Niliyoyaona inbox za mke wangu

Niliyoyaona inbox za mke wangu

Hebu elezea pia iwapo mla samaki alitumia kondom au withdrawal

Hata Kama alitumia Kondom bado hiyo mifupa ya Samaki itatoka tu ,, maana mifupa hutoa wote mlaji na mliwaji ,, chafya ya Ugoro haiongopi ,, hata Kama mifupa ilikwama kwa siku mbili lazima ichomoke tu.
 
Udukuzi kwenye simu za wapenzi wetu ni muhimu hasa sisi makapela ili tujue yupi wa kuoa.
Huwezi kupata mke mwema kwa udukuzi.Shetani anabadilisha watu kila siku na umdhaniaye anakuwa siye.Wewe muombe tu Mungu wako akupe mke mwema.
 
Bora na ww uliziona na ukaamua kuachana nazo.
Wanaume wengi wakiona hvyo hata km ulimkataa huyo mwanaume,yy atahalalisha kuwa ulikubali, sijui wanajua mwanamke akishaolewa ndo hatongozwi.

Nway, mkeo ni muaminifu, bora uamini hvyo tu
 
Asante na jua wapo wanaume wengi wenye hayo maono ila mimi ninauelewa ndio maana najiamini. Nimetuma text nyingi sana kwa wake za watu na wengine hata kuniita kabisa kula mzigo ila klwa busara zangu nimeacha. Sio kila msg unayokuta mkeo amekubali kumbuka hata wewe umesugua sana kuomba papuchi nyingine haukujibiwa nyingine umetukanwa n.k
 
Ukiona mwanamke mwenye umri kuanzia 18-50 analia njaa we tambua tuu amependa mwenyewe.
Hawa viumbe wana marafiki wengi bwana, leo akipata shida kwake sio tatizo kwani ana pa kukimbilia.
Nadhubutu kusema hawa wanawake wameteka utajiri wa hii dunia.

Leo katika ujasusi wa wangu nimefanikiwa kuchunguza inboxza mke wangu za facebook na insta nilichokiona huko sio vibaya ku share nanyi.

Pia mtambue hakuna urafiki mbele ya mwanamke na hapa ndio ule msemo wa hakuna ushemeji tunatulaga unatimia.

Wife kaenda shamba asubuhi nikasema ngoja niipekue simu yake.
Nilipata hili wazo jana baada ya kuona lock pattern yake na nikasema iko siku nitamcheki tuu na hatimaye leo nimeweza kuona.

Sio marafiki zangu, mashemeji zangu tunaosalimiana huko barabarani eti wanamtaka wife japo siku moja na ahadi nyingine kibao!

Nimekuta mi msg nyingi mno, fb nimekuta 720 na uzuri zote read so mimi sikuona shaka kufungua na kuona kilichomo.
Insta nimekuta msg 421 huko nako nimekuta mambo kibao.

Huyu mwanamke nashukuru sana Mungu kwa kunipa maana angekua ni kicheche basi nisinge ambulia chochote hapa.

Wanaume wenzangu kweli ukiona mwanamke kajitiolea kwa ajili yako maisha yake yote plz and plz naomba umuheshimu kwani kaona wanaume wa kila aina lakini amekuacha ili awe wako.

ONYO: Kwa mwanaume yoyote yule ambae hajajipanga kukabiliana na hali ya hatari hapa duniani basi usimpekue sana mkeo vinginevyo utakufa kwa kupata mshtuko kali au hata kuuwana na mahawara wako na mtagombana na wife na hatimaye na wale marafiki zako.

We usiamini mtu kabisa chukulia mambo easy. Ukiona umeoa mwanamke mwenye maadili mema na mvumilivo kwa kila baya unalomtendea plz mheshimu na ikiwezekana mpigie magoti umlilie kama mtoto kama unapenda penzi lako lidumu!

Hasira za wanawake zimewaingiza wengi kaburini hivyo hata akikisea usikasiirike sana wala kuweka kinyongo. Kuwa kama mwanaume bana hawa ni maua ya duniani kila mwanaume anayatamani.
Ila sijui kama wanawake na wao wanapendana kwa kweli maana kwa haya mambo mbona ni hatari sana.

Mkuu we ni mtaalamu wa IT ila umeshindwa kupekua msg za Whatssup ama umepekua na uliyoyakuta ukaamua kuja kujifariji na huku kwa kutuonyesha msg za Fb na Insta.
Mkeo sio mjinga kukuachia simu hapo na kukuachia hizo msg zisizo na effect.
MMH! nawasiwasi na huko shamba alikoenda, Alafu unachekelea ye kuacha simu wakati anaenda shamba, hata hujiongezi...Anajua kuacha simu atakupumbaza na hutopata kiburi cha kumsumbuasumbua kwenye simu akiwa anafanya yake....
mkeo kakuzidi IQ hapo...ushaachwa ferry. ""
 
Napokei mawazo mkuu za whatsapp nazo nitamwambia tuu naomba nione simu yako peaceful tuu akikataa nitahisi jambo
 
Huwezi kupata mke mwema kwa udukuzi.Shetani anabadilisha watu kila siku na umdhaniaye anakuwa siye.Wewe muombe tu Mungu wako akupe mke mwema.
Umaskuni wetu unaanzia hapa,shetani anabadilisha watu ulimuona?
 
🙂 🙂 sijui chizi gan huyo ambaye anaweza fanya appointment kupitia fb na Instagram, kule ni connection tu wakishapeana namba utamu upo kwenye whatsapp na text za kawaida au call, na wanawake wengi ni wazuri wa kufuta SMS na kukariri namba, unaweza kuta conversation nyingi ila namba hajasave!,
kwahyo vizia simu yake TAKE A DEEP BREATH angalia whatsapp au text za kawaida, tena tafuta siku yenyewe anafuraha sanaa au amechukia. pitia text ambazo namba haijaseviwa utakacho kiona yawezekana ukaja kuturejeshea au atakaye kuwa anakuuguza ICU ndo atahadithia.
 
Mbona haueleweki,kama ni jumbe za kazi...we tayari Patten amebadili na ameanza usiri eti bado unajidai ameacha wengi... Juwa hata yeye alijua IPO siku utaishika cm xo ameziacha hizo makusudi...
 
Hapo sawa...

Nilidhani ulikuwa na lengo la kujustify 100% kuwa mkeo ni mwaminifu.

Mi naamini mwanamke anakuwa wako ukiwa naye. Ndio maana sipotezagi kumfuatilia sana mai waifu kwakuwa najua mwanadamu hachungiki, na kifo cha presha si kizuri... nitawapa wezi wangu wigo mpana zaidi wa kumtafuna kwa uhuru.
Hii kwenye red kali kuliko zote!
 
Ukiona mwanamke mwenye umri kuanzia 18-50 analia njaa we tambua tuu amependa mwenyewe.
Hawa viumbe wana marafiki wengi bwana, leo akipata shida kwake sio tatizo kwani ana pa kukimbilia.
Nadhubutu kusema hawa wanawake wameteka utajiri wa hii dunia.

Leo katika ujasusi wa wangu nimefanikiwa kuchunguza inboxza mke wangu za facebook na insta nilichokiona huko sio vibaya ku share nanyi.

Pia mtambue hakuna urafiki mbele ya mwanamke na hapa ndio ule msemo wa hakuna ushemeji tunatulaga unatimia.

Wife kaenda shamba asubuhi nikasema ngoja niipekue simu yake.
Nilipata hili wazo jana baada ya kuona lock pattern yake na nikasema iko siku nitamcheki tuu na hatimaye leo nimeweza kuona.

Sio marafiki zangu, mashemeji zangu tunaosalimiana huko barabarani eti wanamtaka wife japo siku moja na ahadi nyingine kibao!

Nimekuta mi msg nyingi mno, fb nimekuta 720 na uzuri zote read so mimi sikuona shaka kufungua na kuona kilichomo.
Insta nimekuta msg 421 huko nako nimekuta mambo kibao.

Huyu mwanamke nashukuru sana Mungu kwa kunipa maana angekua ni kicheche basi nisinge ambulia chochote hapa.

Wanaume wenzangu kweli ukiona mwanamke kajitiolea kwa ajili yako maisha yake yote plz and plz naomba umuheshimu kwani kaona wanaume wa kila aina lakini amekuacha ili awe wako.

ONYO: Kwa mwanaume yoyote yule ambae hajajipanga kukabiliana na hali ya hatari hapa duniani basi usimpekue sana mkeo vinginevyo utakufa kwa kupata mshtuko kali au hata kuuwana na mahawara wako na mtagombana na wife na hatimaye na wale marafiki zako.

We usiamini mtu kabisa chukulia mambo easy. Ukiona umeoa mwanamke mwenye maadili mema na mvumilivo kwa kila baya unalomtendea plz mheshimu na ikiwezekana mpigie magoti umlilie kama mtoto kama unapenda penzi lako lidumu!

Hasira za wanawake zimewaingiza wengi kaburini hivyo hata akikisea usikasiirike sana wala kuweka kinyongo. Kuwa kama mwanaume bana hawa ni maua ya duniani kila mwanaume anayatamani.
Ila sijui kama wanawake na wao wanapendana kwa kweli maana kwa haya mambo mbona ni hatari sana.
utakuwa mwanamke bila shaka sema unatumia ID ya kiume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom