Niliyoyaona jana usiku, mapenzi kwaheri

Niliyoyaona jana usiku, mapenzi kwaheri

Bila roho mbaya nisingezaa! Maana hata ule muda wa kusukuma ubahitaji uwe na roho ngumu, unafiki ni kujiona mtakatifu Sana'a kwa jamii kuliko kwa kizazi chako

mmmmn nijione kwa nani???kwako??,tunawachora mlivyo selfish kwenye posts zenu hovyoo,km umezaa ndio ingekuwa unaona uchungu kwa watoto wasio na msaada,lakini imekua tofauti mnh...
 
Wewe umeshatoa msaada kwa watoto wangapi?
 
Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?

Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.

Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Wewe si ulisema umempata mstaarabu aliyesoma huko majuu!?!?
 
mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
Miezi 4 bila kuguswa? Sasa muda wote anafanya nini siaondoke akatafute mabwana wengine wamgegede. Yawezekana jamaa kitu yake aina nguvu ya kufanya hawezekani miez yote hiyo bila kufanya.
 
Kumbe wewe bado sana kubishana na mimi bado u mtoto sana, soma na elimu ikusaidie kufanikisha malengo yako
 
Jana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?

Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.

Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI
Pole sana ila mkweli ni mimi tu
 
Back
Top Bottom