Niliyoyaona inbox za mke wangu

Niliyoyaona inbox za mke wangu

We ushaliwa.. Hiyo patern ndio uthibitisho
Kweli mkuu...kwanini aweke na afiche password au pattern ? Anaficha nini kwenye simu yake? Maana kama ni siri za familia mnazijua wote..unajua kwao kuna shida gani..kumwekea mmeo au mkeo password kwenye simu ni wizi
 
msalimie my wife wako.
Hapo sawa...

Nilidhani ulikuwa na lengo la kujustify 100% kuwa mkeo ni mwaminifu.

Mi naamini mwanamke anakuwa wako ukiwa naye. Ndio maana sipotezagi kumfuatilia sana mai waifu kwakuwa najua mwanadamu hachungiki, na kifo cha presha si kizuri... nitawapa wezi wangu wigo mpana zaidi wa kumtafuna kwa uhuru.
 
We muamini mkeo buana achana na inbox za insta,fb nk.labda siku umfumanie ndio uamini
 
Huko kwenye cm utaumizwa kichwa bure na presure ikukute,,
Kama unataka kumchunguza na kupata uhakika kamili kweli Amebutuliwa au bado Fanya hivi wanavyofanya Wakurya ktk kupata ukweli sahihi.
1: Kanunue ugoro kwa kibibi chochote kinachotumia Ugoro.

2: Siku ukihisi Kama katoka kuchepuka ,, mwite kwa upole na chumbani.

3: Jifanye Kama unampa zoezi LA kuruka ruka kichura huko chumbani akiwa Hajavaa Pichu.

4: Mvutishe kidogo huo Ugoro ulionunua kwa kibibi.
5: Akianza kupiga Chafya mfurulizo basi chungulia chini usawa kwenye Papuchi yke,,

Kwa kupiga kwake Chafya mfurulizo utaona masalia ya mifupa ya Samaki aliyeliwa huko Chumba namba 14 alikotoka.

Hii habari ya kuchunguza cm haifai ukiwa na wasiwasi nenda moja kwa moja kwenye hi Experiment utapata majibu faster.,

Hapo sasa ndo utamuuliza hii mifupa ya Samaki imetoka wapi,, na ni nani kamla huyu Samaki huko ulikotoka,, mambo ya cm achana mayo kabisa hata wao wanajua kuzitumia,, Kama wew ni wa IT pengine hata huyo aliye kula Samaki wako pia ni wa IT mwenzio anajua kumfundisha jinc ya kujilinda ktk ndoa yke.
TUMIA NJIA YA ASILI SK ZOTE ,,UGORO,, ndio msema kweli.
 
Hebu elezea pia iwapo mla samaki alitumia kondom au withdrawal
 
Mkuu mimi ni IT hali niliyoikuta mle napata picha fulani.
Ndio najua kuna kufuta msg pia atakua hawasiliani kwa simu hiyo bali nyingie au hata ana line ya siri au anatumia ya marafiki wenzie.

Au meeting zao ni za kushtuana tuu pale napokua sipo au huwa wamekubaliana watumie lugha gani ili kutimiza mahitajin yao(coded form)

Mkuu zipo nia nyingi sana kumpata ni ngumu maana anajua taaluma yangu so anajua njia ya kujihami.

Ila mazingira niliyoyakuta ni jibu tosha.
Mkuu kw ufupi jambo jema umesema ni kuomba Mungu kupata mke bora[emoji127] kuijenga [emoji128]..
Naunga mkono kw hilo[emoji120] [emoji120] [emoji120] .

Hayo mengi tuwaachie wenyewe.
Maana hawa Viumbe ni hataree pale wakiamua kutenda yao.... Hawashikiki.[emoji3] [emoji3] [emoji23]
 
Mkuu mimi ni IT hali niliyoikuta mle napata picha fulani.
Ndio najua kuna kufuta msg pia atakua hawasiliani kwa simu hiyo bali nyingie au hata ana line ya siri au anatumia ya marafiki wenzie.

Au meeting zao ni za kushtuana tuu pale napokua sipo au huwa wamekubaliana watumie lugha gani ili kutimiza mahitajin yao(coded form)

Mkuu zipo nia nyingi sana kumpata ni ngumu maana anajua taaluma yangu so anajua njia ya kujihami.

