Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,586
- 55,163
Kodi iliisha ukalala mahala pa kazi
Cc Nyani NgabuHivi shoga anaolewa?
Hujawah kupagawishwa na kipande cha nyama wewe.Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Na nilichomuelewa pia ni kwamba hana mtu,so nafas ipo wazi kabisa kwa Miss NatafutaUnatapatapa
Na nilichomuelewa pia ni kwamba hana mtu,so nafas ipo wazi kabisa kwa Miss Natafuta
Kwa sababu mada aloirusha hapa wala si jambo la kumfanya mtu asitaman kuwa na mwanaume,aende Mara akaone wanawake wenzie wanavyoishi huko na bado wanadumu kwenye ndoaKumbe anajipigia chapuo??? Hahaaa kama hana vigezo awe mpole tu ale kwa macho[emoji6]
kweli maana cjaona 7bu ya yy kuacha mapenzi kwa ajira ya matuc huku kwetu uswahilini mambo ya kawaida sanaKwa sababu mada aloirusha hapa wala si jambo la kumfanya mtu asitaman kuwa na mwanaume,aende Mara akaone wanawake wenzie wanavyoishi huko na bado wanadumu kwenye ndoa
tungo tataHivi shoga anaolewa?
Miss Natafuta labda ni bint wa kishuakweli maana cjaona 7bu ya yy kuacha mapenzi kwa ajira ya matuc huku kwetu uswahilini mambo ya kawaida sana