msata.. naomba siniseme zaidi
ukipita bumbuli, Yesu wangu!!! hata ile hospitali pamoja na jitihada zote za marafiki wa ELCT kusaidia, serikali na CCM wameshindwa hata kumotivate daktari kukaa pale... kunatia huruma
ukiendelea tutaenda na sehemu nyingine