imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,295
- 994
Aaaah! hatuko hivyo wote bhana, huyo ana bangi zake tu.Inamaana kamchoka kwanza alimpenda, si ndo zenu wanaume?

Usiku matusi asubuhi baby. Ndo mapenzi ya kidigitaliAseee!!..wale wanajuana...si ajabu asubuhi walipeana..
We umejuaje kama alimtongoza?mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
Huyo dem angekua na wakumgusa wala huo ugomvi usingekuwepo,,kajaribu kumtafuta mwambie aache ushamba,mbona wanaume wapo wengi tumkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
Kumbe una mawazo yanayoendana na mrengo niliopo? subiri nikutumie nauli uje PM....kuwa single,au mtafute mume lakini msiwe wapenzi,just be friends with benefits lol,watoto una adopt kimoja au viwili baasi
..kweli kabisa mkuu!..MAPEZI KWAHERI?.......SASA NDIO UBADILISHE HILO JINA LA Miss Natafuta...
Kumbe we katotooo,,, Sijui unaishi Chatooo gani wewe,,,Kila siku unaishi maisha ya watu,,Wamejipaka mwenyewe pilipil wenyewe mku,,,ndu,,,,ni,,Wewe imekuwashaaa,Siku ukikuwaa,,utakuja na ,Kumbe kuishi bila Mapenzi,,,Shida tuu,,jamaa alidai hataki tena hyo papuchi eti sio type yake
Miss Na tafuta si Ni majuzi tu hapa ulileta Bandiko kwamba Hutapost chochote..umeonyesha huna msimano Hata Azimio la Leo si la kweli.NapitaJana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?

wewe ni mwendo wa DILDO tu,nayo kheri!kweli najiita miss sitaki mapenzi

[emoji121]Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?

Mnasemaga hayo muda mfupi baada ya tukio... come two years.. back to square one...kweli najiita miss sitaki mapenzi