young zahabu
Member
- Dec 28, 2015
- 80
- 35
duuuu
hakika mkuu, maisha haya sio yakukagua kagua simu ya mwenza wako, hivi ukimwamini tu bila papara zakuchokonoa hautakua safe??
[HASHTAG]#unaambiwa[/HASHTAG] nyoka hana miguu bt ukimchunguza sana utaiona tu
Noted mkuu ngoja nizicheki hizo app najua zitakua updated na ziko kwenye ubora wa hali ya juu.Uharamia niliuacha zamani maana mwisho wa siku wajikuta wewe ndio unaumia na si mwenziwako.
Nilishawahi kuhack email ya mchumba enzi hizo kwa kutumia keylogger sijui kama bado zipo hizo software. Niliyoyakuta yakikuwa mazito labda niweke bandiko mahusui la kueleza mkasa mzima.
Pia nilishafanya backup ya simu yake hapo hata kama anatumia pin au pattern au password hua haja ya kuzijua ila unatumia ti usb cable connect simu yake kwenye pc then watumia software matata za backup mzee kama file scavenger nk hizo zinarudisha hata kama ujumbe alifuta au picha vinarudi.
Nilichojionea duh sikutake endela tena, na hizi kazi.
Sababi zinachukua muda wako mwingi kumpekua pia ukishapona ukweli unaomia waweza jiumbia magonjw ya ajabu ajabu ya akili na mwili.
Kisa kimoja tu nishirikiana na ninyi;:
Paja jamaa yangu alikuwa na demu wako miaka ya zamani kidogo, basi binti alichukua kamare ya mr wake akenda nayo kwa muda wa wiki mbili hivi. Kumbe binti alikuwa na kajamaa tena walikuwa na kajipati flani so akachukua kamera ili wajifotoe za ukumbusho.
Binti alivyomaliza kuitumia kamera akafuta picha zoote na kumrudishia jamaa yangu.
Jamaa naona alihisi kitu ila hakuw na uhakika ndipo akanipatie hiyo kamera yake mzee nikaito memory card yake na kuitumia kwenye deep scan ya scavenger mapicha yoote yakarudi na video kama ndio zimepigwa upya jamaa akajionea usaliti wa demu wake.
Ndio maana sishauri mtu kufanyia mtu wako vetting mwisho huwaga mbaya sana.
Mtoa posti haimaanishi upo salama,
Na mke au mume ngumu wachunga wakiamua fanya yao watafanya tu...aidha kazini au njiani nk na usipate ushahidi wowote ktk simu au mitandao.
Duuh unamoyo wa kishujaa bado unakiu ya kumpekua mwenzi wako haha??Noted mkuu ngoja nizicheki hizo app najua zitakua updated na ziko kwenye ubora wa hali ya juu.
Hizi hard disk zetu na imani hazipo sala inshor tuko uchi sana. Manufacture wakiamua kutufatilia watatupata tuu.
kila kamba inakula urefu wa mbuzi yake aisee, bt hapo hukuchunguza bali ulihoji kwa kile ulichokua na hofu nacho,,basi maana yake nikua,hukatazwi kuhoji pindi uonapo uozo maana huo utakua ni woga, bali kushinda kukagua simu ndio ufala-lization, wengine hushinda kuangalia namba ngeni mpesa ili wajue tu ni mwanaume alipiga,au mwanamke...Hiyo statement huwa siielewi kabisa.
Kuweka ratiba ya kukagua simu ya mwenza ni ushamba nakubali.
Lakini kuna instance lazima ujiaminishe. Chukulia hiki kisa changu.
KE daily tukiwa wote alikuwa anapigiwa simu na namba ngeni. Kila siku akipigiwa nikiwa nae haipokei. Sijawahi mgusia kuhusu hiyo namba. One day ikapigwa tena. Nikamwambia hii namba iliyoishia na 28 kwanini huwa hauipokei? ?akajing'atang'ata nikamkazia then akanisimulia kila kitu.
Je nisingechunguza ningelijua nililofanikiwa kujua? Kuna wapenzi wengine hata ukiishiwa salio ukitaka kutumia simu yake yeye ndiye ana kulockia password. Huu ni wizi na uchawi mkuu kwangu. Mambo yawe wazi..ila kila mtu awe na simu yake.
