Niliyoyaona jana usiku, mapenzi kwaheri

Niliyoyaona jana usiku, mapenzi kwaheri

ina maana ukiambiwa leo huzai,utabaki hivyo hivyo??mmnh mie kwangu mtoto yeyote ni sawa.
Si mpaka uambiwe huzai! Sasa kama hujaambiwa una haja gani ya Ku adopt? Zaa wako uuone uchungu wake, kuzaa raha sana jamani yaani unajua kabisa huyu mtoto wangu katoka katika sehemu za mwili wangu mtu niliyemjibu hajasema kama yeye ana tatizo La uzazi jaribu kufikiria kabla hujakurupuka kunijibu
 
Me hadi leo sijapata jibu nimetafuta kwny vitabu vyote makabrasha yote ila sijajua mapenzi hasa kitu gani?!mmeoana ila hamna amani hata kidogo cha ajabu hakuna anaetaka kumuacha mwenzake ingawa wamechokana kwa kiwango cha dampo
 
Si mpaka uambiwe huzai! Sasa kama hujaambiwa una haja gani ya Ku adopt? Zaa wako uuone uchungu wake, kuzaa raha sana jamani yaani unajua kabisa huyu mtoto wangu katoka katika sehemu za mwili wangu mtu niliyemjibu hajasema kama yeye ana tatizo La uzazi jaribu kufikiria kabla hujakurupuka kunijibu

roho mbaya tu,nyie ndio mnaonanyasa hata watoto wa ndugu zenu wakifa,eti mtoto wangu nyama yangu blah blah,you should be ashamed of yourself!
 
Hahaahahaaa umeshawahi kuzaa wewe!! Siongei na wasiozaa kama hujazaa huwez jua ninachokiongea, sijasema habari ya mtoto wa ndugu iyo unasema wewe, mtoto wa ndugu yangu ni mwanangu na wala haina haja ya kumu adopt coz ni mwanangu tayari
 
hata hao watoto wa mitaani walizaliwa kwa uchungu km wewe,bado sijaona mantiki ya wewe kulea watoto wa ndugu zako,na kupinga ku adopt watoto
 
Sijui unaongea kitu gani wewe!?? Hao watoto wa mitaani wasingezaliwa ungepata wapi nafasi ya Ku adopt? Hebu ntokee hapa kama huna uzazi ni wewe ila mimi ntazaa wangu na ntatoa msaada kwa wengine kwa nitakachojaaliwa
 
hahaaa kwa hio utatoa msaada utakapojaliwa mmmnh ok.,sasa ulikua unabisha nini?,mmmnh....watoto wa mitaani hawaishi HATA UKIAMUA KUZAA WATOTO DUNIA NZIMA MWENYEWE still watakuwepo!!!,get it ,dada ulikua unabisha ku adopt,sasa hivi unasema ukiwa na uwezo,twende pole pole dada...
 
hahaaa kwa hio utatoa msaada utakapojaliwa mmmnh ok.,sasa ulikua unabisha nini?,mmmnh....watoto wa mitaani hawaishi HATA UKIAMUA KUZAA WATOTO DUNIA NZIMA MWENYEWE still watakuwepo!!!,get it ,dada ulikua unabisha ku adopt,sasa hivi ukiwa na uwezo,twende pole pole dada...
Hivi nani amebisha Ku adopt? Kutoa maoni yangu ndo kubisha? Yes ni ukweli usiopingika kua mtoto wa Ku adopt hawez kuwa sawa na mtoto wa akumzaa hata kihisia tu japo wote ni watoto! Elewa hivyo tu na sikulazimishi uamini kama ninavyoamini
 
wanadiffer kivipi?mmmm eti hata kihisia,wewe una roho mbaya,period.
 
Bila roho mbaya nisingezaa! Maana hata ule muda wa kusukuma unahitaji uwe na roho ngumu, unafiki ni kujiona mtakatifu Sana'a kwa jamii kuliko kwa kizazi chako
 
Back
Top Bottom