Niliyoyaona jana usiku, mapenzi kwaheri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,546
45,835
Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?

Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.

Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
 
...kuwa single,au mtafute mume lakini msiwe wapenzi,just be friends with benefits lol,watoto una adopt kimoja au viwili baasi
 
jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio
mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
duuuuuuuuuh
 
Acha wenzako wafaidi kama wewe yamekushinda na kutoa hitimisho kwa kuwaona wajinga wawili tuh.acha kuwachosha wenzako wenye uhitaji wa ndoa au wapenzi.
 
Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?

Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.

Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI

Ule Uzi wangu kumbe bado una umuhimu sana eeh?
 
A

Acha uchuro wewe mtoto wa kike. Hapa napiga hesabu namna ya kukutana na wewe nijibebee mzimamzima, halafu unaanzisha ngonjera zisizofaa....!? Wewe lazima uje kuwa mama wa watoto wangu.
mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
 
Back
Top Bottom