Nimekupata.kila kamba inakula urefu wa mbuzi yake aisee, bt hapo hukuchunguza bali ulihoji kwa kile ulichokua na hofu nacho,,basi maana yake nikua,hukatazwi kuhoji pindi uonapo uozo maana huo utakua ni woga, bali kushinda kukagua simu ndio ufala-lization, wengine hushinda kuangalia namba ngeni mpesa ili wajue tu ni mwanaume alipiga,au mwanamke...
Mwanamke hapigiwi magoti,lakn hubembelezwaumpigie magoti ulie kama mtoto ili iweje labda? mwanaume umlilie mwanamke atiiiiiii?
Kweli mkuu umenenaMume(sio mpenzi) kuogopa kushika simu ya mke wako ni udhaifu mkubwa sana. Kama kuhoji simu tu unashindwa hata mambo mengine ya msingi utaweza kuhoji kweli!.
Hapo sawa...
Nilidhani ulikuwa na lengo la kujustify 100% kuwa mkeo ni mwaminifu.
Mi naamini mwanamke anakuwa wako ukiwa naye. Ndio maana sipotezagi kumfuatilia sana mai waifu kwakuwa najua mwanadamu hachungiki, na kifo cha presha si kizuri... nitawapa wezi wangu wigo mpana zaidi wa kumtafuna kwa uhuru.
Ukiona mwanamke mwenye umri kuanzia 18-50 analia njaa we tambua tuu amependa mwenyewe.
Hawa viumbe wana marafiki wengi bwana, leo akipata shida kwake sio tatizo kwani ana pa kukimbilia.
Nadhubutu kusema hawa wanawake wameteka utajiri wa hii dunia.
Leo katika ujasusi wa wangu nimefanikiwa kuchunguza inboxza mke wangu za facebook na insta nilichokiona huko sio vibaya ku share nanyi.
Pia mtambue hakuna urafiki mbele ya mwanamke na hapa ndio ule msemo wa hakuna ushemeji tunatulaga unatimia.
Wife kaenda shamba asubuhi nikasema ngoja niipekue simu yake.
Nilipata hili wazo jana baada ya kuona lock pattern yake na nikasema iko siku nitamcheki tuu na hatimaye leo nimeweza kuona.
Sio marafiki zangu, mashemeji zangu tunaosalimiana huko barabarani eti wanamtaka wife japo siku moja na ahadi nyingine kibao!
Nimekuta mi msg nyingi mno, fb nimekuta 720 na uzuri zote read so mimi sikuona shaka kufungua na kuona kilichomo.
Insta nimekuta msg 421 huko nako nimekuta mambo kibao.
Huyu mwanamke nashukuru sana Mungu kwa kunipa maana angekua ni kicheche basi nisinge ambulia chochote hapa.
Wanaume wenzangu kweli ukiona mwanamke kajitiolea kwa ajili yako maisha yake yote plz and plz naomba umuheshimu kwani kaona wanaume wa kila aina lakini amekuacha ili awe wako.
ONYO: Kwa mwanaume yoyote yule ambae hajajipanga kukabiliana na hali ya hatari hapa duniani basi usimpekue sana mkeo vinginevyo utakufa kwa kupata mshtuko kali au hata kuuwana na mahawara wako na mtagombana na wife na hatimaye na wale marafiki zako.
We usiamini mtu kabisa chukulia mambo easy. Ukiona umeoa mwanamke mwenye maadili mema na mvumilivo kwa kila baya unalomtendea plz mheshimu na ikiwezekana mpigie magoti umlilie kama mtoto kama unapenda penzi lako lidumu!
Hasira za wanawake zimewaingiza wengi kaburini hivyo hata akikisea usikasiirike sana wala kuweka kinyongo. Kuwa kama mwanaume bana hawa ni maua ya duniani kila mwanaume anayatamani.
Ila sijui kama wanawake na wao wanapendana kwa kweli maana kwa haya mambo mbona ni hatari sana.
Wengine wanamuogopa wife atakasirika ukishika simu yake[emoji1] [emoji23]Kweli mkuu umenena