Ila mazingira niliyoyakuta ni jibu tosha.
Mkuu Big gift mwanamke ni kiboko....hata kama wewe ni IT wa biblia au msahafu mwanamke humuwezi.Alafu kumbuka ikiwa mkeo anafanya kitu chochote wewe utakuwa mtu wa mwisho kujua.Kwahiyo pekua alafu ukae kimya.
 
Kina mama wanaocheat wapo fasta sana kufuta meseji zote hatarishi. Yaani wamebobea kiasi cha kukariri namba zoote za vidume vyao bila kusave majina. Yaani hata ikitokea meseji imekamatwa ( which is very rare...), she can simply deny na kudai hiyo ni wrong number.

Hapo umenena mkuu, yaani anaweza kuwa nao hata watatu halafu namba ziko kichwani, Unachoambiwa kidume utapigiwa tu wala usipige, na mara zote anapokupigia ujue hali ya hewa ni shwari baada ya hapo sms au namba inafutwa fasta, zinazobakizwa ni zile zisizo na madhara.
 
Mapenzi ya cku
hizi c ya kushikiana simu.
huo ni ujinga uliopita viwango kwa sasa nikioa tena siwezi kukubali upumbavu huo
ili iweje kwann
kuna siri kubwa kama sehemu za siri ambazo naziona kila siku
sembuse nisishike simu yake au asishike yangu
huo ni ujinga tuachane na mambo hayo huyu ni mkeo/mumeo si mpenzi
huo usemi bahari hailindwi ni ujinga
 
Hongera! Vidume 1141 vyote vimetolewa nje! Kama unaamini hivyo utakuwa chizi!
 
Huko kwenye cm utaumizwa kichwa bure na presure ikukute,,
Kama unataka kumchunguza na kupata uhakika kamili kweli Amebutuliwa au bado Fanya hivi wanavyofanya Wakurya ktk kupata ukweli sahihi.
1: Kanunue ugoro kwa kibibi chochote kinachotumia Ugoro.

2: Siku ukihisi Kama katoka kuchepuka ,, mwite kwa upole na chumbani.

3: Jifanye Kama unampa zoezi LA kuruka ruka kichura huko chumbani akiwa Hajavaa Pichu.

4: Mvutishe kidogo huo Ugoro ulionunua kwa kibibi.
5: Akianza kupiga Chafya mfurulizo basi chungulia chini usawa kwenye Papuchi yke,,

Kwa kupiga kwake Chafya mfurulizo utaona masalia ya mifupa ya Samaki aliyeliwa huko Chumba namba 14 alikotoka.

Hii habari ya kuchunguza cm haifai ukiwa na wasiwasi nenda moja kwa moja kwenye hi Experiment utapata majibu faster.,

Hapo sasa ndo utamuuliza hii mifupa ya Samaki imetoka wapi,, na ni nani kamla huyu Samaki huko ulikotoka,, mambo ya cm achana mayo kabisa hata wao wanajua kuzitumia,, Kama wew ni wa IT pengine hata huyo aliye kula Samaki wako pia ni wa IT mwenzio anajua kumfundisha jinc ya kujilinda ktk ndoa yke.
TUMIA NJIA YA ASILI SK ZOTE ,,UGORO,, ndio msema kweli.
Nashukuru mkuu ila vipi kama yeye anaijua vyema ishu ya ugoro? si ataweza kujizuia?
 
hakika mkuu, maisha haya sio yakukagua kagua simu ya mwenza wako, hivi ukimwamini tu bila papara zakuchokonoa hautakua safe??
[HASHTAG]#unaambiwa[/HASHTAG] nyoka hana miguu bt ukimchunguza sana utaiona tu
mie nilikagua siku moja,niliyoyakuta humo ,niliapa sitarudia tena kuishika simu yake hata akiniomba nimuwekee kwenye chaji,naiheshimu sana simu yake,ningekufa kwa presha,nilipaniki nikamchapa chupa ya bia kichwani mpaka ikampasukia,ningemuua aisee,toka siku hiyo simchunguzi wala kumfuatilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom