Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
- Thread starter
- #21
sijui sasa si mtu kachokwa tu hapoSasa huyo mtoto alipatikanaje kama papuchi ya siyo type ya jamaa!!!
sijui sasa si mtu kachokwa tu hapoSasa huyo mtoto alipatikanaje kama papuchi ya siyo type ya jamaa!!!
muulize kaoge au james mvutoHivi shoga anaolewa?
Miezi minne hajaguswa wapi fafanua? Unadhani 0713 inatakiwa kuguswa kila siku?mkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
papuchi etiMiezi minne hajaguswa wapi fafanua? Unadhani 0713 inatakiwa kuguswa kila siku?
Ha ha haaaaa.,papuchi eti
huyo bwege ana mchepuko wke umempagawisha ndo kaanza zarau kwa mkewe kasahau kuwa mchepuko ni wa muda tu na mkewe ndo wke wa milele. his loss.jamaa alidai hataki tena hyo papuchi eti sio type yake
Unajuaje kama tukioana kutakua na kipgo na matusi izo ndoto mbaya missmkuu sio kwa kile kipigo cha jana na yale matusi ,yaani mtu miezi minne hajaguswa na kudhalilishwa juu .wakati alimtongoza mwenyewe Mungu aingilie tu kati mimi kweli siwezi
hakuna jipya chini ya juaUnajuaje kama tukioana kutakua na kipgo na matusi izo ndoto mbaya miss
Mapya yapo miss ndo mana tupo dunianihakuna jipya chini ya jua
Inamaana kamchoka kwanza alimpenda, si ndo zenu wanaume?Sasa huyo mtoto alipatikanaje kama papuchi ya siyo type ya jamaa!!!
Njoo kwangu bbykweli rafiki yangu.tutulie tu Mungu aingilie kati
PAPUCHI ITAOZA UKITULIAJana nililala ofsini msiniulize store au wapi?
ofisi yetu ilipo ghorofa za juu kuna wapangaji wanaoishi
kama saa sita hivi nilistuka kama ghorofa linadondoka nikasema alshabab washafanya yao nini?
Kuna kaka mmoja anaishi nadada mmoja na mtoto wao kama 2yrs walevii .wanavuta sijui minini ila pesa wanayo.HAWANA NDOA LAKINI.
hcho kipigo sijawai kuona wala kusikia maishani matusi hata shetani nadhani aliziba masikio....mdada anadai miezi minne hajawai kuguswa matusi anayopewa na jamaa matusi anayorudisha na yeye dunia imefika mwisho nikavaa tu tecno boom headphone zangu nikaweka muziki nisipate dhambi bure.
Nimejitafakari sana kweli sitaki mwanaume yoyote maishani ikitokea nikitaka nipo radhi kufunga siku 40 kama Yesu. Mungu anishushie haya mambo ya kukutana kibinadamu humu jf,au bar,au sokoni au wapi kumbe mnakuja kuchokana na kuchukiana hivo . HAKUNA JINSI KILA MTU ATULIE TU JAMANI