jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,772
- 1,614
Negativity sio kitu kizuri, vip kesho ukiwaona wengine wanaishi kama wako peponi hapa hapa duniani? utabadli msimamo wako?
mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
hivi kwanini waume za watu humu jf mnatongoza sana?Si kila mwanaume yuko hivyo. Huyo mdada alipata ajari kama wengine wapatavyo. Hatuachi kusafiri eti kwa vile tuliwahi shuhudia ajari mbaya sana. Nipe nafasi, hutojuta kamwe.
Ushasema walevi, hapo ndipo pa kuangalia. Wanaume wastarabu bado wapo wengi tu. Tuliza kichwa tafuta kwa utulivuJana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Sasa matusi ya nini tena?Kumbe we katotooo,,, Sijui unaishi Chatooo gani wewe,,,Kila siku unaishi maisha ya watu,,Wamejipaka mwenyewe pilipil wenyewe mku,,,ndu,,,,ni,,Wewe imekuwashaaa,Siku ukikuwaa,,utakuja na ,Kumbe kuishi bila Mapenzi,,,Shida tuu,,
Huko gorofani ulikuwa una TAFUTA ama!!Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Sasa ulitaka waume za watu watongoze nini sasa kama si watu wenzao....!? Sasa ulitaka watongoze mbuzi... ha ha ha haaaaaaa. Just joking. Wewe unajuaje kama mimi ni mume wa mtu.....!! Kwa kuangalia mwandiko....!?hivi kwanini waume za watu humu jf mnatongoza sana?
ahahaaa tunawajua tuSasa ulitaka waume za watu watongoze nini sasa kama si watu wenzao....!? Sasa ulitaka watongoze mbuzi... ha ha ha haaaaaaa. Just joking. Wewe unajuaje kama mimi ni mume wa mtu.....!! Kwa kuangalia mwandiko....!?
ahahaaa tunawajua tu
Mtoto wa Ku adopt na wa kumzaa wana radha tofauti sana...kuwa single,au mtafute mume lakini msiwe wapenzi,just be friends with benefits lol,watoto una adopt kimoja au viwili baasi
she is desperate already hamuoni. Read between lines. Miss natafuta hakujipa bahati mbayasubir hapa miaka iende mnanza kuwa disparate kutaka ndoa mara nin gundu sijui nin kumbe vingine mnajiapiza tu mdomo huuuumba
Mtoto wa Ku adopt na wa kumzaa wana radha tofauti sana
...kuwa single,au mtafute mume lakini msiwe wapenzi,just be friends with benefits lol,watoto una adopt kimoja au viwili baasi