Niliyoyaona inbox za mke wangu

Niliyoyaona inbox za mke wangu

Unamaanisha umesoma Forensic IT au General IT????
Mkuu mimi ni IT hali niliyoikuta mle napata picha fulani.
Ndio najua kuna kufuta msg pia atakua hawasiliani kwa simu hiyo bali nyingie au hata ana line ya siri au anatumia ya marafiki wenzie.

Au meeting zao ni za kushtuana tuu pale napokua sipo au huwa wamekubaliana watumie lugha gani ili kutimiza mahitajin yao(coded form)

Mkuu zipo nia nyingi sana kumpata ni ngumu maana anajua taaluma yangu so anajua njia ya kujihami.

Ila mazingira niliyoyakuta ni jibu tosha.
 
Dah....pekuapekua ni muhimu sana...hasa kwa mwanaume...Ila usikamatwe tu....muajiri mtu hata mwezi mzima afuatilie nyendo zake..usije ukashtukizwa...ndiyo Intelejensia hiyo[emoji13] [emoji13]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom